Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Tundu Lissu ni maarufu hata kabla huyo unayemtaja kutawalaHoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake
Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku
ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake
Sasa Mwendazake hayupo tena ameingia mama akausoma mchezo wa kummaliza bila kutumia nguvu mshambulizi wa mwendazake mama alichofanya ni kufanya yale ambayo mtesi wa mwendazake aliyatamani yafanyike
mtesi wa mwendazake yuko mtegoni hajui aseme nn akiegemea upande wa mwendazake watu watamshangaa akiegemea upande wa mama mama ameshamuwahi