Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Nimekuwekea na aya za Ibrahim,
Kama Muhammad amesilimishwa na Allah sasa Ibrahim nae amesilimishwa na nani????
Huyo ni Muhamad anasilimishwa na Allah kuwa muislamu wa kwanza.
Muhamad alikuwa ndiyo muislamu wa kwanza kuupokea uislamu.
Unataka kunidanganya nini tena kuhusu hao wengine?
Uislamu ulianza karne 7 kwa Muhamad. Huwa mnalazimisha mambo.
Bisha na hili
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu... Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya kristo... Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Ibrahim sio muisrael wala Muarabu, Baba wa Israel ni Yaqub (Jacob) na baba wa waarabu ni Ismail.

Na definition ya Uisilamu ni Submission to Allah mitume yote ni waisilamu kuanzia Adam mpaka Yesu na Muhammad.

Ukifuata Biblia nje ndani utajikuta unakua kama Muisilamu Automatic.

Hii video Inaonesha Wakristo Wa Zamani Walivyokua wakiomba na ukisoma Bible si Yesu tu mitume mingine kama Musa walikua wakiomba namna hii hii

Hii ibada kwa asilimia zaidi ya 90 inafanana na namna waisilamu wanavyoswali, ila sababu hamfuati Biblia yenu ndio Maana hukuti wakristo wanaswali kama Waisilamu, na ikitokea mkristo akaswali kama hivi sitashangaa Wakristo wenzake wakajua ni Muisilamu.

Huhitaji hata Kusoma Quran Soma tu Bible yako utaona matendo na Tabia za mitume wa Zamani ndio hizo hizo za waisilamu wa sasa.
 
Ukristo ni dini ya watu waliopotea yaani wanaabudu ibada ambayo haipo kabisaaaaaa
Walizusha uongo na wakauamini kuwa ni ukweli, yaaan ningeweza ningetumia neno ila litaleta shida 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na mayahud ni watu wanajua kila kitu kuhusu Mungu na wana uelewa mkubwa sana juu ya Mungu na mitume wake wote ila waliamua tu kukataa kwa ukaidi hao Mungu amewakasarikia na wanaishi katika hasira za Mungu!!!

Hata katika quran Mungu kawaonesha wakristo njia sahihi kwa upole sana coz hawaelew lolote wanalolifuata na mayahud kawachana kwa hasira sana coz wanajua

Babu J
Kumbuka kuwa hata biblia yako haijaandikwa kwa kiswahili, biblia ya kwanza imeandikwa kigiriki tena ikiwa imechezewa na kuandikwa uongo mtupu
Fix ya kwanza ni uwepo wa agano la kale na jipya na hapo mmegwanyika.

Kitabu cha kwanza kati ya biblia na quran 😂😂😂😂😂😂😂
Allah aliteremsha vitabu vikuu hivi
Zaburi ya Daud
Torati ya Musa
Injili ya Yesu
Quran kwa Muhammad kwa mfuatano huo.
Vitabu vyote vi3 kabla ya Quran vilitiwa chumvi kwa watu kibadili sheria za Allah kwa maslah ya nafsi zao lakini iliposhuka Quran Allah ameahidi kuilinda na kuitunza dhidi ya mikono michafu ya kuchafua kitabu chake.
Moja ya ajabu ya Quran ni hiyo.... hata ufanyeje huwez kutunga Quran yako coz itaonekana nia ya ajabu kweli kweli
Lakini pia huwez kuichezea kwa kubadilisha chochote coz utagundulika tu (hayo yote mawili makafir walijaribu na wakashndwa)

Pia Allah amesisitiza kuwa lolote lile ambalo liko katika vitabu vilivyotangulia likiwiana na Quran basi ni la kweli na likienda kinyume na Quran basi ni la uongo!!!!!
Ha ha ha
Biblia ilianza kabla ya Quran. Muhamad alikuja akukuta Biblia ipo tayari na ina vitabu hivi
  • Torati
  • Zaburi
* Hiyo ni injili ya Issa na wala siyo Yesu.
Hapa inaonesha Allah alicopy kwenye Biblia akaweka kwenye Quran.

Mbona Quran yenu inaonesha Jibril ndiyo aliteremsha Quran na siyo Allah?
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Nidanganye tena.
 
