Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Halafu hyo no 7 ndo ukweli mtupu,jamaa alilazimisha sana kukaa kwenye nyimbo ya "KWANGWARU" ilitakiwa akae davido lkn kijana wa tandale akatumia uboss wake kukaa kwenye ngoma kinguvu[emoji12]
Mond ana wivu. Sura yake inaonesha kabisa kuwa na karoho kakorosho ka kwa nini. Aendelee tu kuloga. Ila awe Makini asije eenda kinyume na masharti ya uganga na Freemason.
 
Nimesikiliza intavyuu ya konde boi!daah!!nimegundua Salaam na tale wale ni wachawi na wanamroga sana dogo!!wale mambwa tena mambwa mwitu!wanajifanya wema kumbe mashetani sana wale ndo wanamfanya simba aonekane mbaya!!na yeye anajaa...daahh!term until contract mpk apigiwe simu rais?!!looohh!

Hii dunia sio kabisaa....heshma ndogo nlokua nawapa nimeondoa shenzy hawa!![emoji19][emoji19][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]!!!!maksai kabisaaa....!!!
Ht Vannyboi wala hawampendi sema wanaogopa akiondoka na yeye watu watajua ukweli lakini ipo siku ,waswahili wanasema La kuvunda halina ubani!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
wale wazee ni wachawi inawezekana hata dimaond mwenyewe wamemloga ili asiwazingue, halafu wanajua kufitinisha
 
wale wazee ni wachawi inawezekana hata dimaond mwenyewe wamemloga ili asiwazingue, halafu wanajua kufitinisha
Yaani amekula limbwata mondi mpk baasi...wanamroga na kumchonganisha ila ipo siku tu kaahh!!nipe mkono nipe mkono!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Tena sallam na lile bichwa, kwenye msiba wa nan alikataa kusalimian na konde boy, lina roho mbaya lile jitu, sjui likoje khaaah
SK lazima akatae kumpa mkono maana mbinu zao za kichawi zishafeli,chezea Chitoholi moko weyee...wao km wa magharibi,mwenzao kusini!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] domokaya kavurugwa nyie jaman.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]yaani mmesikiliza intavyuu daahh!yaani kiukweli kushangaa lazima unabaki[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]....kavurugwa mpk baasi!
Ila Mondi mi bado nasema SK na yule mgane wa taifa ndo wachawi wake!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Halafu hyo no 7 ndo ukweli mtupu,jamaa alilazimisha sana kukaa kwenye nyimbo ya "KWANGWARU" ilitakiwa akae davido lkn kijana wa tandale akatumia uboss wake kukaa kwenye ngoma kinguvu[emoji12]
Lengo aonekane anawabeba
 
Diamond alimchukua Harmonize akaishi nae nyumbani kwake,
Alienda kushoot nyimbo yake AIYOLA South Africa kwa hela za WCB,
Diamond akafanya kolabo nae free kabisaa ya BADO akaenda kimataifa,
malazi alilipiwa na WCB,
Leo anasema alikuwa ananyonywa alitaka zile gharama zirudije?
Kumbuka Diamond naye ni Binaadam. Unaweza kumsaidia mtu then ukaona naye anakaribia kupata umaarufu kama wako au zaidi.

Kwa tathimini yangu naona Diamond ni hofu tu na wivu kwa kasi ya umaarufu wa Kondeboy. Na ni kweli mashabiki wengi walishaanza kumfagilia Konde kwa kumlinganisha na Boss wake.

Hata Huyo Rayvanny pamoja na kwamba anafanya vema lakini sio Tishio kwa Mond
 
Back
Top Bottom