Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Yaaani waislam wanatabia kama za Yanga au ACT wazalendo...wao kila kitu ni kulalamika na wamejaaa Nongwa sana..
 
Hizi dini zote zimekuja kuponda Imani ilizozikuta ndio sababu Sisi wengine tumebaki na kina Mtusi KAZI kina Umhambwe Yani ni mwendo WA Mizimu na mafanikio tunayo kwa Sana
 
Hizi dini zote zimekuja kuponda Imani ilizozikuta ndio sababu Sisi wengine tumebaki na kina Mtusi KAZI kina Umhambwe Yani ni mwendo WA Mizimu na mafanikio tunayo kwa Sana
Mzee umeandika nini hapo?
 
Uislamu gani unaouzungu hapa...huu Islam uliokuja baada ya YESU?

Maana mimi nijuavyo Uislamu umeuluta uyahudi na Ukristo... Uislamu umekuja na kuletwa na Mohamad na Quran imekuja kipindi icho, inakuwaje unasema Uislamu ulikuwepo
 
Mimi nasikiliza mawaidha kujua utofauti wa Dini hizi... Ndio maana ninapopata Duku duku lazima nije kuuliza, siwezi kupata Duku alafu nikae nalo wakati ninaweza kuuliza kwa wenzangu... Mimi sijafungwa Akili, nasikiliza kila pande
Ww ulisha sema wakristo hawana muda wa kuujadili uislam bali waisilam ndo wako bize kuwajadili wakirsito lakini cha kushangaza ww ndo uko bize kuujadili uislam.

Alafu kingine hujawahi kuleta mada kwa ajili ya kujifunza bali huwa unaleta kwa minajili ya kuufanyia kejeli dhidi ya uislam ili moyo wako ufarijike.
 
Achana nao awa ni copy n paste tu...wanakuambia hadi Adam cjui muislam cjui Yesu...😂😂ukimwambia akutajie mahala ambapo Allah au Muhammad katajwa wanaanza kuzuga na kufanya tafsiri za kitoto...so wazoee...
 
Ibrahim hakuwa myahudi Wala mkiristo, sababu uyahudi ni ubunifu wa Wana wa Israel baadae Sana baada ya Ibrahim na ukiristo ni kazi ya Paulo,Ibrahim Imani yake ilikua ni juu ya Mungu mmoja,asiyezaa Wala kuzaliwa na Wala kufanana na chochote,Mungu muumba wa kila kitu,ambayo ni Imani ya kiislam
 
Mimi nafuatilia Dini zote hizi kujua ukweli ni hupi....sijafungwa pingu za kiimani...

Ukiona nimeleta mada ya kidini hapa ujue sehemu hiyo inanitatiza... Wewe kama unafahamu kwa nini usinieleweshe ili nijue ukweli ni upi... Dini sio siri kwamba ukae nayo tu moyoni, unatakiwa uwaelekeze na wengine wanapotatizika... Sasa myie hamletiajibu, tukiwauliza mnaanza kusingizia Udini, kwani umekatazwa kuuliza kuhusu ukristo tukashindwa kukujibu... Mimi nataka kujua ukweli kuhusu hizi dini za Ibrahim, ndio maana nauliza, especially uislamu kwa sababu siufahamu sana, hivyo nataka kupatiwa majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…