Acha kuisingizia dini… harusi ni jambo lenu wahusika, chagueni namna nzuri ya kulifanikisha. Ndoa pekee haimalizi hata 1mNdoa za wakristo ni tabu tupu kuna muda nawaza kubadili dini niwe mjukuu wa mtume tu(hawana mambo mengi linapokuja jambo la ndoa sema sasa talaka zao zinavyotolewa kama njugu,nguvu inaisha kabisa).
Imagine ushatoboka 20+m mtoto wa mtu baada ya mwezi anaanza mauza uza(kataa ndoa kuna muda wanabeba point za bure tu)
Huna hela kaka njoo msasani KKKT kila weekend uone vijukuu wa mtume wanafanyaga nini🤣🤣🤣.Ndoa za wakristo ni tabu tupu kuna muda nawaza kubadili dini niwe mjukuu wa mtume tu(hawana mambo mengi linapokuja jambo la ndoa sema sasa talaka zao zinavyotolewa kama njugu,nguvu inaisha kabisa).
Imagine ushatoboka 20+m mtoto wa mtu baada ya mwezi anaanza mauza uza(kataa ndoa kuna muda wanabeba point za bure tu)
Yaani unakwenda kufanya tukiona la kihistoria kuungana na mwenza wako wa maisha yote halafu iwe kawaida tu😂😂😂.Acha kuisingizia dini… harusi ni jambo lenu wahusika, chagueni namna nzuri ya kulifanikisha. Ndoa pekee haimalizi hata 1m
Ndoa ya milioni moja labda ufunge zile za masheikh kiongozi.Ufunge ya kanisani na hiyo bajeti uongo mkubwa.Ukumbi unalipia bei gani?mavazi ya bibi na bwana harusi utashona wewe sio?mapambo hakuna?bajeti ya salon kwa mwanamke hakuna?(labda kama wasabato)Acha kuisingizia dini… harusi ni jambo lenu wahusika, chagueni namna nzuri ya kulifanikisha. Ndoa pekee haimalizi hata 1m
Ndoa na harusi ni gharama man.Waislam wako vizuri wanafanya maisha kuwa mepesi(ni bajeti yako ya mchele na wale madogo janja wa kaswida na madufu umemaliza kazi)Huna hela kaka njoo msasani KKKT kila weekend uone vijukuu wa mtume wanafanyaga nini🤣🤣🤣.
Ndoa ni ibada ila harusi ndio tukio lenyewe,ndoa bila harusi ni msiba bila maiti😂😂
Ukumbi wa nini? Mapambo ya nini?Ndoa ya milioni moja labda ufunge zile za masheikh kiongozi.Ufunge ya kanisani na hiyo bajeti uongo mkubwa.Ukumbi unalipia bei gani?mavazi ya bibi na bwana harusi utashona wewe sio?mapambo hakuna?bajeti ya salon kwa mwanamke hakuna?(labda kama wasabato)
Harusi za wakatoliki chini ya milioni kumi unadanganya.Ondoa vyote nilivyotaja.Fanyia kijijini usipoweka mziki,chakula na vinywaji raia hawatokei(ambavyo hivyo tu vinapita hiyo milioni moja)
Ndoa na Harusi ni vitu viwili tofauti.. anaetaka ndoa pekee sio gharama, anaetaka kuweka historia ajiandae pia.Yaani unakwenda kufanya tukiona la kihistoria kuungana na mwenza wako wa maisha yote halafu iwe kawaida tu😂😂😂.
Wacha watu hata wakope.
Labda kama mnajaribu.
Ati nini???Wewe hujawahi kuwa mwanakamati, hizo pesa kamati inachangia na pesa inayobaki unapewa km zawadi..!!
Pesa pekee ambayo utaitoa ni ile ambayo itanunua nguo zako na bi harusi tu..!!
Hata Hizo ndoa za wajukuu wa yesu zimejaa mahakamani kudai talaka na wanaachana kiholela kila kukicha, talaka ndo suluhu ya kuachana kwa amani mkishindwana biblia ilitoa boko kwenye suala la ndoa imefeliNdoa za wakristo ni tabu tupu kuna muda nawaza kubadili dini niwe mjukuu wa mtume tu(hawana mambo mengi linapokuja jambo la ndoa sema sasa talaka zao zinavyotolewa kama njugu,nguvu inaisha kabisa).
Imagine ushatoboka 20+m mtoto wa mtu baada ya mwezi anaanza mauza uza(kataa ndoa kuna muda wanabeba point za bure tu)
Aisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:
1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5
Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.
Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+
Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
Kwa wakatoliki ndoa na harusi ni kitu kimoja man.Huwezi kusema naenda kanisani kufunga ndoa na tusiwe na harusi(sina uzoefu na kitu cha hivi kwa wakatoliki).Ndio maana ukisema ndoa hapo hapo tunaunganisha na harusi labda kama utaratibu huu umeanza sasa hivi(kwamba mwende kanisani,padre aseme bwana na bibi sasa hivi mshakuwa mwili mmoja na mtakuwa wote kwa shida na raha,then uchomoke tu kanisani baada ya kusaini cheti cha ndoa mwende nyumbani mkatulie bila sherehe yoyote.Sijawahi kuona kitu cha hivi)Ukumbi wa nini? Mapambo ya nini?
Tofautisha kwanza ndoa na harusi.
Nimekwambia Ndoa 1m inawatosha, Harusi ni nyongeza zenu binadamu ambazo hazina ulazima. Huko unajikadiria mwenyewe…
Hata laki inatosha kikubwa ndoaAisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:
1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5
Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.
Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+
Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
Mambo ya kuanzisha familia sahivi kwa misingi ya kufunga ndoa yameshakuwa magumu(ndio maana wahuni sahivi ni mwendo wa sogea tuishi,siwezi kulipa gharama zote hizo bado ukaniletea mauza uza ndani ya mwezi asee.Pesa ngumu hii labda kwa wana mtandao sawa)Hata Hizo ndoa za wajukuu wa yesu zimejaa mahakamani kudai talaka na wanaachana kiholela kila kukicha, talaka ndo suluhu ya kuachana kwa amani mkishindwana biblia ilitoa boko kwenye suala la ndoa imefeli
Mambo ya Dar es Salaam haya mtu hana watu inabidi awakodi tu.Huwalipi wewe wanalipa kamati, kuna zile kamati ndogondogo kuna kamati ya burudani, humo wapo na maids ili kuchangamsha sherehe..!!
Na hao maids wanalipa kamati ili wapewe huo mchongo.
Vipo man, keep on exproling the streetKwa wakatoliki ndoa na harusi ni kitu kimoja man.Huwezi kusema naenda kanisani kufunga ndoa na tusiwe na harusi(sina uzoefu na kitu cha hivi kwa wakatoliki).Ndio maana ukisema ndoa hapo hapo tunaunganisha na harusi labda kama utaratibu huu umeanza sasa hivi(kwamba mwende kanisani,padre aseme bwana na bibi sasa hivi mshakuwa mwili mmoja na mtakuwa wote kwa shida na raha,then uchomoke tu kanisani baada ya kusaini cheti cha ndoa mwende nyumbani mkatulie bila sherehe yoyote.Sijawahi kuona kitu cha hivi)