Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Yaani lile vumbi la upepo na ukame wa El Geneina ,Abu Kutni na Loubouna....afu bibie anatamba tu na mcheps back home daaah....ukisikia mtu anang'olewa kucha zote nzimanzima kwa MENO usishangae....japo eti Witnessj anaturai TUVUMILIE...eti nasi wanaume TWATAFUNA pembeni 🤣🤣🤣

Mke AUMA nyie.......
Kutafuniwa kwauma nyie....

Ayaaaa Dec 31(anajua Mahondaw) si mbali in Shaa Allah.....
 
Aisee kweli mapenzi ya mitandaoni ni mauongo uongo mwingi......yaani mlivyokuwa mnarusha roho watu humu tukajua nyinyi ni '18 Bonnie and clyde wa kizazi kipya....Umetufunza kitu humu kuhusu mademu......Ni kweli hapo imeisha hiyo haiwezi tutokea mkarudiana maana wewe ndio uliyekoroga ila kama ingekuwa smart ndio kalikoroga mngerudiana.

Ngoja smart aje kutupa Muongozo ila mme wako huyo msudani akija kujua kwamba naye ulimcheat si anaweza pia akakupiga chini? au nayo umetupiga kamba? Kwa maelezo uliyoyatoa huyo msudani lazima atakujua ndio wewe.

Cc: Smata411 and mahandazi.
 
Kidole gumba[emoji106]

Ila uliyoyasema ukiwa unayaishi kweli na ww mkuu, aiseee Mungu akubariki[emoji23][emoji23]

Kidogo nimepata moyo kumbe hadi nyie mnaumia aisee kwa matukio mnayofanyaga[emoji23]
 
Ukitaka kudata ubongo sasa ni kulazimisha kichwa kuelewa hii story[emoji23][emoji23]

Ila haya maelezo aliyochukuliwa Huyu mwanamama na aliyoyatoa kama ni kweli aisee ni msala kabisa[emoji1784][emoji1784]
 
mahondaw zingatia nilipobold tafwazali🤣unahitaji adhabu kali mno haiwezekani utuumizie smart wetu

Smart911 na sifa zote hizo alizotoa bibie hapo juu bado unaumizwa!!☹️☹️☹️nimesikitishwa kwa kina sana

Ila na sisi wanawake bhna..ona smart wa watu kakaa kimyaaa sisi sasa tunavyoruka ruka utafikiri popcorn 😏😏

Shikamoo mapenzi 😢😢
 
Hujasahau ya Ufoo Saro eeh, jamaa lipo huko Darfur linahenyeka wewe unakitembeza huku, shauri yako. Halafu ndio umeyaweka mahusiano wazi as if hujaolewa, at least kuwe na usiri...dadeq mtauwawa na waume zenu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…