Hayo ni maneno yako, sio maneno ya mungu.Hizo vitu ni kubwa sana kwako,hata Allah zinamchanganya akamwambja Muhammad kua wakristo wana miungu wa3 yaani Issah,mariam,Allah๐๐,so take a chill.
Eh leo unakataa, nenda makanisani na nyumba za wakristo 80% utakuta picha zake kwamba ni yesu na kwa wakristo ni mungu, sasa hapo unakataa nini mkuu, for the sake of knowledgeHayo ni madai yako na waislam wenzako wasomi,hakuna mkristo anayesema deacon ni Mungu.
Quran ambayo aliileta Muhammad mwenyewe๐ ๐ ๐ ,does it sound authentic sir???come on tumia hata akili ya mtoto basi.Utume wa Muhammad hauthibitishwi na mtu bani unathibitishwa na Mungu, kupitia malaika Gabriel/Jibril.
QUR-AN 3:158
๐๐doh.158. Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote,
MTume asiyejua kusoma aliwambiwa asome pangoni pale una taarifa hizo???niliye tumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Hapana mungu ila Yeye anaye huisha na anaye fisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka.
Hapo sasa maana wanasema anayepaswa kuabudiwa ni allah pekee na muhammad ni mtume wake.Sasa akina adamu walishahadiaje bila mtume muhd?Kama Ibrahimu, Adam na wengine walikuwa waislam. Naomba nioneshwe kifungu katika Quran ambapo Hao watu walishahadia kama nguzo mojawapo ya uislam. Maana ili uwe Muislama ni lazima ushahadie.
Kama Ibrahimu, Adam na wengine walikuwa waislam. Naomba nioneshwe kifungu katika Quran ambapo Hao watu walishahadia kama nguzo mojawapo ya uislam. Maana ili uwe Muislama ni lazima ushahadie.
maneno ya Allah sio ya Mungu.Hayo ni maneno yako, sio maneno ya mungu.
Umesoma maelezo yangu au uko race ya kuwahi futari??Eh leo unakataa, nenda makanisani na nyumba za wakristo 80% utakuta picha zake kwamba ni yesu na kwa wakristo ni mungu, sasa hapo unakataa nini mkuu, for the sake of knowledge
myahudi alikua muislam kazi kweli kweliNimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.
Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.
Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.
View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq
Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.
Mnafiki wa kwanza ni Allah,wa pili ni mtume na hawa waislama mnaowaona ni wafuasi wao.Hapo sasa maana wanasema anayepaswa kuabudiwa ni allah pekee na muhammad ni mtume wake.Sasa akina adamu walishahadiaje bila mtume muhd?
Kaaba ni eneo ambalo lina historia kama ilivyo ule ukuta kule israel watu wanaenda kuhiji, ila huwezi kufananisha eneo la kuhiji na picha ya mzungu kumwita mungu , those 2 scenarios are different mkuuUmesoma maelezo yangu au uko race ya kuwahi futari??
Kwahiyo unataka kusema kaaba ni Mungu yule??
Anayeshahadia ni yule ambaye si muislamu, anashahadia ili awe muislamu.Kama Ibrahimu, Adam na wengine walikuwa waislam. Naomba nioneshwe kifungu katika Quran ambapo Hao watu walishahadia kama nguzo mojawapo ya uislam. Maana ili uwe Muislama ni lazima ushahadie.
Acha ujinga tumia akili,hivi uzito inayopewa kaaba utalinganisha na ile sanamu ya udongo ambayo ina sura zaidi ya milioni๐๐.Kaaba ni eneo ambalo lina historia kama ilivyo ule ukuta kule israel watu wanaenda kuhiji, ila huwezi kufananisha eneo la kuhiji na picha ya mzungu kumwita mungu , those 2 scenarios are different mkuu
Lete andiko kutoka ktk kitabu cha Mungu. Usipotoshe.maneno ya Allah sio ya Mungu.
Mungu hahusiki na boko za kijinga kama hizo.
๐๐๐walikuwa dini gani??Anayeshahadia ni yule ambaye si muislamu, anashahadia ili awe muislamu.
Hao hawajawahi kuwa wakristo ili waingie ktk uislamu.
Au tuambie wewe, walikua dini gani?
Nakupotosha wewe ambaye tayari uko shimoni??wewe unahitaji neema utoke hukoLete andiko kutoka ktk kitabu cha Mungu. Usipotoshe.
Ndio nasema ile ni hija haisujudiwi bali inashikwa waislamu hatujawahi kusujudu au kuabudu kiumbe chochote zaidi ya mungu ila vipi nyie , mzungu kawekwa sio majumbani tu hadi makanisani sasa jamani huyo mungu gani anachezewa namna hiyoAcha ujinga tumia akili,hivi uzito inayopewa kaaba utalinganisha na ile sanamu ya udongo ambayo ina sura zaidi ya milioni๐๐.
Unajua nyinyi jamaa zetu mna unafiki mwingi tu,ndio kasoro yenu.
Kaaba unaizunguka mara 7,unasujudia,unakwenda unaigusa ili kufuta dhambi zako๐๐,ile sanamu hata uimwagie maji hakuna atakayekuuliza.maana haiabudiwi.
๐๐Hata freemason Nao wanaamini Kwa mungu mmoja great architect (G) Je Nao ni wavaa kobasi
๐๐๐kusujudu ni kufanyaje kiongozi??Ndio nasema ile ni hija haisujudiwi bali inashikwa waislamu hatujawahi kusujudu au kuabudu kiumbe chochote zaidi ya mungu ila vipi nyie , mzungu kawekwa sio majumbani tu hadi makanisani sasa jamani huyo mungu gani anachezewa namna hiyo
SAsa yule mzungu akifa itakuwaje mtaweka picha ya nani? Au ndio mungu wenu atakuwa amekufa?
Uyahudi ni kabila sio dini. Niambue walikua dini gani?๐๐๐walikuwa dini gani??
Ulivyo kiazi utasema waislam,hao walikuwa wayahudi ngamia wewe.
Au sio๐๐.Uyahudi ni kabila sio dini. Niambue walikua dini gani?
Mambo yanyakati wa 2. 7:3๐๐๐kusujudu ni kufanyaje kiongozi??