Hasara za kuwa baba wa kambo

Kaoe wewe Baba huruma...yeye hataki kwanini umlazimishe
 
Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hii style yako ya kuingia katika mjadala inaonyesha umeichukuliaje hii mada. It means umeona ni mada negative au potofu of which that makes u part of the problem yourself.
Hebu yafikirie haya

1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
Hadi leo huwa najiuliza watu mnaowatetea single mothers huwa mna ajenda gani ya siri na kazi hii ya shetani. Hawa ni aina ya wanajamii ambao hata vitabu vya MUNGU vimewatambua kama malaya au makahaba.

Hivi wewe kweli kabisa unamlinganisha single mother na Widow (mjane)?🤔

Single (msimbe)mother ni mwanamke ambaye kwa hiyari yake amechagua kuanza mahusiano batili kwasababu zake binafsi aidha za kiuchumi ili kujipatia kipato au kwasababu za kukosa maadili tu kulala na wanaume ambao hawajarasimishwa kwao kwaajiri ya ndoa takatifu.

Widow(Mjane) huyu ni mwanamke ambaye aliingia mahusiano rasmi kisha mume wake akafariki ndipo yeye akabakia mwenyewe na watoto. Vitabu vya dini vinamtambua huyu na vinasema asaidiwe.

Kitendo cha kuwachanganya hawa wawili ambao ni tofauti lengo ni kupotosha na kuficha uovu huu wa kisasa ambao unatakiwa kukemewa kwa bidii na nguvu kubwa.
Single mother ni tatizo na sio jambo la kuachia lipite tu eti kwasababu wakisemwa wanaumia. Sisi hatuna haja nao ila tunahaja ys kutokomeza uovu wao.
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
Msingi wa ndoa zenye migogoro ukifuatilia kwa kina utagundua ni kuanzisha mahusiano nje ya utaratibu. Ni nadra sana kwa binti bikra ambaye mwanaume alienda kwa wazazi wake kwa heshima na haja ya kuomba ridhaa ya kuishi nae.

Tatizo mnajadili uhalisia kama bongo movie. Unatengeneza taswira kichwani halafu unaiamini kuwa ndio uhalisia. Mahusiano mengi yenye migogoro mengi yana elements zifuatazo:
1. Mwanaume ni mume wa mtu mwenye migogoro na mkewe halali wa ndoa then mwanamke akaingilia kati ili aolewe. Mgogoro lazima utokee.
2. Kubeba ujauzito kabla ya mahusiano kuwa rasmi.
3. Mwanamke kupenda mwanaume badala ya kutii na kumheshimu jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya mwenyezi MUNGU.
4. Kuingia ndoani na mihemuko aidha ya kingono wakiamini kwenye ndoa ni 90% shughuli za kitandani tu, kutaka kuwa couple ya maonyesho ya mitandao, mihemuko ya kitrauma na kadhalika.

Ukipata mgogoro kawaone wataalamu watakupa chanzo cha mgogoro wa mahusiano yako.
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Tazama unavyotetea kukosa maadili against maadili yenyewe. Hapa unatofauti gani na kumtetea jambazi wakati anachezea kichapo kwa kusema "anajitafutia kipato kupitia wizi wake mnataka akale wapi sasa na ajira hakuna".

Wewe kama mzazi na kichwa cha familia,binti yako ambaye yupo chini ya himaya yako na ni mdogo,unatoa ridhaa akafanye mahusiano na mwanaume akuletee mimba? Yaani unaona ni sawa binti kuanza kulala na wanaume akiwa katika rika la utoto badala ya kushika misingi ya kimaadili ya kujisitiri na kuiheshimisha familia yake kwa kungoja hadi Ndoa ndipo kuanza kufanya mapenzi.
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Kama hawa kwako ndio priority wewe nenda kaoe wakupe hayo material ya wife ila kwa upande wa jamii ni lazima injiri isonge mbele.

Masingle mother sio mpango wa MUNGU ni mpango wa shetani katika kusiambaratisha jamii. Hakuna faida hata moja ya mwanamke kuzaa nje ya ndoa then kujiita single mother na kuendelea na maisha katika hiyo hali.

Inawezekana kabisa kwa binti kujituliza akisubiria mwanaume sahihi wa kuanza nae Maisha au yeye kujiweka safi huku akingojea mwanaume sahihi ambaye mahusiano yao yalenge Ndoa na sio kuzaa huku hawakuwa na mpango wa kuishi kama mume na mke halali wa ndoa.

Kusema "kuna single mothers kibao ambao ni wife material" ni sawa na kusema "kuna majambazi na wauza unga kibao ambao yanatunza na familia zao vizuri na kujenga maisha bora" so unajisahaulisha kuwa wauza unga na majambazi ni watu wa aina gani katika jamii?

Get tha fuk otta here.
 
Ukweli mchungu sana
 
50/50 baadhi wema, wengine hovyo kabisa.
Wema usio na faida ni sawa na ubaya usio na madhara.

Haina maana kujilimit ukitazama upande m'moja usio kuhusu ukaacha upande unaokuhusu.

