Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Hizo vitu ni kubwa sana kwako,hata Allah zinamchanganya akamwambja Muhammad kua wakristo wana miungu wa3 yaani Issah,mariam,Allah😆😆,so take a chill.
Hayo ni maneno yako, sio maneno ya mungu.
 
Hayo ni madai yako na waislam wenzako wasomi,hakuna mkristo anayesema deacon ni Mungu.
Eh leo unakataa, nenda makanisani na nyumba za wakristo 80% utakuta picha zake kwamba ni yesu na kwa wakristo ni mungu, sasa hapo unakataa nini mkuu, for the sake of knowledge
 
Utume wa Muhammad hauthibitishwi na mtu bani unathibitishwa na Mungu, kupitia malaika Gabriel/Jibril.
QUR-AN 3:158
Quran ambayo aliileta Muhammad mwenyewe😅😅😅,does it sound authentic sir???come on tumia hata akili ya mtoto basi.
158. Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote,
😆😆doh.
niliye tumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Hapana mungu ila Yeye anaye huisha na anaye fisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka.
MTume asiyejua kusoma aliwambiwa asome pangoni pale una taarifa hizo???
 
Kama Ibrahimu, Adam na wengine walikuwa waislam. Naomba nioneshwe kifungu katika Quran ambapo Hao watu walishahadia kama nguzo mojawapo ya uislam. Maana ili uwe Muislama ni lazima ushahadie.
Hapo sasa maana wanasema anayepaswa kuabudiwa ni allah pekee na muhammad ni mtume wake.Sasa akina adamu walishahadiaje bila mtume muhd?
Kama Ibrahimu, Adam na wengine walikuwa waislam. Naomba nioneshwe kifungu katika Quran ambapo Hao watu walishahadia kama nguzo mojawapo ya uislam. Maana ili uwe Muislama ni lazima ushahadie.
 
Eh leo unakataa, nenda makanisani na nyumba za wakristo 80% utakuta picha zake kwamba ni yesu na kwa wakristo ni mungu, sasa hapo unakataa nini mkuu, for the sake of knowledge
Umesoma maelezo yangu au uko race ya kuwahi futari??
Kwahiyo unataka kusema kaaba ni Mungu yule??
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

myahudi alikua muislam kazi kweli kweli
 
Hapo sasa maana wanasema anayepaswa kuabudiwa ni allah pekee na muhammad ni mtume wake.Sasa akina adamu walishahadiaje bila mtume muhd?
Mnafiki wa kwanza ni Allah,wa pili ni mtume na hawa waislama mnaowaona ni wafuasi wao.

Ili uwe muislam sifa ya kwanza inatakiaa uwe mwongo,halafu mnafiki,kigeugeu.
 
Umesoma maelezo yangu au uko race ya kuwahi futari??
Kwahiyo unataka kusema kaaba ni Mungu yule??
Kaaba ni eneo ambalo lina historia kama ilivyo ule ukuta kule israel watu wanaenda kuhiji, ila huwezi kufananisha eneo la kuhiji na picha ya mzungu kumwita mungu , those 2 scenarios are different mkuu
 
Kama Ibrahimu, Adam na wengine walikuwa waislam. Naomba nioneshwe kifungu katika Quran ambapo Hao watu walishahadia kama nguzo mojawapo ya uislam. Maana ili uwe Muislama ni lazima ushahadie.
Anayeshahadia ni yule ambaye si muislamu, anashahadia ili awe muislamu.
Hao hawajawahi kuwa wakristo ili waingie ktk uislamu.
Au tuambie wewe, walikua dini gani?
 
Kaaba ni eneo ambalo lina historia kama ilivyo ule ukuta kule israel watu wanaenda kuhiji, ila huwezi kufananisha eneo la kuhiji na picha ya mzungu kumwita mungu , those 2 scenarios are different mkuu
Acha ujinga tumia akili,hivi uzito inayopewa kaaba utalinganisha na ile sanamu ya udongo ambayo ina sura zaidi ya milioni😁😁.

Unajua nyinyi jamaa zetu mna unafiki mwingi tu,ndio kasoro yenu.
Kaaba unaizunguka mara 7,unasujudia,unakwenda unaigusa ili kufuta dhambi zako😆😆,ile sanamu hata uimwagie maji hakuna atakayekuuliza.maana haiabudiwi.
 
Anayeshahadia ni yule ambaye si muislamu, anashahadia ili awe muislamu.
Hao hawajawahi kuwa wakristo ili waingie ktk uislamu.
Au tuambie wewe, walikua dini gani?
😁😁😁walikuwa dini gani??

Ulivyo kiazi utasema waislam,hao walikuwa wayahudi ngamia wewe.
 
Lete andiko kutoka ktk kitabu cha Mungu. Usipotoshe.
Nakupotosha wewe ambaye tayari uko shimoni??wewe unahitaji neema utoke huko

Quran 5:116-117

Hiki sio kitabu cha Mungu ni kitabu chako,hakuna kitabu cha Mungu kinaandika ujinga huu.sisi wakristo hatuamini ktk falsafa hiyo.
 
Acha ujinga tumia akili,hivi uzito inayopewa kaaba utalinganisha na ile sanamu ya udongo ambayo ina sura zaidi ya milioni😁😁.

Unajua nyinyi jamaa zetu mna unafiki mwingi tu,ndio kasoro yenu.
Kaaba unaizunguka mara 7,unasujudia,unakwenda unaigusa ili kufuta dhambi zako😆😆,ile sanamu hata uimwagie maji hakuna atakayekuuliza.maana haiabudiwi.
Ndio nasema ile ni hija haisujudiwi bali inashikwa waislamu hatujawahi kusujudu au kuabudu kiumbe chochote zaidi ya mungu ila vipi nyie , mzungu kawekwa sio majumbani tu hadi makanisani sasa jamani huyo mungu gani anachezewa namna hiyo
SAsa yule mzungu akifa itakuwaje mtaweka picha ya nani? Au ndio mungu wenu atakuwa amekufa?
 
😁😁😁kusujudu ni kufanyaje kiongozi??
 
Back
Top Bottom