Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

I'm too old to subscribe in this kind of shit
 
Mziki bongo umekuwa kiki,unaweza kukuta Konde anatafuta kiki tu ingawa mziki wa sasa hivi kiki zimezidi mara wanaume wavae nguo za kike ,Hatukatai kwenye mziki kuna figisu ila mbona Alikiba ameweza mziki bila kiki? Kwa mwaka anaweza akatupa dongo mara moja ,hata Baba levo alisema Harmonize hasumbui ila Kiba ndo anawapaga wakati mgumu
Wee!kiba yupi?mbona kashampondaga sana mondi!angalia interview yake na mkasi TV miaka kadhaa nyuma!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mwisho kabisa ,"sura ya mond inaonesha Hana furaha kabisa japo yupo na utajiri ,anakula ngada huyu jamaa"
Well said. Mwisho wake unakuja na utachangiwa na laana za aliowatesa. Yaani Jana Harmonize alilia na Mimi Jitu zima nikainamisha kichwa kwa huzuni mno. Harmonize kiumri ni mdogo kupita my last born. Nimeona upambanaji wake. Alikaa kimya kiume kabisa huyu. Wakamchokonoa akaamua kutapika ukweli. Bravo Harmonize.
 
Nimesikiliza intavyuu ya konde boi!daah!!nimegundua Salaam na tale wale ni wachawi na wanamroga sana dogo!!wale mambwa tena mambwa mwitu!wanajifanya wema kumbe mashetani sana wale ndo wanamfanya simba aonekane mbaya!!na yeye anajaa...daahh!term until contract mpk apigiwe simu rais?!!looohh!

Hii dunia sio kabisaa....heshma ndogo nlokua nawapa nimeondoa shenzy hawa!![emoji19][emoji19][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]!!!!maksai kabisaaa....!!!
Ht Vannyboi wala hawampendi sema wanaogopa akiondoka na yeye watu watajua ukweli lakini ipo siku ,waswahili wanasema La kuvunda halina ubani!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nasikia kila mwezi anachinja kondoo
Nina mtu wa karibu na ile familia ya Diamond. Yaani ushirikina umezungukwa kila biashara. Mama yake na bàadhi ya machawa wanatumwa kwenda kuloga. Waganga wanakuja nyumbani na kwenye biashara zake. Alimtishia Harmonize kuwa kwa Uchawi hamtamuweza.
Hivyo hata show zake zinajazwa kimisukule tu. Anatumia ndumba mpaka za Nigeria ili kuvuta mashabiki.
 
Hawajataka kumjibu Harmonize mpaka sasa
Umepigwa kwenye mshono utajibuje? Hata sauti haitoki

Konde kapiga kwenye nshono
IMG_20210804_161642.jpg
 
1.pesa ya kuvunja mkataba ilitolewa na sayona crdb bank na jembe ni jembe sio kama tulivyoaminishwa kuwa sarah alihusika
2.diamondi ni mtu mwenye roho mbaya sana rejea kauli za ommy dimpoz,belle 9 ,shettah rich mavoko
3.rayvanny anavumilia kuwa wasafi hajui pa kuanzia kutoka tena kwa yeye wanaweza sema atoe bilion 1
4.bila amri ya magufuli diamond asingesaini kuvunja mkataba kwa wakati
5.harmonize mwaka wa 3 anaendelea kuwepo kwa game nje ya wasafi
6.kuna watu huwa wanalazimishwa kumsifia na kumpost diamond kila kukicha ama akiwa na jambo mfano jana amepostiwa na mama yake uncle shamte baba levo page ya wasafi
7.nyimbo zote nzuri za wcb mondi alikuwa analazimisha aweke mistari yake ili ikitoka ionekane yeye ndio ameibeba nyimbo wakati kiukweli sio sahihi alikuwa hatak kupotea masikion kwa watu
8.uchawi ni sehem ya maisha ya diamond
9.mameneja na ndugu wa diamond walichangia ugomvi kuwa mkubwa sana
10.mali tunazoaminishwa za diamond zingine hazina ukweli
Chukua ten mkuu. Umeiweka vizuri mno. Kifupi harmonize ni chuma cha pua. Walitaka kukimaliza wakashindwa. Konde anachanja mbuga kama Tembo mwenyewe kabisa.
 
Back
Top Bottom