Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

CHAZA una hakika umesoma na kuelewa kweli nilichoandika? Au mahaba ndio yamekuongoza kujibu ? Unasema nisiwe bias kivipi? Sikuongelea wasanii in general bali mtu mmoja ambapo kwa nilichoandika kitakufaa hata wewe! Sikukurupa kuandika hii mada .. Hebu soma comment ya Viol hapa[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Kuna wazee mtaani kwetu walitukanana kesi zikaanza imedumu miaka 14 ,kila mtu anaonyesha umwamba wa hela ,iliwafilisi Hadi wakaanza kuuza mashamba hamna anayekubali ni mwendo wa kukata rufaa ,mwisho wa siku wakakaa chini wenyewe wamalize kimila na ikaisha wakiwa wameshafilisika
 
😲😲😲 Ulipata connection 😲😲😲
 
Michael Jackson alisoma wapi..kipaji hakihitaji shule wasomi wakina Ndege wangekula wapi...
Natambua uwezo mdogo wa wengi wetu wa kuchambua mambo hivyo inanibidi kila wakati nitoe ufafanuzi.. Na wengi kati yetu huwa hatusomi mpaka mwisho bali hukurupuka ku comment..ungekuwa umesoma hij para wala usingekurupuka kujibu ulichoandika[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Harmonize ni nmojawapo aliyekosa elimu kwa sababu zozote zile na kuja kuibukia kwenye sanaa ya mziki.. Na amefanya vema kwakweli mpaka hapo alipofikia.. Kutompongeza kwa hili ni wivu.

Katika njia yake ya kutafuta mafanikio zaidi amejikuta anakabiliwa na changamoto kadhaa ... Ambapo anahitaji timu makini, somi na yenye weledi kuweza kumvusha.
 
Mwanasheria mkweli na mwaminifu kamwe hakushauri ukimbilie mahakamani kama hakuna sababu nzito na za msingi...mahakamani kuna upotevu mkubwa wa vitu viwili PESA na MUDA.. Kesi inaweza kuendeshwa mwaka mzima minimal time ukashinda lakini mshtakiwa wako akakata rufaa kwa sababu ndogo sana, anaeza kusema procedure zilikosewa.. Baasi..kesi inaanza upya!
 
Mara ya kwanza akakubali kuwa yule ni yeye baada ya kuona ni sifa kuonyesha maumbile yake, akaambatanisha caption [emoji2420]?? [emoji1646]?? Ila baada ya kusanuliwa kuwa huo ni ujinga na itaathiri brand yake, anarudi nyuma na kusema si mimi, wameniunganishia picha coz alishajua kwa kukiri yule ndiye, angeanza kuhukumiwa yeye kwa kurekodi na kutuma picha hizo.

Huyu jamaa shida yake ni mikurupuko na hana management inayojielewa.
 
Keshaharibu kesi tayari na hili linaweza kutumika kama ushahidi...shida ya maandishi ni kwamba hayafutiki
 
si sapoti ujinga wao, ila swala la kusema mziki unakufa kwa kiki hapana kabisa, Kama tuzo zishaletwa nyingi tu na mtu fulani still bado appreciation hakuna zaidi ya kumkatisha tamaa. Hivi unakijua kitu kilichojengwa kwa jasho na damu wewe?
 
Wengi ikija sheria, we dont know our rights,Konde Boy is not exceptional..sema humpendi tu..unamkanyaga kiuweledi humu... πŸ™„ πŸ˜‘πŸ™„
Sema na wewe una mapenzi mengi sana na Harmonize, kila jambo usilopenda kusikia kumuhusu litakua ni chuki tu dhidi yake hata Kama lina Ukweli kias gani.
 
Hilo sidhani Kama utamaintain, labda unaishi ughaibuni huko. Lakini tambua hiki ni kipindi cha mpito tu. Na hata huko unapoona wewe ni bora pia Kuna ujinga mwingi tu , ambao hautufikii. Cha msingi sikiiiza kazi zao zinazokuvutia ujinga wao waachie wenyewe.
 
Sasa wimbo Kama huo hata usingizi hauji wa kazi gani sasa
Huo wimbo kwa mtu Kama mm najua kazi yake hasa nyakati fulani fulani. Jamani kuelimshwa yupo kaka yetu jelemiah mbona hamumsupport? Et jaman tatizo nini mbona watu wengi hamuyaishi maneno yenu au mnafanya unafiki na kupiga soga muda uende tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hata kazi zao ni utopolo mtu natumia mb zangu kusikiliza mtu anaeimba nyege nyegezi, au inama nifukue tope na utumbo mwingine km huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hauko serious bro, waganda wana miziki mizuri sana yenye ujumbe shida Ni lugha ila mi nawaelewa kiasi hivyo nawasikiliza sana, rwanda napo nawasikiliza baadhi huku kwetu wabadilike bado muda wanao hawajechelewa, ila kwa Sasa ndo hivyo mashabiki tumeanza kutafuta uelekeo mwingine kukidhi burudani ya nafsi zetu
 
Huo wimbo kwa mtu Kama mm najua kazi yake hasa nyakati fulani fulani. Jamani kuelimshwa yupo kaka yetu jelemiah mbona hamumsupport? Et jaman tatizo nini mbona watu wengi hamuyaishi maneno yenu au mnafanya unafiki na kupiga soga muda uende tu.
Itakuwa wewe ndie mtunzi wa hizo nyimbo mafimafiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi wimbo wa mapenzi Ni mpk utunge matusi?
 
Itakuwa wewe ndie mtunzi wa hizo nyimbo mafimafiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi wimbo wa mapenzi Ni mpk utunge matusi?
things will never be the same, usishangae hili kabisa. Wewe endelea kushikamana na ukale wako au uende na wakati. Na hii ina apply katika kila nyanja hadi kwenye tekinolojia huko. So ukiwa stagnant unapitwa na wakati na unaishi kwenye ukale wako katika ulimwengu wa kisiasa lazima utuone watu wa hovyo. Ila sikushangai kabisa ni kawaida.
 
kwahiyo katika maktaba yote umeona nyimbo hizo tu mbili. Mbona Kuna utajir wa nyimbo nzuri tu katika tasnia yetu.
 
Paka mate iteleze Kama nyoka pangoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, good morning chwitiii
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwahiyo katika maktaba yote umeona nyimbo hizo tu mbili. Mbona Kuna utajir wa nyimbo nzuri tu katika tasnia yetu.
Nyingi zina uelekeo huo

Nachotafuta Ni burudani ya moyo sio ukakasi
 
Keshakimbilia mahakamani

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…