Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Waislam wanasema Adam ndio aliweka msingi wa Kaaba
 
Na kuna shekhe mmoja alinambia mtume/nabii Issa(Yesu) kama wanavomuita atarudi mara ya pili na lazima atarudi na wanaamini hakufa bali alitwaliwa.
Nikasema kumbe uislamu wanaamini Yesu atarudi mara ya pili..
Ndo hivo mikanganyiko ndo mambo ya kiimani.
 
Yani wananichanganya kabisa kusema Ibrahim alikuwa muislam na YESU alikuwa muislam.... Wakati uislam umekuja juzi juzi tu hapo
Sipingi dini yao ila mimi nilichanganywa zaidi kuwa Ishmaeli ndo alikua anataka kuchinjwa/kutolewa sadaka na sio Isaka.
Sasa kila nikiconnect matukio ndo sielewi kabisa.
 
Eti Mungu alimwambia Ibrahim wewe ndio msiri wangu, ila Waislam πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Ibrahim alikuwa mkurdi siyo muisraeli.

Hata Dr Sulle amemsema hivo kuwa Ibrahimu alikuwa Mkurdi aliye zaliwa na kuishi katika eneo la Iraq ya sasa
 
Tatizo lako badala ya kuisoma Qur'an uujuwe Uislam unaanza kufata porojo za kwenye miuandao.

Mbina sisi tunaisoma biblia ili tusidanganyike, na tukishaisoa tunawafundisha wakristo, ka maana tunauhakika hawaisomi ipsavyo.
FaizaFox nakuhurumia sana.Wake up,Mohamed amewadanya sana.Actually aliyemtokea Mohamed kwenye pango sio MUNGU,it is Satan himself,remember what the so called Angel Gabriel did to him in the cave?A messenger of a true God can't do that.Nitajaribu kukusaidia with more information,may at a point utafunguka.


View: https://youtube.com/shorts/eCo-Pwxtaf8?si=MFvyf5LXQmfbHddO
 
Wewe wachana na mimi binfasi, pambana na hoja zangu. Sipo kufurahisha au kufurahishwa na mtu. Nipo hapo kupata elimu na kuelimisha.

Jifunze usilolijuwa na fundisha unalolijuwa, hakuna ugomvi hapa wala nani zaidi.
 
Wewe wachana na mimi binfasi, pambana na hoja zangu. Sipo kufurahisha au kufurahishwa na mtu. Nipo hapo kupata elimu na kuelimisha.

Jifunze usilolijuwa na fundisha unalolijuwa, hakuna ugomvi hapa wala nani zaidi.
FaizaFox, I am addressing you in totality,that is your spirit and soul, na ni kweli hatugombani na sijagomba, ila I just want you to see the truth and work on it.
 
Wewe ndo hujielewi. Ndug Uislam haukuletwa na Muhammad (S.A.W), ukiambiwa Muhammad ni mtume wa mwisho maana walimtangulia wengime wengi, hata yeye akawa wa mwisho.
 
Ingekuwa kweli uislamu umeanza kitambo hicho,muhammad asingekuwa wa kwanza katika walio silimu.Kumbuka quran ilishushwa enzi za muhammad na kipindi hicho muhammad hakuwa muislamu bado mpaka aliposhushiwa quran..inakuwaje quran iliyokuja baadae na iliyoshushwa kwa mtu ambaye hakuwa muislamu iwatambue waliopita mbele yake ni waislamu?
 
Unafata kanisa humfati Yesu.

Ungemfata Yesu ungekuwa Muislam.
 
Duuu waafrika tuna tabu sana, kutwa kucha kubishania dini.
 
Msingi wa uislam ni Quran je unahakika kulikuwa na Quran wakati wa Suleiman?
 
Hiyo umeitoa wapi?
 
Msingi wa uislam ni Quran je unahakika kulikuwa na Quran wakati wa Suleiman?
Na kama hakikuwepo walikuwa wanatumia kitabu gani..na hiko kitabu kiko wapi sasa hivi.Pia kama hakipo ina maana Ibrahimu sio muislamu..maana ujio wa quran ndio alipatikana muislamu wa kwanza nabii Muhammad
 
Wanajiundia historia yao wenyewe na wanalazimisha watu waiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…