Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Mkuu si maneno yangu bali ni maneno ya Paulo huyo mimi nime nukuu tu andiko takatifu jukumu lako ni kulikubali andiko au kulikataaWarumi 3 : 23
" kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; "
Hata wewe Mr. Ibilisi, usijihesabie haki.
Ni ibilisi peke yake anaeshangilia na kufurahia dhambi za wanadamu.
Hapa nammuona ibilisi katika ubora wake.
1 Petro 5 : 8
"Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze. "
Lakini Yesu wa Nazareth anasema "ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri au ufanyeni mti kuwa mbaya na matunda yake kuwa mabaya kwa maana kwa matunda yake mti utatambulikana" mathayo 12:33
Sasa nyinyi mnataka mtulazimishe mtu kafanya mabaya kusema kafanya mema acha uzuri au ubaya wake ujidhihirishe wenyewe