Hapa pa ni mimi na wife tunavushwa darajani

Hahaha hapana sio mimi..mimi siwezi kubebwa aisee bora nisombwe na maji, labda unibebe wewe unipeleke kukogaaβ€β€πŸ˜‹
Aaah!! Sema kweli bwana. Huyo ni wewe.
 
Mikono ya mbebaji aliembeba wa kike imeenda deep zaidi ya mikono ya mbebaji aliembeba wa kiume.

Hatari ya kuanguka imekaa zaidi kwa mbebaji aliembeba wa kike.


#UsinichanieMkeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtani wa Nyumbani umejua kuua hapa. Saafi. πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…