Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
Hahahaha...inauma sana Braza[emoji23]...Watu wanapiga kazi huko, kumbe baadhi ya wake zetu wanafanya yao! Hahahahah....Too sad.[emoji1787][emoji1787]
Jamaa Yuko UNAMID mjini Darfur ha ha ha
Maliziamalizia kwani mandate inaisha DECEMBER 31....
Watu wanaumia huko wakiwawekea MADOLALI mje kutanua nyie mnawaachia tu akina SMART looh [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app