Happy birthday to you To yeye

Mashairi mamzito sote tu mamvumbini na uvumbi tutarudi hbd🀣🀣
 
Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa. Ishi sana mrembo.
 
Ilo neno la mwisho hapo, nilisoma haraka haraka nikahisi umeandika kinenaπŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ Khaaah
 
Mama la mama , sweetie , dada ake , mwamba wa kike , sisteri ishi sana huna baya dada ake sema nini ? Nipo Mbalizi police post fanya hata kunipa mualiko mwenzio niwe nimepata pa kula leo mchana [emoji848]

Maana mwenzio hii wikiendi nimeamua kuja mjini ila nimefika kwa msaada wa mwanakijiji hajanitoza nauli sasa hapa napanga wapi nitaenda kula freely japo Mungu mwema kumbe leo dada ake abazaliwa basi najua kula uhakika na kunywa .

Nakudedicate wimbo wa Lavalava _ Tajiri .

Ishi sana ndugu yangu huna baya .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
To yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…