ohoooo tuongelee yakwangu wapendwa si vema kumjadili yeye pulliizz! Anyway nilikua huko nimehamishwa kikazi kumfata mume nimeolewa na muhaya mpenda kwao ndugu!
Daaah too Sad[emoji22]Yule bi mkubwa alimind sana,sema alichukulia kikubwa akamove on
Haha haha balaaWallah simjui [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kwa id nyingine
Uwii mbona kesi hii Wity
Kausha na weweJe unavyoongea mambo yako wewe na smart huoni unamkosea sana maana ni vitu personal ninyi wawili humu.
Wewe ni mwanaume au mwanamke!!Je unavyoongea mambo yako wewe na smart huoni unamkosea sana maana ni vitu personal ninyi wawili humu.
Sasa mbona umesema tukuulizr maswali alafu unachagua ya kujibu?ohoooo tuongelee yakwangu wapendwa si vema kumjadili yeye pulliizz! Anyway nilikua huko nimehamishwa kikazi kumfata mume nimeolewa na muhaya mpenda kwao ndugu!
🤣🤣Tunasoma na kuburudika ila inatuumiza mioyoni...Kumbe ndivyo mabaharia wanavyotutafunia mali zetu ha ha haInaitwa kupasha kiporo hiyo,dah!unachepuka mkuu ujue,wanawake hamnaga huruma aisee!
Hakuna chochote mlichofanya wewe na smart hakuna kuongopeana ongopeana hapaa!!!!
Nitahakikisha couple zote humu zinavunjika pumbavu!!!!!
🤣🤣
🤣🤣Mezea bana...Nishamjua huyo Mjeda
Comments reserved 😷
Ebu kwanza,,Hapa unaongelea nani kwani?? Mimi nimeolewa na muhaya amenihamishia kikazi bk jamani!Sasa je[emoji39][emoji39]
Halafu wote mko Bukoba nyie makazini huko
So easy yaan
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mjeda yuko zake darfuri huku nyuma mabaharia wanamtafunia 😂,halafu unawaweza kukuta demu kadi ya bank anayo yeye akienda kutoa pesa anaenda na mchepuko wake 😂🤣🤣Tunasoma na kuburudika ila inatuumiza mioyoni...Kumbe ndivyo mabaharia wanavyotutafunia mali zetu ha ha ha
Hayo yamejaa mkuu wangu....Mjeda yuko zake darfuri huku nyuma mabaharia wanamtafunia 😂,halafu unawaweza kukuta demu kadi ya bank anayo yeye akienda kutoa pesa anaenda na mchepuko wake 😂
Ulikuwa unakosa nini kwa mumeo? Mpka ukaamua ku cheat na kijana wa JFLol mara kibao tu na tukikutana kam kawaa tunasambaziana maupendo kwakwenda mbelee! He Call me I call him, he text me I text him, sometimes ananichamba namchamba vilevile ivoivo hata nikiwa na kitu kigumu cha kazini namuuliza ananisaidia hahahaha! Ikumbukwe tumeachana jamani!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchuchu wake wa humu?
Sasa mbona ulimharibia mwenzako wakati hajaolewa while we una ndoa yako?
Kaswali ka mwisho dear..
Eti smart ni mdingi mtu mzima kisheti?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app