The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Mh hapa cjaelewa bado mkuu, kwamba uliolewa na smart au uliolewa na mtu mwingine zen mkaachana ndo ukawa na smart.Asante Joanah . kama nilivosema nyuma ya keyboard kumejificha mengi mno! anyway zile annirversaries zilikua ndani ya ndoa my dia, I got married 2016 na mzee wa mwongozo tulikwaruzana badae tukafahamiana ki jf jf 2017.
thanks mpendwa, kwasasa naishi bukoba,, niliwahi ishi moro, dar, mwanza, kigoma, arusha, na mbeya. Nilizaliwa moro mazimbu huko elimu primary sua, olevo kilakala, advance moro sec, chuo UD. Experience naifeel sana sekta ya afya sema physics na kemia viligoma kabisa aisee viligoma mapemaaa form two huko!Nakupenda huna ugomvi na mtu.
Nauliza unaishi wapi na uliwahi kuishi wapi, wapi ulizaliwa, historia ya elimu yako. Life experience gani unaipenda na kutamani iwepo/ingekuwepo kwako milele.
Happy birthday
Ndugu yangu s h i k a m o o. 🤣🤣🤣Mmmh emmy
Tehteh! Hapana mkuu today is my birthday and i want to celebrate it in this way!Kwa hiyo na Leo sio birthday yako? Nitaamini siku tukionana...[emoji6][emoji6][emoji6][emoji854][emoji854]
Have a blast one hun....[emoji3060][emoji3060]
Nikutakie kila lenye kheri na baraka zake Mola kareem...Hello guys!
Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya mungu awabariki wapendwa. Pia nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na wachochea kuni wote tupo pamoja mazee nyie pia kheri iwe nanyi.
Karibuni mnipikie mniimbie mniswalike mnichekeshe na kunizawadia pia.
Warmly welcome
Nakutakia mema katika maisha yako, mipango mizuri na ikatimie wakati mipango mibaya ikididimia...Hahahaa! Ni avatar tu haina uhalisia wowote namimi!
Hugs and kisses and lots of love your way...enjoy your day mahondaw....Tehteh! Hapana mkuu today is my birthday and i want to celebrate it in this way!
Binamu naruhusiwa kumpokelea? 🤣🤣Nikutakie kila lenye kheri na baraka zake Mola kareem...
HBD ya nguvu always uwe imara na Afya muruwa.
Bila mzaha au bila ajizi... chagua Zawadi !!
Good Luck
Binamu umenisusa binti al-Ladhina!!Binamu naruhusiwa kumpokelea? 🤣🤣
Mi nasema Mara.....ba kwa niaba ya ....wazee wenzanguNdugu yangu s h i k a m o o. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tu best keyboard inatusevu si mchezo!Haaahaaa [emoji16]
Haaahaaahaa [emoji1787]
Kuna watu hawalijui hili[emoji22] Poor them
Mi ukinijudge Jf mbona utakoma kwenye uhalisia wangu[emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app