Acha kuwa muhuni sasaMambo ya kuanzisha familia sahivi kwa misingi ya kufunga ndoa yameshakuwa magumu(ndio maana wahuni sahivi ni mwendo wa sogea tuishi,siwezi kulipa gharama zote hizo bado ukaniletea mauza uza ndani ya mwezi asee.Pesa ngumu hii labda kwa wana mtandao sawa)
Kwani lazima ukodi ukumbi ukifanyia nyumbani kwako hainogi ?Ndoa ya milioni moja labda ufunge zile za masheikh kiongozi.Ufunge ya kanisani na hiyo bajeti uongo mkubwa.Ukumbi unalipia bei gani?mavazi ya bibi na bwana harusi utashona wewe sio?mapambo hakuna?bajeti ya salon kwa mwanamke hakuna?(labda kama wasabato)
Harusi za wakatoliki chini ya milioni kumi unadanganya.Ondoa vyote nilivyotaja.Fanyia kijijini usipoweka mziki,chakula na vinywaji raia hawatokei(ambavyo hivyo tu vinapita hiyo milioni moja)
Sipendi uhuni lakini maisha yamenifanya niwe muhuni asee.Hivi utakubali kweli umefunga ndoa na harusi juu yake bado hujaweka mahari(kwa hesabu ya haraka haraka vyote unaweza kujikuta hesabu inaenda 20+m bado mtoto wa mtu baada ya wiki anakwambia ujue kuna wanaume wengi wananitaka.Dah!sio kweli.Bora sogea tuishi tu ntalipa mahari kwisha habari yako)Acha kuwa muhuni sasa
Chagua wa standard yako… hawezi kukujibu hivyoSipendi uhuni lakini maisha yamenifanya niwe muhuni asee.Hivi utakubali kweli umefunga ndoa na harusi juu yake bado hujaweka mahari(kwa hesabu ya haraka haraka vyote unaweza kujikuta hesabu inaenda 20+m bado mtoto wa mtu baada ya wiki anakwambia ujue kuna wanaume wengi wananitaka.Dah!sio kweli.Bora sogea tuishi tu ntalipa mahari kwisha habari yako)
Ukumbi muhimu kiongozi kwani zile post za one year anniversary tunapata vipi sasa.Nyumba yenyewe unakuta ya kupanga(mwenye nyumba hapendi mauza uza,inabidi tu ukakodi ukumbi na wadau wafike)Kwani lazima ukodi ukumbi ukifanyia nyumbani kwako hainogi ?
One year anniversary utaipata kwenye picha kali mtakazopiga Hotel after kutoka KanisaniUkumbi muhimu kiongozi kwani zile post za one year anniversary tunapata vipi sasa.Nyumba yenyewe unakuta ya kupanga(mwenye nyumba hapendi mauza uza,inabidi tu ukakodi ukumbi na wadau wafike)
Ndio nikifanya hivyo pale RC Mpanda Mjini. Nilimaliza jambo langu nikaunga shamba kwani nilitakiwa niende shambani Kakese siku hiyo. 😂😂😂Kwa wakatoliki ndoa na harusi ni kitu kimoja man.Huwezi kusema naenda kanisani kufunga ndoa na tusiwe na harusi(sina uzoefu na kitu cha hivi kwa wakatoliki).Ndio maana ukisema ndoa hapo hapo tunaunganisha na harusi labda kama utaratibu huu umeanza sasa hivi(kwamba mwende kanisani,padre aseme bwana na bibi sasa hivi mshakuwa mwili mmoja na mtakuwa wote kwa shida na raha,then uchomoke tu kanisani baada ya kusaini cheti cha ndoa mwende nyumbani mkatulie bila sherehe yoyote.Sijawahi kuona kitu cha hivi)
Atakuwa malaika huyo, wanawake wote ni sawa bila kujali umepata standard yako au umevuka limit(tena bora kuvuka limit maana ukipata wa chini yako siku akielewa mitaa utajuta kuzaliwa)Chagua wa standard yako… hawezi kukujibu hivyo
Dah ulimfanyia ukauzu sana mke wako lakini inawezekana.Sema kwa sasa kuna mtihani asikwambie mtuNdio nikifanya hivyo pale RC Mpanda Mjini. Nilimaliza jambo langu nikaunga shamba kwani nilitakiwa niende shambani Kakese siku hiyo. 😂😂😂
Sasa nimeshazaa matoto ma4 na mke wangu tena mkubwa alikuwa sekondari hapo harusi ya nini? Niliwaeleza wale watumishi wa Mungu, nikamaliza mi na mke wangu na best yangu pamoja na mkewe siku ile ya Jumamosi jambo likaisha.
