Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Kuanzia Bob Junior,Shetta ,Ommy Dimpoz ,Alikiba ,Diva enzi hizo akiwa clouds ..hao wote kwanini Diamond tu? Vijembe aliyokuwa anamtupia Ruge na Mawingu sasa hivi ndo vinamrudia yeye.

Ajikaze tu ila hafai kama ni mfupa haufai hata kwa supu
 
Ila Harmonize ni mnafiki sana yule jamaa pia anapenda sana kuonewa huruma na kuonekana mwema sana wakati sio kweli, yani wanaume mnaongea then wewe unarecord ili iweje? kanishangaza sana jamaa hivi leo hii hata akiwa na ishu sensitive nani mjinga anaweza kubali kuongea nae ikiwa anajua nitarecodiwa, yeye kaona vyema but kwa watu wenye akili kaharibu vibaya mno.

Kutwa kumsema diamond yeye akirudishiwa moja anashusha magazeti na press anaita hahaha.. kamchonganisha vanny na serikali enzi za paula leo tena anachonganisha serikali na Diamond.
Tumuone sasa akifikia ukubwa na diamond si katoka wcb mbona hakui yuko pale pale anaongezeka mwili tu.
Mnafiki ni rayvan
 
Fikiria hata kama ungekua ni wewe
umerudi kutoka Marekani na msweta wako unakutana na joto nyuzi 999... gogo lilikubana kwenye ndege unafika airport maji yamekata.

Albamu imebuma, umeme nao umekatika unarudi country wiz ameuza genereta la studio...lazma umuwaze simba
 
Fikiria hata kama ungekua ni wewe
umerudi kutoka marekani na msweta wako unakutana na joto nyuzi 999... gogo lilikubana kwenye ndege unafika airport maji yamekata...
Albamu imebuma
umeme nao umekatika unarudi country wiz ameuza genereta la studio...lazma umuwaze simba
Daaah[emoji28][emoji1787][emoji1787]
 
Inaonekana huyu mmakonde anatumia Wasafi kutafuta kiki na huruma kwa jamii

Kila siku yeye analia na wasafi tu utadhani walimuondolea na mdomo wa kuimbia

Move on kijana miaka miwili sasa bado unalilia kuonewa na wasafi?
 
Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita

Full time
Harmonize 7 vs wcb 0

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeandika nini
 
Mimi mtu akisikiliza Interview ya Harmonize ya jana halafu bado anamtetea Diamond, napata wasi wasi wa akili yake.

Diamond ana roho mbaya hataki azidiwe, ila nyimbo zake nzuri mwee nazipenda sema karoho kake ndiyo maana hanenepi!!

Mtu anamkunjia mwenzie kama nini!! asingesaidiwa angefika alipo?
Mwambieni kijana wenu a move on na maisha yake. Miaka miwili sasa kila akiona amepoa anaibuka na tuhuma wasafi walininyanyasa.......,, so what?

Ana lebo yake sasa kasini wasanii kibao anakwama wapi hadi abaki analilia mambo ya miaka miwili nyuma?
 
Diamond ametumika kama njia tu,na hata kama asingemsaidia harmo ni jambo la wakati tu.

Mtafutaji hachoki na akichoka kapata.
So naamin harmo hata asingesaidiwa na mond asingechoka.
Mfano kama angesikiliza ushauri wa kina ritta wa bongostar search ungekuta kashaachaga mziki zamani.
Watu leo wanasahau diamond alivyopitia kwa Bob Junior ,enzi hizo wimbo wa kwanza wa Ommy Dimpoz unasikika tu akajifanya chawa na kusukuma piki piki mbovu ya ommy Dimpoz inayozimika. Alivyosikika tu akajitenga.

Kila fighter ana njia zake za kutoka kwahiyo hata harmonize angetoka
 
Jamaa maku sana,unabana hadi collaboration zisitoke za Shomadjozi na master KG zisitoke.

Nasikia hata Darrasa walibana show yake Oman,wakasema jamaa waachane nae eti ni mvuta bangi.Roho mbaya sana Domo
hii ndo aina ya mashabiki wa harmonize et diamond kabania show ya darasa oman [emoji23][emoji23][emoji23]
kwamba ili uweze kufanya show unapita kwa D kuomba go ahead ama?
kila msaani kweny bio yake kaweka email na kwa msisitizo hua wana andika for booking contact ....@gmail/yahoo. 07×××
sasa iweje D azuie Darasa kwenda kufanya show?
mna akili ndogo kama ubongo wa sisimizi (middleF)
 
Back
Top Bottom