Ukatoliki na version nyengine za Ukristo Nyie ni descendant wa Crusaders, mnalishwa matango pori mengi na west
Mzee huu ni uongo, sio kila version(Sect) ya ukristo ni descendants wa hao crusaders, kwanza hao walimwaga damu ya wakristo wengi baadae ndo wakajifanya nao wamekuwa wakristo(kwa kupitia mfalme wao) wa uongo uongo, ndo wakawa wanavaa mavazi ya msalaba na wakachora ngao zao misalaba, hawa sio wakristo ni wahuni tuu ndo maana laana ya damu walizomwaga ndo ikawafanya wapigwe na wauliwe na salahuddin.

Na hilo swala la kulishwa matango na west ni uongo....torati na zaburi anayosoma myahudi ni sawa ninayosoma mm tofauti lugha tuu, west ananidanganya nn?? Labda wakristo ambao hawafuatilii mambo.
 
Huyo ni Muhamad anasilimishwa na Allah kuwa muislamu wa kwanza.
Muhamad alikuwa ndiyo muislamu wa kwanza kuupokea uislamu.
Unataka kunidanganya nini tena kuhusu hao wengine?
Uislamu ulianza karne 7 kwa Muhamad. Huwa mnalazimisha mambo.
Bisha na hili
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Safi kabisa inaonekana mnafuatilia sana quran na mafundisho ya uislam kama Yanga na AFL 😁😁😁😁
Shida ni unafuatilia kitu ambacho haukijui na ni mbishi kuelekezwa 😁😁😁😁😁😁😁😁
Wanawake ni reward za watu wema watakaoingia peponi kweli kabisa!!
Allah amewaahid waislam wanawake na waislam wanaume wote kwa pamoja kupata malipo yaliyo sawa sawa kabisa na amali zao za duniani bila kujali wala kubagua jinsia, katika pepo ya Allah wanaume watachagua wanawake wanaowapenda na wanawake nao watachagua wanaume wanaowapenda tena wooote wakiwa katika hali zao za ujana kabisaaa
 
Kwa mujibu wa quran unayosema ndogo, wakristo ni watu waliopotea kwa uongo full stop
Kwa mujibu wa qur'an wakristo tumepotea ndiyo kwa sababu qur'an ina promote uislamu, na kwa mujibu wa qur'an sisi ni Kafir kwa sababu ni qur'an, haiwezi sema vinginevyo.

Broo tumia hata common sense, mfano unadhani Russia ataandika kitabu amsifie USA?
 
Mzee huu ni uongo, sio kila version(Sect) ya ukristo ni descendants wa hao crusaders, kwanza hao walimwaga damu ya wakristo wengi baadae ndo wakajifanya nao wamekuwa wakristo(kwa kupitia mfalme wao) wa uongo uongo, ndo wakawa wanavaa mavazi ya msalaba na wakachora ngao zao misalaba, hawa sio wakristo ni wahuni tuu ndo maana laana ya damu walizomwaga ndo ikawafanya wapigwe na wauliwe na salahuddin.

Na hilo swala la kulishwa matango na west ni uongo....torati na zaburi anayosoma myahudi ni sawa ninayosoma mm tofauti lugha tuu, west ananidanganya nn?? Labda wakristo ambao hawafuatilii mambo.
Pope Urban II ndio alieanzisha Crusader kwani hii ni siri? Ndio Wakristo wengi waliuliwa na Crusaders ila ni Wakristo ambao walikua against na Catholic Church

Soma hapa
 
Ha ha ha
Biblia ilianza kabla ya Quran. Muhamad alikuja akukuta Biblia ipo tayari na ina vitabu hivi
  • Torati
  • Zaburi
* Hiyo ni injili ya Issa na wala siyo Yesu.
Hapa inaonesha Allah alicopy kwenye Biblia akaweka kwenye Quran.

Mbona Quran yenu inaonesha Jibril ndiyo aliteremsha Quran na siyo Allah?
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Nidanganye tena.
Jibril ni malaika mkuu, yeye kutumwa Quran ilikua ni heshima kuu juu ya kitabu kitukufu, vitabu vingine vyote ni aidha vilishushwa kwa wahyi wa ndoto au ufunuo au torati ilishuka peke yake nzima nzima kutoka kwa Allah
Lakini Quran ilishushwa na Jibril ikiwa na ulinzi madhubuti na heshima ya hali ya juu kipande kwa kipande had kukamilika kwake.
Nambie ww sasa upi ni ujumbe wa heshima, unaoukuta mwenyewe chini ya mlango au unaoletwa na mtumishi mkuu??
 
