Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Teh teh teeeeh!!
Mbona clouds hamkuwatetea hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787]
Yaani nimeshangaa sana[emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji16]!!!Leo Harmo anashambuliwaa balaaa...
In short diamond,sallam ,tale tale(anaacha kuhudhuria bungeni anahangaika na kina Vannyboi ulaya...mpk anakosea kutaip ndege anaadika nyege[emoji4][emoji4][emoji16][emoji16][emoji16])wanyonyaji wakubwa sana kimziki ingawa ktk mafanikio Mondi is no 1,2,3,4.....hilo sikatai Ila hatuachi kusema ukweli kwamba ni wanyonyaji na dream killers tooo!!! Mavoko yuko wapi Leo?!!!
 
Chige I know you duude....unampenda mnoo diamond tena haswaa and I can understand you vzr tu because Kwa mafanikio yake Dangote ktk carrier ya mziki Afrika mashariki hakuna alomfikia Ila hatuacho kusema ukweli ile team yake Salaam,tale tale na wengineo wale jamaa they r good in business lakini wana roho mbaya!
 
Sawa ndo tayari ana shida sasa!kwanini akosane na hao washkaji zake wote ht kwa hayo makosa madogo au makubwa pia!
Kwa hilo la Nay wa Mitego siwezi kuita kukosekana... it's all about kulinda maslahi yake!!!

Hivi unakumbuka Tundu Lissu alipopigwa risasi Diamond ali-post kum-wish early recoverly lakini baada ya muda akaifuta ile post?!

Je, hapo unapata tafsiri gani kama sio alikuwa amepigwa mikwara?! Kuhusu Shetta, chanzo chake kinafanana na Ommy Diamond lakini kwavile maelezo yenyewe ni ya radio za mbao, ndo maana sikutaka hata kuyaeleza!!

Lakini kama maelezo hayo ni ya kweli, basi ni wao wenyewe ndo walianza! Lakini hata kama sio ya kweli, man... hata wewe ukianza kushinda shinda kwa washikaji na wife, watakugongea tu...
Mlikua mnasema Ruge mnyonyaji kwa dai imekua tofauti...!!![emoji55][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji1]
Tulikuwa tunasema au una-assume kwamba tulikuwa tunasema?!

Humu JF nimeshawahi kuitwa kwamba mimi ni Ruge... WHY?!

Kwa sababu mara zote hoja yangu ilikuwa ni moja tu: Nilikuwa nawataka watu humu wanitajie msanii mmoja tu aliyeanza kumshutumu Ruge kwamba mnyonyaji wakati msanii huyo akiwa bado yupo kwenye peak!!

Hoja yangu hiyo ilikuja kwa sababu nilikuwa naamini wengi kama sio wote waliokuwa wanamshutumu Ruge kwamba Mnyonyaji walikuwa wanafanya hivyo wakati wameshaanza kushuka lakini wakati wapo juu, hawakuwahi kulalamika kwamba mnyonyaji!
 
Hii nchi wewe tengeneza tu kigenge chako cha watetezi kama alivyofanya mwendazake yaani hata ukianguka watasema umeamua kulala chini upumzike kidogo. Ndio hii ya mondi sasa. Hawa wasanii wao wana majina makuuubwa ila mafanikio yao kimaisha hayaonekani.
 
Sawa ndo tayari ana shida sasa!kwanini akosane na hao washkaji zake wote ht kwa hayo makosa madogo au makubwa pia!

Mlikua mnasema Ruge mnyonyaji kwa dai imekua tofauti...!!![emoji55][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji1]
Issues ya Dai na Ruge na Dai na Harmo tofauti, Ruge hakumtoa kimziki wala kuwekeza hela yake Diamond, ilikuwa ni biashara. Kama hujui Mondi alifukuzwa THT kipindi yupo underground. Aliye wekeza hela na kumwamini Diamond Papa Misifa na alipo vunja mkataba Diamond alimlipa milion 50 (alizungumza papa Misifa kwenye Shilawadu),Ruge na Mondi ni kama wafanya biashara.

Kama ilivyo kwa Konde na JembeniJembe wote wafanyabiashara walio anzisha label ya Konde.
 
Man,

Nothing personal

Mimi hata kama namshabikia mtu, siwezi kupindisha ukweli!! Kama nimependisha, basi nisaidie basi wewe kunitajia hao wasanii aliogombana nao ambao unaweza seriously ukaita huu ni ugomvi!!

Kuhusu Sallam, mbona tangu post ya kwanza nimesema kwamba tatizo la Harmonize pale Wasafi ilikuwa Sallam!! Siwezi kusemea kuhusu Tale kwa sababu sina mfano halisi... inawezekana anafanya umafia wa kimyakimya!!

Kinachomponza Sallam, jamaa kama hakupendi, anakuonesha live kwamba hakupendi!!
 
Tuzo mshindi anajulikana na hata hizi team za muziki zilianza kwenye tuzo za Kilimanjaro Kiba, Jokate na Wema plus Mange ndio walio haribu hizi tuzo.

Wanamnyima tuzo ya mburudishaji bora Kilimanjaro mwezi wa sita, mwezi wa 7 2015 ana chukua tuzo ya mtumbuizaji bora MTV MAMA.

Ndio maana akaamua kujitoa kwani si lazima kushiriki tuzo hata ulaya baadhi ya wasanii hujitoa.
 
hiyo lebel ni ya majambazi na.majizi yaliyokubuhu kabisa yalimuua na mavoko wa watu
 
Pale pale waandishi wange muuliza wasanii wake Konde Gang wana mikataba ya miaka mingapi? na wanakatwa asilimia ngapi?Manake kaongea ya WCB ila ya label yake hayaja ya ongea.
 
Upumbavu si ni watu ndio wanapiga kura? Alishindwa acheni visingizio
 
Nakumbuka kiroja cha zile tuzo...

Na moja ya viroja ilikuwa ni Kiba kumpiku Christian Bella kwenye tuzo, nadhani ya Mwimbaji Bora!!
 
Je mtu kusema yake ya moyoni ndio kigezo cha mziki kumshinda?

Sidhani kama uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia kikomo na kufikia hilo hitimisho eti muziki umemshinda.
Chawa wa Mondi wote hao kaka.. Boss wao anakula sembe wanajichekesha tu na kumjaza.. Harmonize wanamuonea tu Diamond ana shida sana basi tu rejea ugomvi wake na Shetta, Ommy Dimpoz n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…