Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.

Kwan smart nae yupo Bk au dar ?
 
Duuuh 🀣🀣🀣

Kwa mfano ulioutoa...kumbe mali zetu watu wa mitandaoni huwa wanajibwedea tu....🀣

Maskini shemeji yangu kwako...hwenda anapitia hizi comments na Wala haijui hiyo ID yako ewe uliyezaliwa MORO SUA,ukasoma UD na leo uko KAGERA....ha ha ha
 
Daahh, namhurumia mwenye jimbo.

Smart911 siwezi kukulaumu maana ulifichwa kutomjua mwenye jimbo
 
Sasa je[emoji39][emoji39]

Halafu wote mko Bukoba nyie makazini huko

So easy yaan

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe mahondaw best tumezaliwa siku moja, what a day to us!πŸ‘πŸ‘

Heri ya siku ya kuzaliwa dear, Mwenyezi Mungu akutunze na kukupa kibali cha kuishi miaka tele.

Ili kufurahia siku yako, nenda dukani kwa Mangi hapo chukua Hennessey zitakazokutosha bill nitumie πŸ˜€

Happy birthday mate 🍾πŸ₯‚
 
jumbe BROWN ba watoto hata hayupo jf na muda huu naoongea yupo sudani kikazi! Huku anarudi kwa miezi!
🀣🀣
Jamaa Yuko UNAMID mjini Darfur ha ha ha

Maliziamalizia kwani mandate inaisha DECEMBER 31....

Watu wanaumia huko wakiwawekea MADOLALI mje kutanua nyie mnawaachia tu akina SMART looh 🀣🀣
 
Inaitwa kupasha kiporo hiyo,dah!unachepuka mkuu ujue,wanawake hamnaga huruma aisee!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…