Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Hahaha mbona hata wewe una bias na matajiri, acha nongwa tajiri kupambana kuzipata tafta na wewe zako utambe. Kuwa neatral ujenge hoja inayoeleweka kama ni ushauri au maoni
 
nimechoka kubishana ujinga
mbona basi alipokosa tuzo za kili je kina mange hao waliwashikia.kura mashabiki wasimpigie kura diamond nchi nzima?

unachoongea ni nonsense
Ndio kisha jitoa kwani tuzo bila Mondi hazifanyiki wapo wasanii kibao,wanaweza shiriki.
 
Kasome comment niliyo mjibu then utaielewa hii.
 

Ingekuwa Ni zaman kwa figisu za mond, KONDE angekuwa ashazikwa kitambo sema ndio Ivo saiz utandawaz ndio shida utambania redion watu wapo YouTube ,watu wapo insta ,watu wapo boom huko ,kwa kifupi yule mmakonde kwasasa hawezekanik Hilo ni tishio kwa dai.

Sasa wameona waje na plan B ,Ila naamin hawez kumshusha uzur yuko na watu smart km akina jembe Ni jembe elimu imelala pale alafu Raman za mjin jembe Ni jembe anazijua sana tu ,kikubwa harmo akazane kutoa mawe ya kutosha kila mara
 
Wakati huo diamond mameneja wake darasa la saba
 

Suala sio first language hata ingekuwa ni fourth language, kwa msanii mkubwa kama yeye anatakiwa aimbe kitu kinachoeleweka, angekuwa hata na mtu anayepitia hizo verse zake na kumpa ushauri, shida ni kwamba anaimba kitu ambacho huko kwenye ngazi za kimataifa hakieleweki na huku kwetu sisi waswahili tunajikuta hatuelewi.

kwa level yake sio muda wa kuonyesha uthubutu ni muda wa kufanya kitu kinachoeleweka kama anataka kutoboa kimataifa maana mziki wetu waliopo kwenye mainstream lugha ni shida ila wenzake wanajitahidi kuficha kidogo madhaifu yao kwenye hiyo lugha ya mzungu
 
Angekuwa muoga wa kutaka Kiki angeongea siku zile nyuma wakati anatoka. Tatizo watu ni uteam unawasumbua hata kwenye kweli mnabaki kumponda mtu
 
Hiyo vita mmakonde mchanga sana he has no match with diamond the dude is very strategic.

Anachokifanya mmakonde ni ujinga tu kwa sababu vita anaeweka wazi hivyo inaweza kumplekea kukosa baadhi ya madili ya ndani.

Mashabiki zake mpeni ushauri mwamba mbinu anazotumia kuua character ya mondi utamchafua yeye hata kama ana haki
 
Wakati huo diamond mameneja wake darasa la saba
 
Hapana sio kiki, amezungumza ukweli ambao hajawahi kuzungumza kwenye media yeyote
Ni mara yangu ya kwanza kumsikiliza akiongea muda mrefu namna hii, nilichogundua kwake anajua kujieleza tofauti na wasanii wengi.

Hata kama nyimbo zake si nzuri kuzidi za Diamond mshirika na boss wake wa zamani na mshindani wake wa sasa katika muziki, kwa namna anavyoongea ni MUUNGWANA na watu wengi nadhani wanamuhukumu pasi kujua uhalisia wa mambo.
 
Utimu unaharibu sana Sana'a...akina Barnaba wameishia njiani,aslay n.k Marioo yaani anaumiza kichwa sana majimbo yake kama angekua wasafi angekua juu zaidi.

Mi nashabikia mziki mzuri utimu sinaga Mimi, Na baba Zuu ajipange haswà sio kipolepole mpk atoboe!
 
Ukweli umejulikana mambo ya kutetea ujinga wenu hayapo sasa.

Kiufupi watu wameshajua Diamond mkunjaji
 
Angekuwa muoga wa kutaka Kiki angeongea siku zile nyuma wakati anatoka. Tatizo watu ni uteam unawasumbua hata kwenye kweli mnabaki kumponda mtu
Mbona mgumu kuelewa wakati kitu kipo wazi, ukianza kulia mbele ya camera sio ukomavu huo, mziki ni biashara hujuma zipo mondi nae sio mjinga, angalia kipa anavyojiweka mbali na mondi anajua dogo ni nyoka. Aacha kulialia mwanajeshi shupavu anafia vitani sio kutafuta huruma kwa adui yako
Angekuwa muoga wa kutaka Kiki angeongea siku zile nyuma wakati anatoka. Tatizo watu ni uteam unawasumbua hata kwenye kweli mnabaki kumponda mtu
 
Ungekuwa wewe usingetaka mameneja ambao wanawaza utawale milele? Au unafikiri wanalipwa kwa kazi gani
 
Ukweli umejulikana mambo ya kutetea ujinga wenu hayapo sasa.

Kiufupi watu wameshajua Diamond mkunjaji
Diamond sio malaika ni kama mimi na wewe, ana roho inaweza kuwa nzuri au mbaya ila mmakonde hana mbinu za kivita ndio maana analia hovyo anadhalilisha Jina jeshi, diamond mwenyewe kapigwa vita Sana mpaka media kubwa kumbania lakini ali survive.

Mmakonde apambane aache kubwekabweka atakosa endorsement coz diamond ana popularity kubwa
 
Ukweli umejulikana mambo ya kutetea ujinga wenu hayapo sasa.

Kiufupi watu wameshajua Diamond mkunjaji
Diamond sio mkunjaji bali vita yake kapigana mwenyewe hamna msanii aliye msaidia wa kumtetea kipindi ambacho apewi airtime na radio tatu.

Leo Diamond bila kuwa na roho ngumu, mziki angekuwa kishaacha kama Suma G na Ramadee.
 
Hizi Story zimepitwa na wakati si mlisema hatomaliza mwaka nje ya hiyo lebel ya majizi?

Huu ni mwanzo tu endeleeni kujipooza hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…