Mond ana wivu. Sura yake inaonesha kabisa kuwa na karoho kakorosho ka kwa nini. Aendelee tu kuloga. Ila awe Makini asije eenda kinyume na masharti ya uganga na Freemason.Halafu hyo no 7 ndo ukweli mtupu,jamaa alilazimisha sana kukaa kwenye nyimbo ya "KWANGWARU" ilitakiwa akae davido lkn kijana wa tandale akatumia uboss wake kukaa kwenye ngoma kinguvu[emoji12]
Kweli tena na waluguru SK na tale tale!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu dogo anakaza sana tangu atoke huko kwa yale mameneja majizi.
Hajawahi kupotea maskioni mwa watu
NB:mnyakyusa kaenda kupiga goti saivi [emoji3]
Okay.Akili hauna
Wote Waha...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]lakini WCB wanamchokozaga Kiba ,akijibu moja wote wanapoteana ,mfano Ile jina la sadala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiba si wa kigoma mwenzie? Wanajuaana veemaahlakini WCB wanamchokozaga Kiba ,akijibu moja wote wanapoteana ,mfano Ile jina la sadala
wale wazee ni wachawi inawezekana hata dimaond mwenyewe wamemloga ili asiwazingue, halafu wanajua kufitinishaNimesikiliza intavyuu ya konde boi!daah!!nimegundua Salaam na tale wale ni wachawi na wanamroga sana dogo!!wale mambwa tena mambwa mwitu!wanajifanya wema kumbe mashetani sana wale ndo wanamfanya simba aonekane mbaya!!na yeye anajaa...daahh!term until contract mpk apigiwe simu rais?!!looohh!
Hii dunia sio kabisaa....heshma ndogo nlokua nawapa nimeondoa shenzy hawa!![emoji19][emoji19][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]!!!!maksai kabisaaa....!!!
Ht Vannyboi wala hawampendi sema wanaogopa akiondoka na yeye watu watajua ukweli lakini ipo siku ,waswahili wanasema La kuvunda halina ubani!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Tena sallam na lile bichwa, kwenye msiba wa nan alikataa kusalimian na konde boy, lina roho mbaya lile jitu, sjui likoje khaaah
Yaani amekula limbwata mondi mpk baasi...wanamroga na kumchonganisha ila ipo siku tu kaahh!!nipe mkono nipe mkono!!wale wazee ni wachawi inawezekana hata dimaond mwenyewe wamemloga ili asiwazingue, halafu wanajua kufitinisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] domokaya kavurugwa nyie jaman.Nakuambia hivi,huniwezi kiserikali,huniwezi kimziki,huniwezi kiuchawi,km unabisha nipe mkono,nipe mkonoo!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
SK lazima akatae kumpa mkono maana mbinu zao za kichawi zishafeli,chezea Chitoholi moko weyee...wao km wa magharibi,mwenzao kusini!!!Tena sallam na lile bichwa, kwenye msiba wa nan alikataa kusalimian na konde boy, lina roho mbaya lile jitu, sjui likoje khaaah
HakikaChukua ten mkuu. Umeiweka vizuri mno. Kifupi harmonize ni chuma cha pua. Walitaka kukimaliza wakashindwa. Konde anachanja mbuga kama Tembo mwenyewe kabisa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]yaani mmesikiliza intavyuu daahh!yaani kiukweli kushangaa lazima unabaki[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]....kavurugwa mpk baasi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] domokaya kavurugwa nyie jaman.
Lengo aonekane anawabebaHalafu hyo no 7 ndo ukweli mtupu,jamaa alilazimisha sana kukaa kwenye nyimbo ya "KWANGWARU" ilitakiwa akae davido lkn kijana wa tandale akatumia uboss wake kukaa kwenye ngoma kinguvu[emoji12]
Ukimuangalia hamo utaona anahitaji sapot kubwa maana wcb kwa fitina hawajamboKabisa asee kuanzia leo mi ni timu konde gang forever
Kumbuka Diamond naye ni Binaadam. Unaweza kumsaidia mtu then ukaona naye anakaribia kupata umaarufu kama wako au zaidi.Diamond alimchukua Harmonize akaishi nae nyumbani kwake,
Alienda kushoot nyimbo yake AIYOLA South Africa kwa hela za WCB,
Diamond akafanya kolabo nae free kabisaa ya BADO akaenda kimataifa,
malazi alilipiwa na WCB,
Leo anasema alikuwa ananyonywa alitaka zile gharama zirudije?
Diamond anasiri moja wasioijua wengi,ukiishi nae vizuri utakula mema mengi yasiyohesabika,ukimpeleka kushoto basi atakupeleka vibaya