Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Hapana

Wa mtaani namdhibiti, wangu hata jf haijui kama inaexist humu duniani which makes me happier[emoji848]

Wanaume wa humu wamelishana mautopoloo kuhusu wanawake yaan ni negativity tu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Yes ni kweli kabisa
Humu panaudhi sana kuna muda
Lakin kumbuka kuna watu wanatumia jf kisiri huwezi jua
 
But Best the evidence is all over the place you don’t have to search for it. ME wako anaishi dunia ipi haijui JF?
Hapana

Wa mtaani namdhibiti, wangu hata jf haijui kama inaexist humu duniani which makes me happier[emoji848]

Wanaume wa humu wamelishana mautopoloo kuhusu wanawake yaan ni negativity tu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
But Best the evidence is all over the place you don’t have to search for it. ME wako anaishi dunia ipi haijui JF?

My man hajui hata kitu kinaitwa JF
Whatsap nilimdownlodiaga mimi

Akajaribu insta akashindwa akafuta
Facebook nayo akawa anauliza jinsi ya kutumia yakamshinda akafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom