Ona aibu basi hata kama wewe ni Taga.Niliwahi kuandika hapo nyuma nairudia...
"Jamaa ameamua kupambana na marehemu kupunguza maumivu."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona aibu basi hata kama wewe ni Taga.Niliwahi kuandika hapo nyuma nairudia...
"Jamaa ameamua kupambana na marehemu kupunguza maumivu."
Uliwahi ona au kusikia wapi aliye hai anapambana na marehemu?Ona aibu basi hata kama wewe ni Taga.
Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake
Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku
ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake
Sasa Mwendazake hayupo tena ameingia mama akausoma mchezo wa kummaliza bila kutumia nguvu mshambulizi wa mwendazake mama alichofanya ni kufanya yale ambayo mtesi wa mwendazake aliyatamani yafanyike
mtesi wa mwendazake yuko mtegoni hajui aseme nn akiegemea upande wa mwendazake watu watamshangaa akiegemea upande wa mama mama ameshamuwahi