Hasara za kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kumshambulia mtu badala ya hoja zimemmaliza Tundu Lissu baada ya Mtesi wake kupumzika

Tundu Lissu ni maarufu hata kabla huyo unayemtaja kutawala
 
Lisu hakuwa na ajenda wala ilani yeye aliomba kugombea uraisi ili tu apate platform ya kumporomoshea matusi Magufuli

Chadema hawakuwa na mgombea uraisi to be precise
 
Jasiri wa Taifa....
 
Tanzania ni nchi ambayo Mungu anaipenda sana Kwanza uwezi tawala milele uwezi sababisha watu wakamwaga damu uwezi wagombanisha watu kikabila kidini au kwa aina yeyote ile sio wanajeshi sio raia wa kawaida Watanzania wana umoja mno.

Na ndomana kauli mbiu ya nchi yetu ni Uhuru na Umoja hata Jeshini kauli mbiu yetu ni Umoja ile ballet ya jeshi kwenye ule Mwenge kuna neno limeandikwa umoja.Tanzania kusababisha machafuko kama ilivyo Syria,Libya Afghanistani,Iraq au congo Africa ya kati kwa Tanzania ni kazi mno.

Hata awo wazungu wameliona ilo Tanzania kuna natural resources nyingi mno lkn hatugombani kuhusu natural resources zetu.
Magu alikuwa na ukabila,udini double standard kwenye baadhi ya mambo atu katai kuna mazuri yake kafanya ila pia yy ni binadamu ana mabaya yake mengi tuu Mungu ampe punziko la milele na kumlehemu uko aliko, Magu wenda alitaka kutawala Milele..

Kwa Tanzania uwezi kutawala milele hii ni nchi ambayo Mungu anaipenda mno na ndomana alimchukua mapema mana aliona watu wake tunaelekea siko,uzuri wa watanzania utawaonea wee utawaona wajinga awadeal na wewe awandamani awafanyi nn wao umlilia Mungu wao tuu bac hivyo basi.

Mungu nae ukiwatesa watu wake wa Tanzania ata deal na wewe na ndomana sisi wenyewe kwa wenyewe tuna upendo na umoja kutugombanisha ni ngumu mno iko kitu hata wazungu wamekiona..

Na duniani hakuna kazingumu kama kugombanisha watu wenye upendo na umoja ni ngumu mno...

Tanzania ni nchi nzuri mno Duniani tena sana,naipenda Tanzania
#Uhuru na Umoja....
#R.I.P JPM
 
Warumi 3 : 23
" kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; "

Hata wewe Mr. Ibilisi, usijihesabie haki.

Ni ibilisi peke yake anaeshangilia na kufurahia dhambi za wanadamu.

Hapa nammuona ibilisi katika ubora wake.

1 Petro 5 : 8
"Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze. "
 
AMEN
 
Lisu hakuwa na ajenda wala ilani yeye aliomba kugombea uraisi ili tu apate platform ya kumporomoshea matusi Magufuli

Chadema hawakuwa na mgombea uraisi to be precise
UHURU, HAKI NA MAENDELEO WATU
 
UHURU, HAKI NA MAENDELEO WATU
kichwa kilikuwa hicho lakini hotuba ni kuporomoshea matusi Magufuli labda nikuulize Chadema wamekuwa wabunge muaka nenda rudi nitajie mfano mmoja tu wa maendeleo ya watu waliyofanya majimboni mwao.Nitajie mfano mmoja tu
 
Lisu hakuwa na ajenda wala ilani yeye aliomba kugombea uraisi ili tu apate platform ya kumporomoshea matusi Magufuli

Chadema hawakuwa na mgombea uraisi to be precise
Hebu matusi mawili aliyotukanwa marehemu dikiteta magufuli nasi tuyafahamu.
 
kichwa kilikuwa hicho lakini hotuba ni kuporomoshea matusi Magufuli labda nikuulize Chadema wamekuwa wabunge muaka nenda rufi nitajie mfano mmoja tu wa maendeleo ya watu waliyofanya majimboni mwao.Nitajie mfano mmoja tu
UELEWA wako kama walivyo ma lumumba wengi, watia shaka. Dola, Serikali mliwapa lini?
 
Hahhaa eti amepumzika. Kwa zile dhambi zote alizoondoka nazo anapumzikaje kwa mfano?
Kazi za Mungu ni za Mungu tu. Kazi ya kuhesabu na kuhukumu dhambi za binadamu haijawahi na haitawahi kuwa ya binadamu.
 
Mleta uzi,tukubaliane katika kutokukubaliana.
Mwendazake hajapumzika.
 
Mungu akubariki.
Mungu ambariki Rais Samia.
Haki huinua Taifa.
 
Kazi za Mungu ni za Mungu tu. Kazi ya kuhesabu na kuhukumu dhambi za binadamu haijawahi na haitawahi kuwa ya binadamu.
Cc
Godfrey Luena
Tundu Lisu
Daniel Yohana
Ben Saanane
Akweline Akwiline
Azory Gwanda
Samwel Kanguye
 
Na wewe mbona post zako unamshambulia Lissu tu, unatafuta kiki kupitia jina hilo? Hivi kati ya mwendazake na Lissu nani alianza kuwa maarufu? Au wakati huo Lissu anawatetea waliofukiwa hai kwenye migodi kule Bulyanhulu wewe ulikuwa unalia ngozi za mbuzi kujijini kwenu?
 
Kikubwa dhalimu na mtesi wake Lissu is no more,hiyo ni zawadi tosha toka kwa Muumba.
 
Yaani wewe bado unaishi ktk zama za propaganda za kijinga tu na zilizopitwa na wakati? Ina maana na wewe bado hujaamuka tu toka ktk ujinga wako ulioambukizwa na Magufuli??? What a shame..

Kwanza unavyoandika tu inaonesha wazi kabisa hata humjui na huijui historia ya Tundu Lissu...!

Tundu Lissu ndivyo alivyo tangu hata kabla hajazaliwa. Yeye siyo mtu wa "NDIYO MZEE" tu bila kwanza kuhoji...

Huwezi kumlinganisha Tundu Lissu na John Pombe Magufuli limbukeni wa madaraka na mwisho yameishia kumuua tu..

Misimamo ya Tundu Lissu ni thabiti, hayumbi na ili muelewane ni lazima tu uwe na hoja thabiti ya unachokitetea au unachotaka akuunge mkono kukitenda...

Vnginevyo ulaghai na ujinga kwake ni mwiko kabisa. Na ukija kwa staili hiyo atakushinda tu na uta - resort kutumia nguvu ya bunduki kushindana naye...

Ndivyo alivyofanya nduguyo Mwendazake John Pombe Magufuli baba yenu enyi nyie wa kizazi cha nyoka..!
 
Jambo ambalo wengi hamuelewei ni kwamba upinzani hautakaa ufe mahali popote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…