Nikuulize, ukiwa unatafuta mwanamke wa kuanza nae Maisha,kwann chaguo lako la kwanza uanze na mwanamke ambaye tayari ana mtoto?

Hivi una pesa ya kutosha kununua kwa kuagizia gari yako mpya Japan kwann unaanza kuzunguka na madalali wakikuletea magari yaliyokongoronyoka yenye previous users zaidi ya watano, ina vipengele,huo no ujanja au ushamba mzee?

Nadhani ukitafakari utagundua umechagua yafuatayo:
1. Umechagua kwenda kinyume na maagizo ya mwenyezi MUNGU ya kuwasitiri wanawake wadogo wanaojitunza kwa kufuata maagizo yake so unawapiga vita indirectly.
2. Umechagua kuwa mwanaume dhaifu (simp) kwa kuanza na majukumu ya baba wa kambo badala ya kuanza kuwa mume halali then baba mzazi sio mlezi wa familia. Huu ni udhaifu.
3. Umechagua kutumika kama retirement plan ya mwanamke ambaye aliharibu maisha yake kwa maamuzi yake binafsi ya kipuuzi.
4. Umechagua kuwa sehemu ya jamii inayotoa hisani,inayofadhiri au kudhamini/kusponsor uhaini wa kijamii, inayotetea kumomonyoka kwa maadili na kuwalinda wanawake waovu badala ya kuwatetea na kuwasitiri wale wanaoshika maadili na kuzingatia mafunzo ya adabu kwenye jamii.

Hii ni fadhaa kuwa na ukitafakari utagundua unatakiwa kubadilika.
 
Mkuu mimi nawa penda Sana watoto, so i see no problem.

Japo sija sema nita oa mawenye mtoto.
Kama unapenda watoto geukia ukoo wako hautakosa ndugu ambao malezi ya watoto wao ni changamoto na wameshindwa. Hao ndio wanaohitaji huo upendo kabla ya watoto wa single mother ambaye humjui na yeye hakujui.

Wewe unaacha damu yako, watoto wa kaka au dada zako,watoto wa binamu zako,watoto wa baba yako mdogo na kadhalika ambao ni damu yako kabisa uende ukawabebe watoto wenye ukoo wao huko ambao sio damu yako,wana baba zao ulee kwa kisingizio cha kupenda watoto,huo ni unafiki promax.

Nenda kachukue wale uwalee. Otherwise wewe ni wale wale wanafiki wanaojivalisha vazi la wakombozi kumbe ndani yako ni mtu dhaifu ambae anaogopa kufanya maamuzi sahihi.
 
Umempasua vizuri sana.
 
Mtoa post roho mbaya inakusumbua.inaelekea wewe mtu kutoka mikoani ndio wen wenye akili lama zako
 
Kula tunda la singo maza kimasihara pita hivi 😜
Hao ni wa mazoezi ya kimwili na maigizo tu. Unajifanya unapenda watoto wake,unafanya mazoezi ya kuwa na familia unawaigizia ukikutana na pisi ya kwenda unamuachia mavumbi unakwenda kuanza familia serios sasa na kujenga familia yako.

Kama wao walishindwa kuchukulia maisha serious wadhani wataweza kukuchukulia serious wewe kama mwanaume kwenye maisha yao?
 
Watoto ni baraka...kama ilivyo kwa kitanda kutozaa haramu
Kitanda cha ndoa ndicho hakizai haramu. Hivi vitanda vya nje ya mahusiano rasmi ya ndoa haramu ni za kumwaga.

Watoto wa ndani ya ndoa ni baraka wa nje ya Ndoa walishaharamishwa tokea enzi na enzi.
 
Umerahisisha sana hizi hoja zako ila bado umerudi kule kule tunapokataa.

Wanawake kuzaa nje ya ndoa tena katika umri mdogo imekuwa ni new norm kwasababu wanaume kama wewe mnawatengenezea "safety net" wanapojirusha au kurukia maisha ya hovyo.

Mbona miaka ya nyuma hizi trend hazikuwapo,kwamba wanaume walikuwa hawatongozi watoto wakike ?

Jibu ni kuwa watoto wa kike wakizingatia maadili ya jamii waliyowekewa na wazazi. Waliyashika na watoto wa kiume walifundwa kusimamia standards za kiume kutooa mabinti wa hovyo.

Ila siku hizi vijana mpo wired kujihusisha na mabinti wa hovyo na mnaona kazi sana kuanza mahusiano na mabinti wanaojielewa.
 
Hii ni jamii forum siyo kila anachoqoute mtu ndiyo maisha yake,

Watu Wana mbinu nyingi za kutaka kujua Jambo kiundani ,hiyo reply yangu niliandika kimakusudi ili nipate majibu zaidi,ni kweli majibu nimepata na matusi pia ,watu wengi ni weupe Sana vichanii

Eti kaoe wewe😂😂😂
 

Kama una Ingia kwenye ndoa kama stering au mwokozi wa majanga, then go ahead!
 
Then fata hao wahenga wako sisi tumeshaachana nao. Penda maboga yako,kabeji,matikitiki maji yako in peace.

Sisi wacha tupambane na iniiri.
 
Kwani kuolewa tena ni lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…