Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Unafaidi sana Sheikh, naziona Neema za Allah! Si haba naona mvushaji nae kaambulia kushikaKutoka dar mpaka kijijiniView attachment 1426076View attachment 1426077
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa wtakuw wanasema Dar inetuhariia mwanakijii mwenzetu. Kawa mwanaume wa dar!
Maji yanayotembea ni bora uwe boya tu sio kuogopa eti mwanaume wa dar uingie yakubebe.
Utakuaje "BOYA"?Maji yanayotembea ni bora uwe boya tu sio kuogopa eti mwanaume wa dar uingie yakubebe.
Huyo jamaa aliombemba mkeo kashika utamu wote aisee,ila ww jamaa ni nyanya sana!
Nife maji kisa kichwa cha familia kwani nliebebwa ni mimi tu pekeanguHalafu mnafika nyumbani unaanza kusema kichwa cha familia....labda kama ni familia ya minyoo.
Kwani hao wavushaji wamekulia vijijini?
πNimeliona dada! Ila
Tusikilze ushauri kutoka kwa wataalamu corona ipo[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzenu mikoani tunatembea na mitumbwi kwenye begi. Ukifika sehemu ya hivyo iliojaa maji unatoa mtumbwi wako unapiga kasia chap hadi upande wa pili. Unakunja mtumbwi kwenye begi maisha yanaendelea..
Sasa vijana wa dar wanywa alkasusu sijui mkoje?
Kutoka dar mpaka kijijiniView attachment 1426076View attachment 1426077
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wanayaona hayo maji kwa camera yametuliaWatu mnalaumu tu
Wakati mwingine rizki tunapeana tu kama wabebaji wasingekuwepo ni wazi kuwa jamaa angevuka vizuri tu na mkewe angekunja gauni wavuke
Maji yenyewe ya magoti tu
Huwezi kukomaa jamaa wanakwambia bro tunakuvusha kwa elfu mbili tu we na mkeo
Wakati mwingine unagombewa ukiwa unakaribia tu kufika eneo hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!! Hivyo Mkuu uoga wako ni kufa tu? πππ na aliyekubeba je hajapita mwenyewe au ndio aliweza kupita sababu ana mzigo mgongoni? πππ Je hao wa pembeni nao? π€Unalijua vzr hili daraja kweli? Ishort walisha fiapo watu wengi tu waliojaribu kupita wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh. Sawa Mkuu.Shida sio maji mkuu shida ni maji yana presue kali mno unakwenda na maji kisa umeogopa kutoa pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudharau vya kwetu, hapo tunaongoza duniani.Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things [emoji23]
Ni kweli kabisa ila mabadiliko hua yanaanza na mtu binafsi, wewe umefanya nini ilikutengeneza mabadiliko au unashauri nini maana wengi Tanzania ni washauri, wakosoaji na waongeaji wazuri tunakwama utendaji kazi.Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things π
.....I see.... hata Mimi nimeuona.....Ulivyomkumbatia mbebaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mkeo ana msambwanda [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app