Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee!kiba yupi?mbona kashampondaga sana mondi!angalia interview yake na mkasi TV miaka kadhaa nyuma!Mziki bongo umekuwa kiki,unaweza kukuta Konde anatafuta kiki tu ingawa mziki wa sasa hivi kiki zimezidi mara wanaume wavae nguo za kike ,Hatukatai kwenye mziki kuna figisu ila mbona Alikiba ameweza mziki bila kiki? Kwa mwaka anaweza akatupa dongo mara moja ,hata Baba levo alisema Harmonize hasumbui ila Kiba ndo anawapaga wakati mgumu
Well said. Mwisho wake unakuja na utachangiwa na laana za aliowatesa. Yaani Jana Harmonize alilia na Mimi Jitu zima nikainamisha kichwa kwa huzuni mno. Harmonize kiumri ni mdogo kupita my last born. Nimeona upambanaji wake. Alikaa kimya kiume kabisa huyu. Wakamchokonoa akaamua kutapika ukweli. Bravo Harmonize.Mwisho kabisa ,"sura ya mond inaonesha Hana furaha kabisa japo yupo na utajiri ,anakula ngada huyu jamaa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwa na jua kali, plus mgao wa umeme na maji bas ni varangati tupu lol.
Na iwe hivyo [emoji23][emoji23]
Nina mtu wa karibu na ile familia ya Diamond. Yaani ushirikina umezungukwa kila biashara. Mama yake na bàadhi ya machawa wanatumwa kwenda kuloga. Waganga wanakuja nyumbani na kwenye biashara zake. Alimtishia Harmonize kuwa kwa Uchawi hamtamuweza.Nasikia kila mwezi anachinja kondoo
Umepigwa kwenye mshono utajibuje? Hata sauti haitokiHawajataka kumjibu Harmonize mpaka sasa
Chukua ten mkuu. Umeiweka vizuri mno. Kifupi harmonize ni chuma cha pua. Walitaka kukimaliza wakashindwa. Konde anachanja mbuga kama Tembo mwenyewe kabisa.1.pesa ya kuvunja mkataba ilitolewa na sayona crdb bank na jembe ni jembe sio kama tulivyoaminishwa kuwa sarah alihusika
2.diamondi ni mtu mwenye roho mbaya sana rejea kauli za ommy dimpoz,belle 9 ,shettah rich mavoko
3.rayvanny anavumilia kuwa wasafi hajui pa kuanzia kutoka tena kwa yeye wanaweza sema atoe bilion 1
4.bila amri ya magufuli diamond asingesaini kuvunja mkataba kwa wakati
5.harmonize mwaka wa 3 anaendelea kuwepo kwa game nje ya wasafi
6.kuna watu huwa wanalazimishwa kumsifia na kumpost diamond kila kukicha ama akiwa na jambo mfano jana amepostiwa na mama yake uncle shamte baba levo page ya wasafi
7.nyimbo zote nzuri za wcb mondi alikuwa analazimisha aweke mistari yake ili ikitoka ionekane yeye ndio ameibeba nyimbo wakati kiukweli sio sahihi alikuwa hatak kupotea masikion kwa watu
8.uchawi ni sehem ya maisha ya diamond
9.mameneja na ndugu wa diamond walichangia ugomvi kuwa mkubwa sana
10.mali tunazoaminishwa za diamond zingine hazina ukweli
Yaani yote yanawesekana mkuuu. Tatizo umeniachia Chaijaba😃😃😃. Funguka codeniliwahi kusikia sehemu kuwa CHAIJABA anamgegeda mama yake mzazi ,ndo sharti la nyota yake kuvuma...
(sina uhakika)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa Muha si bure[emoji38]
Hahah...jumlisha bando liko juu we!you tyubu kwa manati!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwa na jua kali, plus mgao wa umeme na maji bas ni varangati tupu lol.
Mond anatumia Chawa kujibu. Subiri wananunuliwa simu za Tecno na bando waje.Harmonize aache ushamba, anajiskiaje anavyongea kila siku lakini hajibiwi kitu na Mondi.
Bora hata wee useme, lolIla hamo Na diamond wakiimba nyimbo pamoja zinakuwaga balaa
Sipendi watu ambao wanapenda kunyenyekewa
Mtu ashawalipa m600 bado mnamtakia nini??
Yaan mtu akae chini yako tu wamuache harmonize bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lakini WCB wanamchokozaga Kiba ,akijibu moja wote wanapoteana ,mfano Ile jina la sadalaWee!kiba yupi?mbona kashampondaga sana mondi!angalia interview yake na mkasi TV miaka kadhaa nyuma!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na adi tudei[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
Konde anajua jamani, mpaka mnaona wivuu