Pope Urban II ndio alieanzisha Crusader kwani hii ni siri? Ndio Wakristo wengi waliuliwa na Crusaders ila ni Wakristo ambao walikua against na Catholic Church

Soma hapa
Hii history naijua vizuri tuu sihitaji kusoma, point yangu iko hv mzee, hao sio wakristo maana hawana misingi ya kikristo, mkristo haui wala hasengenyi, mkristo anatumia violence kujilinda na si vinginevyo.

Sasa usiseme wakristo wote ni descendants wao, maana hao wenyew walikuwa wanaabudu masanamu na miungu jua, ukristo wameudandia tuu.
 
Mie quran inaonesha wazi kuwa woooteee hao walileta ujumbe mmoja unaofanana, walikuwa waislam,
Nioneshe ww andiko lolote linalowanad Ibrahim na Adam na wenzao kuwa walikua wakristo bas 😁😁😁😁😁😁
Wakristo hawajawahi ku-claim kwamba manabii wa kale walikua wakristo,siyo hivyo tu hata biblia haiongelei dini kabisa bali imani kwa Mungu wao aliye hai.
 
Hii history naijua vizuri tuu sihitaji kusoma, point yangu iko hv mzee, hao sio wakristo maana hawana misingi ya kikristo, mkristo haui wala hasengenyi, mkristo anatumia violence kujilinda na si vinginevyo.

Sasa usiseme wakristo wote ni descendants wao, maana hao wenyew walikuwa wanaabudu masanamu na miungu jua, ukristo wameudandia tuu.
Wapi nimesema Wakristo wote ni Descendant wao?

Kuna Orthodox Christians ambao wanafuata mafundisho ya Ukristo ya kale

Kuna western Christendom churches kama Catholic, Anglican, Protestant etc hawa ndio walikua Crusaders.

Wakati Wakristo Wa west wanakuja Middle East walilazimisha Wakristo Wa middle east wafuate mafundisho yao ikiwemo sikukuu za Kutunga kama Christmas, Orthodox Christians wa kakataa wakawa wanateswa kote, haya mambo yameanza hata Kabla Muhammad (saw) hajawa mtume. Ndio waisilamu walipokuja na kuwa piga waroma na kuwa toa Middle East Orthodox wakaweza ku practise Ukristo wao bila Influence ya Nchi za kimagharibi. Toka miaka ya 700 mpaka Leo kila baada ya miaka kadhaa west wanapiga Middle East na Casualties Za Wakristo Wa middle east zinakuwa kubwa.
 
Wapi nimesema Wakristo wote ni Descendant wao?
Screenshot_20231019_235142_Chrome.jpg

Orthodox Christians wa kakataa wakawa wanateswa kote, haya mambo yameanza hata Kabla Muhammad (saw) hajawa mtume. Ndio waisilamu walipokuja na kuwa piga waroma na kuwa toa Middle East
Hapa umenena sawa, huu utabiri upo hata kweny biblia.
 
Kiongozi labda nikusaidie kwa kifupi kuwa;
Kwa mujibu wa maandiko ya Quran hata Adam alikuwa ni Muislam, na wengine walio kuja nyuma yake wote walio kiri pamoja na kutii mafundisho ya Mungu wote walikuwa ni Waislam.
Kinachotutofautisha ni watu wengine kufikiri wanatii Mungu kumbe wanatii kiumbe cha Mungu na wengine kuamini miungu isiyo kuwa Mungu nk
Kwa maana hiyo, Kwa mitume wote akiwepo Suleiman, Ibrahim nk walikuwa ni Waislam na Kila mtume aliyekuja duniani aliletwa kwa kusudi maalum na wote walikuja kutoa mafundisho ya Mungu na kutatua changamoto zilizokuwepo kipindi hicho. Mfano: Yesu aliletwa katika kipindi ambacho Dunia ilikuwa inapita kwenye Changamoto kubwa ya kuamini Uchawi pamoja kuwepo kwa magonjwa mengi yasiyokuwa na Tiba. Ili kudhihirisha ukuu wake, Mungu akaamua kumtuma (mtume) Yesu aje kutatua hizo changamoto cha ajabu badala ya watu kumuamini aliyemtuma, wakamwamini Yesu kuwa ndiye Mungu
Mwisho: Kama mitume waliotangulia, Muhamad alikuja kukamilisha mafundisho ya Mungu aliyokusudia kumfikishia Binadam
Walikuwa Waislamu kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad?

Nijibu kuanzia hapa... Uislamu umekuja na Mihammad, na Quran imekuja badae sana, inakuwaje sasa mtu aliyekuwepo kabla ya uislamu mumuite muislamu...
 
