Hasara za kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kumshambulia mtu badala ya hoja zimemmaliza Tundu Lissu baada ya Mtesi wake kupumzika


Hebu acha kupayuka. Tuliza akili halafu jiulize hivi:
1. Nani aliyepata umaarufu Kati ya yule aliyemshambulia mwenzake kwa Risasi zaidi ya 30 na hakufa au aliyemshambulia mwenzake kwa maneno na leo ni marehemu?
2. Nani anazidi kupata umaarufu Kati ya aliyetishiwa kuuawa baada ya Uchaguzi Mkuu akakimbilia ubalozi na yule aliyemtishia mwenzake baada ya kuiba Kura na kughushi matokeo lakini leo ametangulia mbele ya Haki.

Mungu HADHIHAKIWI na Mungu siyo Jiwe Wala mtu hata asisikie kilio cha Watu waliodhulumiwa na kuporwa HAKI zao za msingi kabisa mchana peupe!!!

Never ever play with God!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…