Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

quran unayosema ndogo, wakristo ni watu waliopotea kwa uongo full stop.
Koran ni kadogo Sana ni kama ka kipeperushi , ukikaleta kwenye bible kanaishia pale palipo sema yaliyomo kanaishia apo

Turudi kwa Allah an makasiriko mpaka anamuomba Mungu

Allah mwenyewe alitoa ombi kwa Mungu wakristo na wayahudi waangamizwe mpaka Leo wapo 😂🤣🤣🤣 miaka zaidi ya 1400 hakuna majibu

Allah anasema;
9:30. Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Mtoa mada tumia muda wako kujadili hatma ya maisha yako ya dunia badala ya kuhangaika na dini.
Unawashwa washwa sana na waislam, kwani umeanza kuujua uislam leo?
Hata muislam anayepoteza kuda kujadili ukristo hana akili kama huyu mtoa mada.
Udini hauleti maendeleo.
Hujui kama dini 3 za Yerusalemu zinaitwa Abrahamic religions? Why
 
Acha upumbavu wewe. Tulia dawa ikuingie
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu... Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya kristo... Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

usishangae,,2mia akili kidogo tu kuapa jubu jombaa!!,mwasisi wa dini ya kiislam alyeshushiwa kitabu kitakatifu cha Q'RAN ni mtume MUHAMMDA , na alizaliwa miaka ya karibuni na IBRAHIM yeye alizaliwa miiiigi sana liyopita na wakati kulikuwa hamna Q'RAN TUKUFU..naamini ushapata jibu jombaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Kina FaizaFoxy (wapotoshaji) wako wengi hapa duniani, Abraham ni baba wa Wayahudi hana Uislam wowote ndani yake, kwa kifupi, bila Abraham (Ibrahim) hakuna Wayahudi hapa duniani. Uislam ni dini iliyoletwa na Mohammed kimkakati mnamo karne ya 7, Kimkakati kivipi? Mohammed hakupewa unabii na Mungu bali yeye mwenyewe ndiye aliyejipa huo unabii na alikuwa anaua watu makusudi akilazimisha wamuite nabii. Walimu wengi wa dini ya Kiislam ni watu waliofeli shule, mtu hajuwi chochote kuhusu dini yake ila ataropoka tu na kupotosha watu wasiojitambua akili ndipo unakuja kukutana na mtu mpuuzi kama Ali Kiba au FaizaFoxy kwa kujiaminisha upuuzi eti kila mwanadamu kazaliwa akiwa Muislam, sijuwi wanatoa wapi ujinga huu? Clearly, hii inaonyesha kuwa hawajuwi lolote kuhusu dini yao bali wanafuata upepo tu.
 
Mtoa mada tumia muda wako kujadili hatma ya maisha yako ya dunia badala ya kuhangaika na dini.
Unawashwa washwa sana na waislam, kwani umeanza kuujua uislam leo?
Hata muislam anayepoteza kuda kujadili ukristo hana akili kama huyu mtoa mada.
Udini hauleti maendeleo.
Hujui kama dini 3 za Yerusalemu zinaitwa Abrahamic religions? Why
Abraham ndiye baba wa hiki kizazi kilichalaaniwa, na dini zote (Judaism, Christianity, Islam) zimetokana na kizazi chake. Bahati mbaya, kwenye ukanda wa Mashariki ya Kati, jamii hawakuukubali Uislam kutokana na matukio ya kinyama aliyokuwa anayafanya Mohammed na wafuasi wake na Waarab ambao sio Waislam pamoja na Wayahudi hawakumkubali, wakawa wanamuita "kichaa," au "mtu aliyepatwa na pepo." Kumbukeni Mohammed alipata ukichaa baada ya kushukiwa na majini. Waislam wengi hili hawataki kuliongelea ila ukweli unabaki kuwa ni ukweli tu.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Umeshakiri kuwa hujui, usituumize kichwa.

Unachotakiwa uulize kwa kuwa hujui.
 
