Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Huyu mtoto ushamba na ulimbukeni vinamsumbua hiyo ndiyo ile wanasema "Masikini akipata matako hulia mbwata"
Mambo gani ya kumsimanga Mwenzio ilihali ulimsaidia kwa mapenzi yenu lakini leo mmeachana unasema kila kitu ulichomfanyia!
 
Wale ni Wajinga sana...

Yale malezi anayompa yule Binti yake sijui amejifunzia wapi... Imagine maisha Kajala aliyoishi,Jela alipopita,Bado anataka na Binti yake naye aje apite kule kule alikopita..

Nadhani ndiyo maana P-Funk aliamua kukaa kimya..

Majani na ubabe wake wote lkn kapoa binti yake anavyolelewa na kajala hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…