Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
[emoji1787][emoji1787]
Jamaa Yuko UNAMID mjini Darfur ha ha ha

Maliziamalizia kwani mandate inaisha DECEMBER 31....

Watu wanaumia huko wakiwawekea MADOLALI mje kutanua nyie mnawaachia tu akina SMART looh [emoji1787][emoji1787]
Hahahaha...inauma sana Braza[emoji23]...Watu wanapiga kazi huko, kumbe baadhi ya wake zetu wanafanya yao! Hahahahah....Too sad.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Sina cha kufunguka zaidi bali kwa jinsi nilivyokuwa nawasoma humu naamini walipendana sana labda mahondaw alipenda zaidi. Kirusi kikaingia na kuharibu kila kitu. Unajua JF ni kubwa sana nilibahatika kuziona posts humu nikahitimisha kwamba hawako vizuri.
Yes yes

Mahondaw alimpenda huyu kaka sana sana.

Duuh mapenzi haya[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂😂 majibu yepi tena wakati posts za kuonyesha kwamba walikuwa wanapitia kipindi kigumu zilikuwemo humu? Sina cha zaidi nilibahatika tu kuziona nikashangaa sana. Mimi niliwapenda kama couple walikuwa wako vizuri na mimi niliamini wote ni single hivyo nikategemea iko siku wangetutangazia harusi.
BAK nasubiri majibu kwa kina😎
 
Mjeda yuko zake darfuri huku nyuma mabaharia wanamtafunia [emoji23],halafu unawaweza kukuta demu kadi ya bank anayo yeye akienda kutoa pesa anaenda na mchepuko wake [emoji23]
Hahhahaha....Wanawake bhana[emoji23], ila ni baadhi...kwa hali hii siwezi muachia mke wangu kadi kirahisi rahisi.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Hayo yamejaa mkuu wangu....

Aaagh tuvipende tu vitoto vyetu kwani WANATUZALIA HAO...[emoji1787][emoji1787]

Kutwa mafua na vikohozi visivyokwisha kutokana na vumbi la Darfur...huku mabaharia wanatanua tu mpaka ATM machine looh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu yepi tena wakati posts za kuonyesha kwamba walikuwa wanapitia kipindi kigumu zilikuwemo humu? Sina cha zaidi nilibahatika tu kuziona nikashangaa sana. Mimi niliwapenda kama couple walikuwa wako vizuri na mimi niliamini wote ni single hivyo nikategemea iko siku wangetutangazia harusi.

Post zip hizo mi sikuona jamani
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom