Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Nimekuwekea na aya za Ibrahim,
Kama Muhammad amesilimishwa na Allah sasa Ibrahim nae amesilimishwa na nani????
 
Ibrahim sio muisrael wala Muarabu, Baba wa Israel ni Yaqub (Jacob) na baba wa waarabu ni Ismail.

Na definition ya Uisilamu ni Submission to Allah mitume yote ni waisilamu kuanzia Adam mpaka Yesu na Muhammad.

Ukifuata Biblia nje ndani utajikuta unakua kama Muisilamu Automatic.

Hii video Inaonesha Wakristo Wa Zamani Walivyokua wakiomba na ukisoma Bible si Yesu tu mitume mingine kama Musa walikua wakiomba namna hii hii

Your browser is not able to display this video.

Hii ibada kwa asilimia zaidi ya 90 inafanana na namna waisilamu wanavyoswali, ila sababu hamfuati Biblia yenu ndio Maana hukuti wakristo wanaswali kama Waisilamu, na ikitokea mkristo akaswali kama hivi sitashangaa Wakristo wenzake wakajua ni Muisilamu.

Huhitaji hata Kusoma Quran Soma tu Bible yako utaona matendo na Tabia za mitume wa Zamani ndio hizo hizo za waisilamu wa sasa.
 
Ha ha ha
Biblia ilianza kabla ya Quran. Muhamad alikuja akukuta Biblia ipo tayari na ina vitabu hivi
  • Torati
  • Zaburi
* Hiyo ni injili ya Issa na wala siyo Yesu.
Hapa inaonesha Allah alicopy kwenye Biblia akaweka kwenye Quran.

Mbona Quran yenu inaonesha Jibril ndiyo aliteremsha Quran na siyo Allah?
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Nidanganye tena.
 
Ukatoliki na version nyengine za Ukristo Nyie ni descendant wa Crusaders, mnalishwa matango pori mengi na west
Mzee huu ni uongo, sio kila version(Sect) ya ukristo ni descendants wa hao crusaders, kwanza hao walimwaga damu ya wakristo wengi baadae ndo wakajifanya nao wamekuwa wakristo(kwa kupitia mfalme wao) wa uongo uongo, ndo wakawa wanavaa mavazi ya msalaba na wakachora ngao zao misalaba, hawa sio wakristo ni wahuni tuu ndo maana laana ya damu walizomwaga ndo ikawafanya wapigwe na wauliwe na salahuddin.

Na hilo swala la kulishwa matango na west ni uongo....torati na zaburi anayosoma myahudi ni sawa ninayosoma mm tofauti lugha tuu, west ananidanganya nn?? Labda wakristo ambao hawafuatilii mambo.
 
Safi kabisa inaonekana mnafuatilia sana quran na mafundisho ya uislam kama Yanga na AFL 😁😁😁😁
Shida ni unafuatilia kitu ambacho haukijui na ni mbishi kuelekezwa 😁😁😁😁😁😁😁😁
Wanawake ni reward za watu wema watakaoingia peponi kweli kabisa!!
Allah amewaahid waislam wanawake na waislam wanaume wote kwa pamoja kupata malipo yaliyo sawa sawa kabisa na amali zao za duniani bila kujali wala kubagua jinsia, katika pepo ya Allah wanaume watachagua wanawake wanaowapenda na wanawake nao watachagua wanaume wanaowapenda tena wooote wakiwa katika hali zao za ujana kabisaaa
 
Kwa mujibu wa quran unayosema ndogo, wakristo ni watu waliopotea kwa uongo full stop
Kwa mujibu wa qur'an wakristo tumepotea ndiyo kwa sababu qur'an ina promote uislamu, na kwa mujibu wa qur'an sisi ni Kafir kwa sababu ni qur'an, haiwezi sema vinginevyo.

Broo tumia hata common sense, mfano unadhani Russia ataandika kitabu amsifie USA?
 
Pope Urban II ndio alieanzisha Crusader kwani hii ni siri? Ndio Wakristo wengi waliuliwa na Crusaders ila ni Wakristo ambao walikua against na Catholic Church

Soma hapa
 
Jibril ni malaika mkuu, yeye kutumwa Quran ilikua ni heshima kuu juu ya kitabu kitukufu, vitabu vingine vyote ni aidha vilishushwa kwa wahyi wa ndoto au ufunuo au torati ilishuka peke yake nzima nzima kutoka kwa Allah
Lakini Quran ilishushwa na Jibril ikiwa na ulinzi madhubuti na heshima ya hali ya juu kipande kwa kipande had kukamilika kwake.
Nambie ww sasa upi ni ujumbe wa heshima, unaoukuta mwenyewe chini ya mlango au unaoletwa na mtumishi mkuu??
 
Hii history naijua vizuri tuu sihitaji kusoma, point yangu iko hv mzee, hao sio wakristo maana hawana misingi ya kikristo, mkristo haui wala hasengenyi, mkristo anatumia violence kujilinda na si vinginevyo.

