Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Management inapochukua 60% wanatumia hiyo percent katika videos zako, production mpaka usafiri wa kuzunguka sehemu mbalimbali.

Hivyo anayechukua 40% ana asilimia kubwa kumzidi wa 60% unless kama alikua anajigharamia hivyo vitu vingine pia.
 
Hiyo video hapo juu hamo anajibu vijembe vya domo.
Kama unaelewa utakuwa umeelewa.
 
Hainishtui, Kushoto kulia, hujani komoa ,Diamond alijibu baada ya nyimbo ya "Ushamba ",kupitia bado sana na ndipo jina la Mjomba mchumali kilipo ibuka baada ya Harmo kumwita "Simba Zee".

Sasa dogo amesimama vema mbona analamika kila siku, yy afanye mziki wake awa prove watu kupitia hadhi ya shows anazopata,Streams, Collabo na Nomination kubwa,sio maneno dunia ya sasa ukifanya vizuri unaonekana.

Kiba katoa album 5 weeks mfululizo Boomblay namba moja,tunataka figure hizo sio maneno, ww namba moja hata kufanya show za clubs hapa Tz hufanyi vizuri, tours yake ya mikoa 19 konde in da Clubs ambayo aliitangaza mwanzoni mwa January mwaka huu kapiga mkoa mmoja, baadae kasema, anaumwa Daktari kamshauri apumzike,kumbe shows zimebuma.
 
.
 
Kwa hiyo picha una amini kalogwa.

Lakini ameajiri watu na anahudumia famila yake vizuri. Amesema kamjengea mamake na kamnunulia gari. Hongera kwake kwa hayo mambo makubwa.
 
Hapo uliposema kuwa Mond ndo aliyeanza vijembe kwa harmo, ndio point ambayo imenifanya nione kuwa unaongea kishabiki tu.

Harmonize katoka WCB naenda kuachia Album Mond akashare akaonekana ana shobo, baada ya hapo Mond akaandaa shoo kigoma ya bila kiingilio harmo nae akaitisha shoo mtwara yenye kiingilio Kisha baada ya shoo akadai yéyé kafanya shoo na watu wamelipia sio kama ule mkutano wa hadhara (shoo ya mond)

Katika ngoma zote alizotoa harmo tangu atoke WCB, kama hakuna yenye kijembe kwa Mond basi hazizidi mbili, zote ni vijembe tupu.
 
Lakini ameajiri watu na anahudumia famila yake vizuri. Amesema kamjengea mamake na kamnunulia gari. Hongera kwake kwa hayo mambo makubwa.
Kwani nani amesema haja ajiri mtu, aache number ziongee na si kelele.

Mlikuwa mnasema anajipendekeza akimtaja kwenye nyimbo zake. Unakumbuka?
 
Lakini ameajiri watu na anahudumia famila yake vizuri. Amesema kamjengea mamake na kamnunulia gari. Hongera kwake kwa hayo mambo makubwa.
Kumbe amesema? Nilifikiri umeona.

Kama ni kusema, nafikiri hata ile Audi ya kijani alisema ni yake, baadae tukasikia ni ya sugar mummie wake.
 
Mlikuwa mnasema anajipendekeza akimtaja kwenye nyimbo zake. Unakumbuka?
Tulisena hivyo kwakua alimtaja baada ya kuwa ameshampiga vijembe vya kutosha bila kujibiwa. Unakumbuka ???

Hata hili hatajibiwa, ili tuone litamsaidiaje kimziki.
 
Hate zote hizo kwasabu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…