Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Hahaha mbona hata wewe una bias na matajiri, acha nongwa tajiri kupambana kuzipata tafta na wewe zako utambe. Kuwa neatral ujenge hoja inayoeleweka kama ni ushauri au maoniKile kipindi ambacho Mo aliongea shit kwenye video conference ya chama, mimi sikukubaliana na ishu hiyo eti kwakua yeye ni tajiri basi ugomvi wake yeye na manara anataka iwe hivyo hivyo na kwa wachezaji eti kwakua yeye ndio anawalipa mishahara
Na ndio maana magufuli alisema kwenye utawala wake tajiri anaweza kufanywa chochote, na jamii ilishangazwa kwasababu haikua kawaida kuona tajiri akiwajibishwa
We must stop being asskissers, mtu asemwe madhaifu yake bila kujali wadhfa wake, hii tabia ya kuona watu waliosaidiwa na matajiri wao kua ndio wenye wajibu wa kuwa wanyonge hata pale ambapo wanaonewa dhana hii ina mentality ya kitumwa