Harmorapa Fans' Special Thread...

hivi harmonize hawezi badili jina ili amuachie huyu jamaa? maana kufananishwa na watu wa ajabuajabu namna hii hatareee
 
Uyu jamaa watu wengi wanamjua kwa vituko vyake. Hana muda atapotea. Kurap hajui..kiki nyingi
 
Mwanamuziki wa kwl kwanza atakuonyesha Music wake ndani,lkn kwa harmorapa mapenzi sijaona hata tv,bali nimeona mafuta ya korie wala siyo alizeti!![emoji108]
 
Kuna kitu kinafanyika kwa kumtumia huyu jamaa, ukiangalia kwa picha tu hafananii kabisa maisha hayo... Ona jeans aliyovaa
Mkuu upo mkoa gani? !

Huku Dar Es Salaam hizo jeans ndio habari ya mujini.
 
Wale jamaa wa Madale na roho mbaya zao wanazidi ku-panic.

Safari ile walimwita Nyani safari hii sijui watampa jina gani
 
Huyu jamaa watu watamponza.
Si muda mrefu MAKONDA atamrukia...
 
Hiyo picha ya mwisho kama Diamond na Zari, mwaka huu wa Harmo Rapa hakuna wa kuzuia mvua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] ndukiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…