Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Huwezi kumzuia mtu kusema, ila Mondi ushawahi kumsikia akisema hivyo.

Acha namba ziongee, sio kelele hizi.

Sina uhakika lakini nahisi Mond ana mkwanja mrefu kuliko hamo. Hamo kwa sasa anapata mkwanja mrefu kuliko alivyokuwa kwa mond.

Naamini hizi ni facts. I am sorry kwa leo kuongelea huu ugomvi, nimekuwa nikikwepa kutia neno kwani najua mambo machache lakini ni sababu concrete juu ya huu ugomvi.

Tuwapongeze vijana wanastruggle kuzichangisha.

Tatizo langu huwa sipendi mtu aonewe.
 
Inawezekana japokuwa hatuwezi jua ila kaa ukijua Konde Gang ana iongoza kwa hasara, mpaka hela anatoa mfukoni mwake, wasanii wenyewe show kupata shughuli streams hazi eleweki.
 
Inawezekana japokuwa hatuwezi jua ila kaa ukijua Konde Gang ana iongoza kwa hasara, mpaka hela anatoa mfukoni mwake, wasanii wenyewe show kupata shughuli streams hazi eleweki.
we ni mhasibu wa Konde gang au Sara ?
 
Asante kaka, kwani unatumia kinywaji gani?
 
Mange hili hali mpiti,atakivalia njuka plus kibwebwe huko Insta naona wale wazee wa Da Mange kasema wana msubiria.
 
Unaumwa wewe harmonize hatukuja mfikia diamond mpaka aanakufa
 
Una hisi JEMBE anachukua asilimia ngapi?
 
Dogo angekausha tu aisee, hii ya kutafuta huruma sio poa.

Na bahati mbaya zaidi sidhani kama wcb watamhibu hizo tuhuma zake dhidi yao.
Jamaa walitumia gharama kumtoa mpaka ajulikane sasa anakatwa analalamika.

Halafu huo ni mkataba aliousaini kabisaa, sasa unalalamikaje wakati mkataba uliusoma na ukauelewa kabisa.
 
@mshanar Jr ALIMWAMBIA HARMONIZE ASILI YAKE WCB
 
Kwani ali kiba ana semaje kuhusu ili au achukue mshabiki zake tu kutoka kwa uyu kijeba
 
Shida ndio ipo hapa. Nchumali anaiga kila kitu akidhani ipo siku atamzidi mondi wakati huku hawezi na wajuzi tunaona kabisa huyu wannabe wa mondi.

Upande wa pili mondi hataacha kuumwa roho cause anaona kabisa Nchumali kabeba maujanja yake yote na anageza kila kitu.

Solution Mchumali apotezee ajenge identity yake yeye kama yeye Nchumali kama Nchumali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…