Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

acha mambo yakike.
 
Kumbe na wee unasherekea bday

Ova

Kizazi chetu, miaka tuliyozaliwa, Zama zetu ni tofauti na waliotutangulia.
Hivyo kifikra, kitamzamo, kiutendaji, kihisia, Kiroho tunafanya mambo tofauti na waliotutangulia.

Ikiwa Jambo halidhuru, linafurahisha na kuwapa Watu furaha, halivunji maadili na sheria za nchi wala za Mila na desturi, sioni ajabu likifanywa ikiwa ni Kwa hiyari na mapenzi ya Watu wenyewe
 


Happy New Year to you Robert Heriel Mtibeli

 
Duh basi sawa

Ova
 
Uwe na maisha marefu
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mwenetu mboga huyu.
unaweza kumkuta hata anajichubua ili aonekane bishoo.

Hawa ndio wanatamani kuwa Kama dada zao.
 


Umezaliwa leo??
 
Wee nawe nimwanaume?
weechoko tuu.
wanaume hatuna habari za birthday Kama wanawake.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Unafikiri uchungu wako WA Maisha kuutoa hapa ndio utapata Relief?
Ikiwa ni hivyo basi kazana Sana, utaikomboa familia yako na Wazazi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…