Hawakunywa hata maji watu nyumbani kwangu.
Huo ndio uchawi wenyewe, wewe bajeti ya harusi yangu inakuathiri vipiAisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:
1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5
Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.
Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+
Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
Tafuta pesa mkuu, maisha ni kufurahia na wenzakoHuu ni upuuzi, wengine tuliishaacha kuchangia harusi za kifahari na anasa kiasi hiki, ni usumbufu
LEvel ya umaskini katika jamii yetu inahuzunisha sana.Tafuta hela za kutosha hicho ulicho andika hapo ni pesa ndogo sana ya kutoa mtu mmoja tu.
Hotel nayo gharama kiongozi.Kupata hotel ya kuvumilia mambo yenu kwa siku moja kuanzia angalau laki tano.Labda kama utakuwa kauzu tu na kuchukua chumba kimoja ukalala wewe na mwenzako(yani kama ndio first date vile kumbe ni ndoa tayari)One year anniversary utaipata kwenye picha kali mtakazopiga Hotel after kutoka Kanisani
Nafikiri nita fanya simple ya watu 50 tu.Acha ubahili bwana harusi🤗🤗🤗🤗
All in all
Unaweza kufanya harusi ya kizungu Tu,unaandaa Kila kitu mwenyewe simple Tu then Unaalika watu wachache wanakuja mnasherehekea pamoja kwisha!!
Usitusumbue michango sasa.Huo ndio uchawi wenyewe, wewe bajeti ya harusi yangu inakuathiri vipi
Wewe huna watu ukiona hivyo, kamati sisi tunakuwa hata 200 na kiwango cha kuanzia laki moja, na km huyo mtu mwanao sana unaweza kuchangia zaidi ya laki..!!Ati nini???
Harusi za bongo hii hii au Kenya??
Watu wanatoboka mno kwenye harusi zao, labda awe na ndgu jamaa na marafiki wengi wa kumtunza zawadi za maana la sivyo ni maumivu.
Hotels zina package za kupiga picha pekeeHotel nayo gharama kiongozi.Kupata hotel ya kuvumilia mambo yenu kwa siku moja kuanzia angalau laki tano.Labda kama utakuwa kauzu tu na kuchukua chumba kimoja ukalala wewe na mwenzako(yani kama ndio first date vile kumbe ni ndoa tayari)
Milion 5 ni mshahara wa mtu kwa week, aiseee tupambane tupate pesa.Mi ndoa yangu nimeplan isizidi 5M na mahari hukohuko ndani, hamna ukumbi, pombe wala mziki, na sitaki mchango wa mtu wala mimi sichangii harusi ya mtu.
Hiyo budget uliyoandika hapo pesa nyingi utakuta ni za kuomba michango , na ukichangiwa ujue na wewe lazima uje uchangie wenzako kwahiyo maisha baada ya hapo ni simu za michango kila siku.
Mi kuna mpuuzi aliniunganisha kwenye grp lake la harusi anataka michango nikajitoa kwenye grp akafuta namba zangu na mimi nikafuta zake, michango kibao ila ndoa haikutoboa miaka miwili
ishu si pesa mjuba, pesa zina matumizi ya kuleta maendeleo na si kufuja tu kwa shughuli zisizokuwa na maana kama anasa na starehe. Mambo ya karamu na sherehe za harusi mtu ajibebe mwenyewe asisumbue watu wamchangie ni aibuTafuta pesa mkuu, maisha ni kufurahia na wenzako