toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Wape namba wahuni wamchekeche kama hajatoka pangoni huyo mastaC
hukua neno (mapenzi ya kizamani) this means ulishatemwa zamani na sasa ana chombo kipya.
Kama unabisha nipe kazi ya ikachero nikujulishe wapi aliko ma yuko na nani😂
Muache atumike,akamulike kisawasawaNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Mkuu usalama uko wapi siku nne kala buyu na siku ya mwisho umesikia , “eeeh kibera, eeh kibera , eeh kamera , ondoa kamera nipo na demu wa mtu ondoa kamera, alafu jitu linamalizia chinomanawan” kuwe na usalama hapo, WE ZOMBI WE HAUJUI ?…..alafu kwa spid unaenda nayo hautaamini atavyokuja kujifanya ni victim ya bullying unayofanya hauta amininina namba ya rafiki yake wa kike, kwa sasa yuko likizo. siku taka kuuliza sana nachotaka nikumrudisha home wife akiwa salama
noted chiefPole san mkuu , punguza mategemeo kwa mkeo sasa Linda akili yako emotions zako bro.
Kak ongeza mke wa pili[emoji35][emoji32]
sio poah chiefC
hukua neno (mapenzi ya kizamani) this means ulishatemwa zamani na sasa ana chombo kipya.
Kama unabisha nipe kazi ya ikachero nikujulishe wapi aliko ma yuko na nani😂
sikubali hata kidogoMu
Muache atumike,akamulike kisawasawa
Acha wahuni wa Mkoani wamkamie kisawa sawa 😝😝
sikubali hata kidogo
thank you madamMpenzi kutokujali kusema alipo yaani alipofikia pole sana. Mwanamke hata wanaume anayempenda mkewe/mumewe hawezi kufanya hayo anayokufanyia.
Kazini kwake si unapafahamu naenda kasema umepoteza simu yako na ulikuwa karibu na hapo kuna kitu muhimu tumia akili ilijibiwa usemeje.. panda usafiri kesho nenda.
Kimya kimya utamkamata na lolote like, nifanye mjinga kabisa.. ila uwe na ubavu haswaa kwa utakayogundua
Kim uka kupima magonjwa kabla ya round ingine nae...
Yupo ni kufanya maombi tu kuna muda tunakuwa na machaguo ya watu inabidi tumuombe Mungu atupe machaguo yetu.Nimepitia bro,tulishindwana....sins imani tena kwamba yupo wangu
Afadhali kumbe kuna wanaoifurahia ndoa basi nalifanyia kazi na mimi nifurahie tamu ya ndoasio kwa wote mkuu
poa chiefIkibidi kufa Kabisa , kuzimika hakutoshi!
niko hopelessUsipoteze nguvu zako atarudi tu kwenye default settings
Yan ni simple tu kihivyo mkuu. Mambo ni mengi ya kufanya, tena yenye maana zaid hiz papuch zipo tuKabisa mkuu, yaani wewe kama baba boss wa familia, mdhamini kuu, dipromati mkuu wa familia unapiga simu hapokei hapo kavuka red line