Sasa usiseme wakristo wote ni descendants wao, maana hao wenyew walikuwa wanaabudu masanamu na miungu jua, ukristo wameudandia tuu.
 
Mie quran inaonesha wazi kuwa woooteee hao walileta ujumbe mmoja unaofanana, walikuwa waislam,
Nioneshe ww andiko lolote linalowanad Ibrahim na Adam na wenzao kuwa walikua wakristo bas 😁😁😁😁😁😁
Wakristo hawajawahi ku-claim kwamba manabii wa kale walikua wakristo,siyo hivyo tu hata biblia haiongelei dini kabisa bali imani kwa Mungu wao aliye hai.
 
Wapi nimesema Wakristo wote ni Descendant wao?

Kuna Orthodox Christians ambao wanafuata mafundisho ya Ukristo ya kale

Kuna western Christendom churches kama Catholic, Anglican, Protestant etc hawa ndio walikua Crusaders.

Wakati Wakristo Wa west wanakuja Middle East walilazimisha Wakristo Wa middle east wafuate mafundisho yao ikiwemo sikukuu za Kutunga kama Christmas, Orthodox Christians wa kakataa wakawa wanateswa kote, haya mambo yameanza hata Kabla Muhammad (saw) hajawa mtume. Ndio waisilamu walipokuja na kuwa piga waroma na kuwa toa Middle East Orthodox wakaweza ku practise Ukristo wao bila Influence ya Nchi za kimagharibi. Toka miaka ya 700 mpaka Leo kila baada ya miaka kadhaa west wanapiga Middle East na Casualties Za Wakristo Wa middle east zinakuwa kubwa.
 
Walikuwa Waislamu kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad?


Nijibu kuanzia hapa... Uislamu umekuja na Mihammad, na Quran imekuja badae sana, inakuwaje sasa mtu aliyekuwepo kabla ya uislamu mumuite muislamu...
 
Mkuu Ukisema hivyo Niulize pia Wamormone unawajua Mormones religion
 
Sura 16:120

Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.

Sura 16:123

Kisha tukakufunulia ya kwamba ufuate mila ya Ibrahim, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.
Hii ni Koran ya juzi enzi za Muhammad alipoitunga

Una maandiko ya kabla ya Koran yakimtaja Ibrahim ni muislamu?
 
Hata katika quran Mungu kawaonesha wakristo njia sahihi kwa upole sana coz hawaelew lolote wanalolifuata na mayahud kawachana kwa hasira sana coz wanajua kila kitu
Chuki ya Muhammad na mungu wake Allah ilianza pale wakristo na wayahudi walipokuwa wanamtolea uvivu na kumkanya Sana asiharibu maandiko yao

Muhammad akapatwa na mahasira akatunga ma verse ya kuwachukia wakristo na wayahudi , Cha HAJABU Allah hakujua Dunia ilikuwa na dini zingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu apa Allah na makasiriko
Koran
5;51. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
 
Jibu Aya maswali
-Nani alichezea biblia na ilikuwa wapi na mwaka gani
-Biblia ambayo unayo inayoonesha original na hii iliyochezewa unaweza kutuweka apa ? Maana ili ujue kitu kimechezewa lazima uwe na original
  • ivi vitabu vya Allah ambavyo ni vya waislamu, niitaji utuwekee ata surah moja Moja kwa kila kitabu
  • Allah alikuwa wapi mpaka vitabu vyake kwa waislamu vikatiwa chumvi?
  • ni kina nani Kati wa waislamu ambao walitia chumvi vitabu vya Mungu wao Allah
  • Baada ya ao waislamu ambao walitia chumvi vitabu vya Allah ilimchukua mda gani mpaka Allah akaleta kitabu kingine ?

Kumbuka vitabu tunavyozungumzia apa ni vya waislamu tu na mungu wao Allah
 
Utaabudu Mungu bila ya kuwa na dini(utaratibu)!?..utaabudu vipi!?.. QUR'AN Inasema toka nabii Adam ujumbe ni ule ule na wote ni waislam, uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu pekee
Kwa hyo hao wenye dini nyingine wanajisalimisha kwa Nan?acheni tabia ya kujimilikisha Mungu kama kitanda
 
Mafundishi Yao yanachanganya.Ibrahim hakuzaliwa kipindi cha Torah lakini hakuwa muislamu.Mungu wa Ibrahim,Isaka na yakobo sio Mungu wa waislamu.Dini ya uislamu ilianza baada ya Judism na ukristo.Mafundisho ya kiislamu yanageuza ukweli ulioko kwenye biblia.Mfano biblia imeandika mtoto wa Ibrahim aliyetaka kutolewa sadaka ni Isaka mtoto wa Sarah ,ambaye ni mtoto wa ahadi wao Moslems wanadai mtoto wa mtumwa Hajir,aliyeitwa Ishmael ndiye aliyetaka kutolewa sadaka.Jerusalem ambao ni mji wa wayahudi wao Wanaita Alqud na wanadai ni mji.Yaani mambo yote ni vuruguvurugu tuπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…