Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Nimeanza nini?? Nipo kwenye uzi wangu sitoki hapa aisee! Wakuchamba wanichambe weee wakunisema waniseme weeeee ukweli tunaujua wawili tu!!
Kweli ukweli mnaujua wawili tu. Umeamua kuchangamsha jukwaa bibie! Hakuna cha mume hapo na hakuna cha ndoa ingawa una watoto. Kagera ulikuwepo zamani Mleba ulipojifunza Katerero si sasa. Happy Birthday kimwana
 
Khakhaa! Hapana. Ki jf Ilikua real and kiuhalisia I was cheating on mzee wa miongozo hakujua kama nimeolewa nauongo mwingine mwingi tu.
Hahahahah

"Ngoja waje watakupa muongozo"

Cc:mahondaw

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hizo Cc ulivoziedit mi hoiπŸ˜€πŸ˜€ Smata na mahandaziπŸ™Œ
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…