Kina FaizaFoxy (wapotoshaji) wako wengi hapa duniani, Abraham ni baba wa Wayahudi hana Uislam wowote ndani yake, kwa kifupi, bila Abraham (Ibrahim) hakuna Wayahudi hapa duniani. Uislam ni dini iliyoletwa na Mohammed kimkakati mnamo karne ya 7, Kimkakati kivipi? Mohammed hakupewa unabii na Mungu bali yeye mwenyewe ndiye aliyejipa huo unabii na alikuwa anaua watu makusudi akilazimisha wamuite nabii. Walimu wengi wa dini ya Kiislam ni watu waliofeli shule, mtu hajuwi chochote kuhusu dini yake ila ataropoka tu na kupotosha watu wasiojitambua akili ndipo unakuja kukutana na mtu mpuuzi kama Ali Kiba au FaizaFoxy kwa kujiaminisha upuuzi eti kila mwanadamu kazaliwa akiwa Muislam, sijuwi wanatoa wapi ujinga huu? Clearly, hii inaonyesha kuwa hawajuwi lolote kuhusu dini yao bali wanafuata upepo tu.
Oh kumbe?

Tukuamini wewe bila ushahidi?
 
Oh kumbe?

Tukuamini wewe bila ushahidi?
Bila ushahidi kivipi, kwani hujasoma historia wewe? Mbona vitabu vipo vingi tu vya kukuelimisha ila hutaki kujielimisha unaamini upuuzi na kupotosha watu wasiojitambua akili.
 
Vitabu vya uongo hivyo.

Kitabu kimoja tu ndiyo chenye sifa ambazo vitabu vingine vyote uvijuavyo havina sifa hizo.
 
Acha upumbavu wewe. Tulia dawa ikuingie
Mpumbavu ni mwanamke aliyeingia labor kuzaa kiumbe wewe usiye na faida kwa human race. Mamako kaambulia utamu tu.
Unadhani mi nna maumivu?
Mnapoteza muda kwa mada hivi, uislam wala ukristo havijaanza leo. Unadhani huyo mtoa mada na wewe mpuuzi ndio wa kwanza kuhoji suala hilo?
Mnadhani mtawabadilisha waislam wawe wakriso kwa style hii?
Pathetic.
 
Abraham ndiye baba wa hiki kizazi kilichalaaniwa, na dini zote (Judaism, Christianity, Islam) zimetokana na kizazi chake. Bahati mbaya, kwenye ukanda wa Mashariki ya Kati, jamii hawakuukubali Uislam kutokana na matukio ya kinyama aliyokuwa anayafanya Mohammed na wafuasi wake na Waarab ambao sio Waislam pamoja na Wayahudi hawakumkubali, wakawa wanamuita "kichaa," au "mtu aliyepatwa na pepo." Kumbukeni Mohammed alipata ukichaa baada ya kushukiwa na majini. Waislam wengi hili hawataki kuliongelea ila ukweli unabaki kuwa ni ukweli tu.
Hii dunia yote tangu umeanza uislam kama unavyodai wewe hajawahi kutokea waislam wenye akili?
Kwahiyo ulitaka waarab wamkubali tu kirahisi ni nabii? Yesu alikubalika na watu wote?
 
Kina FaizaFoxy (wapotoshaji) wako wengi hapa duniani, Abraham ni baba wa Wayahudi hana Uislam wowote ndani yake, kwa kifupi, bila Abraham (Ibrahim) hakuna Wayahudi hapa duniani. Uislam ni dini iliyoletwa na Mohammed kimkakati mnamo karne ya 7, Kimkakati kivipi? Mohammed hakupewa unabii na Mungu bali yeye mwenyewe ndiye aliyejipa huo unabii na alikuwa anaua watu makusudi akilazimisha wamuite nabii. Walimu wengi wa dini ya Kiislam ni watu waliofeli shule, mtu hajuwi chochote kuhusu dini yake ila ataropoka tu na kupotosha watu wasiojitambua akili ndipo unakuja kukutana na mtu mpuuzi kama Ali Kiba au FaizaFoxy kwa kujiaminisha upuuzi eti kila mwanadamu kazaliwa akiwa Muislam, sijuwi wanatoa wapi ujinga huu? Clearly, hii inaonyesha kuwa hawajuwi lolote kuhusu dini yao bali wanafuata upepo tu.
😀😀😀 haya, basi sawa walimu wa uislam wamefeli shule hapa Tanzania.
Na huko mataifa mengine pia walimu wao walifeli? Nenda kasome uislam halafu uje hapa kushuhudia tena......kwa elimu gani iliyo ngumu hapa Tanzania?
Nyinyi na akili zenu mnawazidi nini Saudi Arabia au Misri kwenye waislam wengi?
Ficha ujinga wako.
 
Mtaalamu nini tofauti ya myahudi na muisrael?

Mengine yaacheni yapite tu, yatawasumbua kichwatu.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Sema uislam umeenezwa na Muhamad, ila umeletwa na Dola ya Rumi
 
Back
Top Bottom