Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kanisa ni taasisi ya Mungu, hivyo tumia lugha ya staha na heshima, usiseme kuiba, itaonekana ni wezi, tumia neno loot, hata Mungu ameruhusu.Kumbe wakatoliki walishawahi kuvamia sehemu na wakaiba, kweli mkataa asili ni mtumwa
Ile siku Waisraeli wanaondoka utumwani Misri, kila mtu aliagizwa kuazima dhahabu na vito vya thamani vya jirani yake kwa ahadi ya kwenda kuabudia tuu na baada ya ibada watarudisha!, kumbe ndio kimoja!, kufika asubuhi, jamaa hawapo, wame yeye!. Ndipo Pharao akachukua farasi na majeshi yake kuwafuata, wakawakuta wanavuka bahari ya Sham, huku maji yamesimama!. Majeshi yalipoingia baharini kuwafuata, yale maji yakarudi na kuwaangamiza wote!.
P