Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kanisa ni taasisi ya Mungu, hivyo tumia lugha ya staha na heshima, usiseme kuiba, itaonekana ni wezi, tumia neno loot, hata Mungu ameruhusu.Kumbe wakatoliki walishawahi kuvamia sehemu na wakaiba, kweli mkataa asili ni mtumwa
We pascali acha kuremba tukio, haya wali loot, ila ukweli unajulikana walifanya tukio ganiKanisa ni taasisi ya Mungu, hivyo tumia lugha ya staha na heshima, usiseme kuiba, itaonekana ni wezi, tumia neno loot, hata Mungu ameruhusu.
Ile siku Waisraeli wanaondoka utumwani Misri, kila mtu aliagizwa kuazima dhahabu na vito vya thamani vya jirani yake kwa ahadi ya kwenda kuabudia tuu na baada ya ibada watarudisha!, kumbe ndio kimoja!, kufika asubuhi, jamaa hawapo, wame yeye!. Ndipo Pharao akachukua farasi na majeshi yake kuwafuata, wakawakuta wanavuka bahari ya Sham, huku maji yamesimama!. Majeshi yalipoingia baharini kuwafuata, yale maji yakarudi na kuwaangamiza wote!.
P
Kuna tofauti kati ya kuiba na ku loot, kuiba ni dhambi, ku loot ni baraka, ndio maana proceeds za loot ya hekalu la Constantinople zimejenga St. Peters Basilica na kanisa Katoliki limebarikiwa.We pascali acha kuremba tukio, haya wali loot, ila ukweli unajulikana walifanya tukio gani
Wewe Mzee noma Sana Sasa nakupa jinaKanisa Katoliki ndilo dhehebu tajiri kuliko madhehebu yote duniani!.
Utajiri mkubwa wa kwanza ni Warumi walivamia hekalu la Constantinople kule Uturuki waka loot kila kitu, wakaliteketeza, hizo loot wakaenda kujengea St. Peter's Basilica, Vatican!. Hiyo meza hapo ukutani ni pure gold!.
Ile fimbo ya Papa ni the oldest pure gold!.
Na kwa Tanzania ndilo dhehebu kubwa lenye waumini wengi kuliko dini zote, ni kanisa tajiri, na rais wa Tanzania anapokuwa ni Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki!.
P
hawez kuwa mwarabuMwarabu kashapewa bandari mzee
Mchonganishi na mnafiki P. Unajisikiaje DP world wanapewa bandari zetu bure milele na miundo mbinu yake kama sgr bandari kavu, nawe unafurahia!Kanisa Katoliki ndilo dhehebu tajiri kuliko madhehebu yote duniani!.
Utajiri mkubwa wa kwanza ni Warumi walivamia hekalu la Constantinople kule Uturuki waka loot kila kitu, wakaliteketeza, hizo loot wakaenda kujengea St. Peter's Basilica, Vatican!. Hiyo meza hapo ukutani ni pure gold!.
Ile fimbo ya Papa ni the oldest pure gold!.
Na kwa Tanzania ndilo dhehebu kubwa lenye waumini wengi kuliko dini zote, ni kanisa tajiri, na rais wa Tanzania anapokuwa ni Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki!.
P
Kwani wao ndiyo wanakusanya kodi?Waongeze mishahara au wanatoa Waraka hawahusiki kuongeza mishahara???
Kuna comment ukisoma unaishia kucheka tu,kwamba Makanisa ya Kiprotestant yana ukwasi kuliko Kanisa Katoliki.Hata kama umeamua kutudanganya,usingekuja na hii hoja.Nyie watu hivi mmechanganyikiwa nini? Wana nguvu gani?
Hizo hoja ulizosema hapo zote hazina msingi. Hizo ni fikra mgando ambazo mmekuwa mkilishana katika vijiwe vyenu vya kahawa huko alafu unakuja kutudanganya humu wenze akili zetu?
Sicilia nikwambie mtoa mada. Hakuna nguvu ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Hawana nguvu yeyote ile. Hata kwa Wakristo tu kwa sasa nchini Tanzania wakristo wengi wapo kwenye madhehebu ya kiprotestant na haya ndo madhehebu yenye ukwasi nchini kwa sasa.
Hata ukija kwenye oradea ya matajiri wa Tanzania. Ambao hawa ndo watu ambao unaweza sema wanaweza tetemesha nchi wengi ni waislamu na wachache waliobaki ambao ni wakristo wengi ni wadhehebu ya kiprotestant hasa walutheri.
Hiyo nguvu ya kabisa katoliki mmeitoa wapi?