Submission maana yake ni mnyenyekevu, hata wakristo wako submissive to GOD... Eti kwa sababu ni Submissive uwezi kusema Wakristo ni Waislamu... Kuwa mnyenyekevu kwa MUNGU hakumaanishi wewe ni muislamu... Dini ya waislamu imezikita Dini nyingine za uyahudi na Ukristo, alafu wao wanakuja na maandiko yao kusema eti Ibrahim alikuwa Muislam... Sasa Uislamu si umekuja miaka mingi sana Ibrahim alikwisha kufariki, hata yesu hakuwepo
Mkuu Ukisema hivyo Niulize pia Wamormone unawajua Mormones religion
 
Sura 16:120

Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.

Sura 16:123

Kisha tukakufunulia ya kwamba ufuate mila ya Ibrahim, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.
Hii ni Koran ya juzi enzi za Muhammad alipoitunga

Una maandiko ya kabla ya Koran yakimtaja Ibrahim ni muislamu?
 
Hata katika quran Mungu kawaonesha wakristo njia sahihi kwa upole sana coz hawaelew lolote wanalolifuata na mayahud kawachana kwa hasira sana coz wanajua kila kitu
Chuki ya Muhammad na mungu wake Allah ilianza pale wakristo na wayahudi walipokuwa wanamtolea uvivu na kumkanya Sana asiharibu maandiko yao

Muhammad akapatwa na mahasira akatunga ma verse ya kuwachukia wakristo na wayahudi , Cha HAJABU Allah hakujua Dunia ilikuwa na dini zingine 😂😂😂😂

Huyu apa Allah na makasiriko
Koran
5;51. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
 
Babu J
Kumbuka kuwa hata biblia yako haijaandikwa kwa kiswahili, biblia ya kwanza imeandikwa kigiriki tena ikiwa imechezewa na kuandikwa uongo mtupu
Fix ya kwanza ni uwepo wa agano la kale na jipya na hapo mmegwanyika.

Allah aliteremsha vitabu vikuu hivi
Zaburi ya Daud
Torati ya Musa
Injili ya Yesu
Quran kwa Muhammad kwa mfuatano huo.
Vitabu vyote vi3 kabla ya Quran vilitiwa chumvi kwa watu kibadili sheria za Allah kwa maslah ya nafsi zao lakini iliposhuka Quran Allah ameahidi kuilinda na kuitunza dhidi ya mikono michafu ya kuchafua kitabu chake.
Jibu Aya maswali
-Nani alichezea biblia na ilikuwa wapi na mwaka gani
-Biblia ambayo unayo inayoonesha original na hii iliyochezewa unaweza kutuweka apa ? Maana ili ujue kitu kimechezewa lazima uwe na original
  • ivi vitabu vya Allah ambavyo ni vya waislamu, niitaji utuwekee ata surah moja Moja kwa kila kitabu
  • Allah alikuwa wapi mpaka vitabu vyake kwa waislamu vikatiwa chumvi?
  • ni kina nani Kati wa waislamu ambao walitia chumvi vitabu vya Mungu wao Allah
  • Baada ya ao waislamu ambao walitia chumvi vitabu vya Allah ilimchukua mda gani mpaka Allah akaleta kitabu kingine ?

Kumbuka vitabu tunavyozungumzia apa ni vya waislamu tu na mungu wao Allah
 
Utaabudu Mungu bila ya kuwa na dini(utaratibu)!?..utaabudu vipi!?.. QUR'AN Inasema toka nabii Adam ujumbe ni ule ule na wote ni waislam, uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu pekee
Kwa hyo hao wenye dini nyingine wanajisalimisha kwa Nan?acheni tabia ya kujimilikisha Mungu kama kitanda
 
Mafundishi Yao yanachanganya.Ibrahim hakuzaliwa kipindi cha Torah lakini hakuwa muislamu.Mungu wa Ibrahim,Isaka na yakobo sio Mungu wa waislamu.Dini ya uislamu ilianza baada ya Judism na ukristo.Mafundisho ya kiislamu yanageuza ukweli ulioko kwenye biblia.Mfano biblia imeandika mtoto wa Ibrahim aliyetaka kutolewa sadaka ni Isaka mtoto wa Sarah ,ambaye ni mtoto wa ahadi wao Moslems wanadai mtoto wa mtumwa Hajir,aliyeitwa Ishmael ndiye aliyetaka kutolewa sadaka.Jerusalem ambao ni mji wa wayahudi wao Wanaita Alqud na wanadai ni mji.Yaani mambo yote ni vuruguvurugu tu🤔
 
Back
Top Bottom