Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Ushagongewa pole sana
 
Anzia stendi ukumbushie kuimba kale ka wimbo vidudu "namtafuta mke wangu,namtafuta mke wangu,hapa hayupo hapa yupo"
 
Pole sana
 
usiombe yakukute chief
 
Anatombwa moja kwa moja hakuna kumungunya maneno, hakuna sehemu wake za watu wanaliwa kama dodoma hasa kipind hich makao makuu yamehamia huko, namshauri bwana robertinho arud kwao atakufa kwa pressure
Kabisa binafsi ni shuhuda wa hili hasa yale maeneo ya mtumba pale magufuli city kunakojengwa ofisi za wizara zote unazozijua pamechafuka sana pale
 
Acha ujinga..tafuta hela
 
Kama kaenda Dodoma basi kwa 99.99% kuna jamaa anamtafuna. Siku hizi wanawake wengi washenzi wa safari za Dodoma. Inaonekana Dodoma mambo ni mengi. Labda tumsikilize dronedrake huenda akawa na maoni tofauti.
harakati za kumtafuta zinaendelea, ili nijue yuko salama ama kakumbwa na umauti ,kwenye hizi kumbi za walatino -profesa j (nikusaidieje)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…