Unaongea utadhani wewe ndiyo una mamlaka na Nchi hii,hebu tuendelee kupiga porojo hapa na Rais Mkatoliki atakuja tena na hutakuwa na la kufanya,sana sana utaishia kubwabwaja tuHawa watu ni wajinga tu. Amini nakwambia. Na kwa kuwa sasa tumeshajua kuwa ni wajinga sidhani kama atatokea tena Rais mkatoliki nchi hii.
😂Amin🙏Hawa watu ni wajinga tu. Amini nakwambia. Na kwa kuwa sasa tumeshajua kuwa ni wajinga sidhani kama atatokea tena Rais mkatoliki nchi hii.
Basi wapuuzi hawana ishu domo tupuKwani wao ndiyo wanakusanya kodi?
Wanatoa hizo huduma Bure hao nao wafanya biashara kama hao matajiri uliowaita wakiislam Kuna Clinical officer kasoma Bugando bure???Kuna comment ukisoma unaishia kucheka tu,kwamba Makanisa ya Kiprotestant yana ukwasi kuliko Kanisa Katoliki.Hata kama umeamua kutudanganya,usingekuja na hii hoja.
Hao matajiri wengi Waislam hata hayana maana sana kwa kuwa pia hawana msaada wowote,vinginevyo tuwaone wakijenga mashule,Hospitali kubwa kama Bugando au KCMC,hospital kubwa ambazo Serikali imezifanya kuwa DDH achilia mbali vituo vya afya ambavyo Kanisa linavyo kila mahali hapa Nchini.Hao matajiri wa Ki Islam wasaidie kwa kujenga Vyuo vikuu vyenye nguvu kama SAUT, Chuo Kikuu cha afya cha Bugando na vyuo vinavyotoa Clinical Ofisas wengi kama vilivyopo kila mahari vilivyojengwa na Kanisa Katoliki.Hapo utaeleweka,lakini maneno matupu bado hujanishawishi.
Sawa bossBasi wapuuzi hawana ishu domo tupu
Wanadekezwa mnoNyie watu hivi mmechanganyikiwa nini? Wana nguvu gani?
Hizo hoja ulizosema hapo zote hazina msingi. Hizo ni fikra mgando ambazo mmekuwa mkilishana katika vijiwe vyenu vya kahawa huko alafu unakuja kutudanganya humu wenze akili zetu?
Sicilia nikwambie mtoa mada. Hakuna nguvu ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Hawana nguvu yeyote ile. Hata kwa Wakristo tu kwa sasa nchini Tanzania wakristo wengi wapo kwenye madhehebu ya kiprotestant na haya ndo madhehebu yenye ukwasi nchini kwa sasa.
Hata ukija kwenye oradea ya matajiri wa Tanzania. Ambao hawa ndo watu ambao unaweza sema wanaweza tetemesha nchi wengi ni waislamu na wachache waliobaki ambao ni wakristo wengi ni wadhehebu ya kiprotestant hasa walutheri.
Hiyo nguvu ya kabisa katoliki mmeitoa wapi?
Wana nguvu wawaongeze watumishi mishahara nguvu ya kupiga Domo hakumsamdii Yeyote porojo zaoSawa boss
Kwa kukujuza tu,pale Bugando kuna wanafunzi wa Udaktari kamili na hao Clinical Officers achilia mbali kozi za Famasia na Nursing.Back to the point,sasa si wajenge hizo Hospital na Mashule na watozeshe pesa kwa huduma au kuna zuio kwao? Mbona Chuo Kikuu kile cha Morogoro mlichopewa majengo bure na Rais Mkapa wanafuzi wanalipia ada,fanyeni sasa na kwa huduma zingine ili tuone na si kulishutumu Kanisa Katoliki kwa kujenga miundo yake ya Mashule,Hospitals na kutozesha huduma.Wanatoa hizo huduma Bure hao nao wafanya biashara kama hao matajiri uliowaita wakiislam Kuna Clinical officer kasoma Bugando bure???
Tulia acha kutetea wafanya Biashara hakuna shule ya kiislam ya bure wala ya kikatoliki ya bure wote ukienda huduma zao utauziwa tuuuu wote wafanya biasharaSasa si wajenge hizo Hospital na Mashule na watozeshe pesa kwa huduma au kuna zuio kwao? Mbona Chuo Kikuu kile cha Morogoro mlichopewa majengo bure na Rais Mkapa wanafuzi wanalipia ada,fanyeni sasa na kwa huduma zingine ili tuone na si kulishutumu Kanisa Katoliki kwa kujenga miundo yake na kutozesha huduma.