Hahahaha...inauma sana Braza[emoji23]...Watu wanapiga kazi huko, kumbe baadhi ya wake zetu wanafanya yao! Hahahahah....Too sad.[emoji1787][emoji1787]
Jamaa Yuko UNAMID mjini Darfur ha ha ha
Maliziamalizia kwani mandate inaisha DECEMBER 31....
Watu wanaumia huko wakiwawekea MADOLALI mje kutanua nyie mnawaachia tu akina SMART looh [emoji1787][emoji1787]
Niwe mkweli hapana
Mahondaw ni rafiki yangu, tunashare story nyingi tu PM
So mi najua ni mdada kwakweli
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hatareee broda...Hahahaha...inauma sana Braza[emoji23]...Watu wanapiga kazi huko, kumbe baadhi ya wake zetu wanafanya yao! Hahahahah....Too sad.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Nilisikia imefungwa[emoji848]Sijapita kitambo kule though wakati ule tukiwa chuo ilikuwa mitaa yetu ya kuvinjari.
Nimekumbukia Old moments [emoji1635]
😂😂Tatizo mahondaw umepaniki
Wee mwenyewe umesema tukuulize maswali now unakuwa mkali tena
It's not fair at all
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahaha sijakutwa na chochote mie nina stress zangu tu za maisha
Yes yesSina cha kufunguka zaidi bali kwa jinsi nilivyokuwa nawasoma humu naamini walipendana sana labda mahondaw alipenda zaidi. Kirusi kikaingia na kuharibu kila kitu. Unajua JF ni kubwa sana nilibahatika kuziona posts humu nikahitimisha kwamba hawako vizuri.
BAK nasubiri majibu kwa kina😎
Pole dear[emoji22][emoji22]
Inaonesha huu uhusiano ulikuwa umependa kupindukia, I can feel it[emoji848][emoji22]
Let me stop it
Dina please[emoji848][emoji22]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahhahaha....Wanawake bhana[emoji23], ila ni baadhi...kwa hali hii siwezi muachia mke wangu kadi kirahisi rahisi.Mjeda yuko zake darfuri huku nyuma mabaharia wanamtafunia [emoji23],halafu unawaweza kukuta demu kadi ya bank anayo yeye akienda kutoa pesa anaenda na mchepuko wake [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo yamejaa mkuu wangu....
Aaagh tuvipende tu vitoto vyetu kwani WANATUZALIA HAO...[emoji1787][emoji1787]
Kutwa mafua na vikohozi visivyokwisha kutokana na vumbi la Darfur...huku mabaharia wanatanua tu mpaka ATM machine looh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu yepi tena wakati posts za kuonyesha kwamba walikuwa wanapitia kipindi kigumu zilikuwemo humu? Sina cha zaidi nilibahatika tu kuziona nikashangaa sana. Mimi niliwapenda kama couple walikuwa wako vizuri na mimi niliamini wote ni single hivyo nikategemea iko siku wangetutangazia harusi.
Toka umeuliza Jimbo liko wazi umeona ukijibiwa???Jaman chakorii anataka jua jimbo lipo wazi ajiachie kwa smart
Kweli kabisaa, sijakata tamaa ninamuelewa sana huyu mrembo, nil8kua nikiona cc ninaruka sisomi [emoji3059]Hukati tamaa mkuu umesubiri sana
Basi hazipo tena jiachie kwa adabuKweli kabisaa, sijakata tamaa ninamuelewa sana huyu mrembo, nil8kua nikiona cc ninaruka sisomi [emoji3059]
Yes yes
Mahondaw alimpenda huyu kaka sana sana.
Duuh mapenzi haya[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] afuu weweSawa
Kwa hiyo jimbo halipo wazi?
Sawa tumeacha jamaniToka umeuliza Jimbo liko wazi umeona ukijibiwa???
She seems still ako na feeling kwake
Amekwambia unataka alie, hadi nimeona huruma[emoji848][emoji22]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app