Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Mkuu hivi ww siulisha leta mada ya kuwaponda waisilam yakuwa wanatumia muda mwingi kuuongelea ukrisito badala ya mafundisho yao?

Sasa ww mbona haujadili mafundisho ya dini yako badala yake umekaa kuwashwa washwa na Uislam kila dakika?
Maana haiwezi pita siku bila kuleta mada za kuujadili uislam.
Yaaani waislam wanatabia kama za Yanga au ACT wazalendo...wao kila kitu ni kulalamika na wamejaaa Nongwa sana..
 
Hizi dini zote zimekuja kuponda Imani ilizozikuta ndio sababu Sisi wengine tumebaki na kina Mtusi KAZI kina Umhambwe Yani ni mwendo WA Mizimu na mafanikio tunayo kwa Sana
 
Hizi dini zote zimekuja kuponda Imani ilizozikuta ndio sababu Sisi wengine tumebaki na kina Mtusi KAZI kina Umhambwe Yani ni mwendo WA Mizimu na mafanikio tunayo kwa Sana
Mzee umeandika nini hapo?
 
Uislam haujaanza kwa Muhammad s.a.w umeanza kwa Adam na mitume wote walikuja kueneza imani moja ya Allah pamoja na ujumbe maalum wa kuacha mabaya waliyokua wakiyafanya na kuhimizwa kufanya mambo mema, na ndiyo maana siyo Abraham pekee hata yesu ni muislam pure, ila nyie ndo hamtaki sijui ni wa wapi 😁😁😁😁😁
Uislamu gani unaouzungu hapa...huu Islam uliokuja baada ya YESU?

Maana mimi nijuavyo Uislamu umeuluta uyahudi na Ukristo... Uislamu umekuja na kuletwa na Mohamad na Quran imekuja kipindi icho, inakuwaje unasema Uislamu ulikuwepo
 
Mimi nasikiliza mawaidha kujua utofauti wa Dini hizi... Ndio maana ninapopata Duku duku lazima nije kuuliza, siwezi kupata Duku alafu nikae nalo wakati ninaweza kuuliza kwa wenzangu... Mimi sijafungwa Akili, nasikiliza kila pande
Ww ulisha sema wakristo hawana muda wa kuujadili uislam bali waisilam ndo wako bize kuwajadili wakirsito lakini cha kushangaza ww ndo uko bize kuujadili uislam.

Alafu kingine hujawahi kuleta mada kwa ajili ya kujifunza bali huwa unaleta kwa minajili ya kuufanyia kejeli dhidi ya uislam ili moyo wako ufarijike.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu... Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya kristo... Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Achana nao awa ni copy n paste tu...wanakuambia hadi Adam cjui muislam cjui Yesu...😂😂ukimwambia akutajie mahala ambapo Allah au Muhammad katajwa wanaanza kuzuga na kufanya tafsiri za kitoto...so wazoee...
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu... Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya kristo... Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Ibrahim hakuwa myahudi Wala mkiristo, sababu uyahudi ni ubunifu wa Wana wa Israel baadae Sana baada ya Ibrahim na ukiristo ni kazi ya Paulo,Ibrahim Imani yake ilikua ni juu ya Mungu mmoja,asiyezaa Wala kuzaliwa na Wala kufanana na chochote,Mungu muumba wa kila kitu,ambayo ni Imani ya kiislam
 
Ww ulisha sema wakristo hawana muda wa kuujadili uislam bali waisilam ndo wako bize kuwajadili wakirsito lakini cha kushangaza ww ndo uko bize kuujadili uislam.

Alafu kingine hujawahi kuleta mada kwa ajili ya kujifunza bali huwa unaleta kwa minajili ya kuufanyia kejeli dhidi ya uislam ili moyo wako ufarijike.
Mimi nafuatilia Dini zote hizi kujua ukweli ni hupi....sijafungwa pingu za kiimani...

Ukiona nimeleta mada ya kidini hapa ujue sehemu hiyo inanitatiza... Wewe kama unafahamu kwa nini usinieleweshe ili nijue ukweli ni upi... Dini sio siri kwamba ukae nayo tu moyoni, unatakiwa uwaelekeze na wengine wanapotatizika... Sasa myie hamletiajibu, tukiwauliza mnaanza kusingizia Udini, kwani umekatazwa kuuliza kuhusu ukristo tukashindwa kukujibu... Mimi nataka kujua ukweli kuhusu hizi dini za Ibrahim, ndio maana nauliza, especially uislamu kwa sababu siufahamu sana, hivyo nataka kupatiwa majibu
 
Back
Top Bottom