Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hahaha. Umenichekesha.Mkuu, huishagi kunisimanga yaani😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Umenichekesha.Mkuu, huishagi kunisimanga yaani😢
Kaoe wewe Baba huruma...yeye hataki kwanini umlazimisheMnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Hivyo kumbe mtu ukitoa hoja lazima iwe ni wewe unataka kufanya kitu hichoKaoe wewe Baba huruma...yeye hataki kwanini umlazimishe
Hii style yako ya kuingia katika mjadala inaonyesha umeichukuliaje hii mada. It means umeona ni mada negative au potofu of which that makes u part of the problem yourself.Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hadi leo huwa najiuliza watu mnaowatetea single mothers huwa mna ajenda gani ya siri na kazi hii ya shetani. Hawa ni aina ya wanajamii ambao hata vitabu vya MUNGU vimewatambua kama malaya au makahaba.Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
Msingi wa ndoa zenye migogoro ukifuatilia kwa kina utagundua ni kuanzisha mahusiano nje ya utaratibu. Ni nadra sana kwa binti bikra ambaye mwanaume alienda kwa wazazi wake kwa heshima na haja ya kuomba ridhaa ya kuishi nae.2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
Tazama unavyotetea kukosa maadili against maadili yenyewe. Hapa unatofauti gani na kumtetea jambazi wakati anachezea kichapo kwa kusema "anajitafutia kipato kupitia wizi wake mnataka akale wapi sasa na ajira hakuna".3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Kama hawa kwako ndio priority wewe nenda kaoe wakupe hayo material ya wife ila kwa upande wa jamii ni lazima injiri isonge mbele.Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Ukweli mchungu sana1. Daima mama mtoto atakuona fala.
Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo ukweli wewe ni mjinga na mama mtoto analijua ilo ndio maana hata yeye hawezi kuruhusu/kufurahia kaka au mtoto wake wa kiume aoe single mother.
2. Kushuka kwa heshima yako mbele ya wanaume wanaojitambua.
Mwanaume aliekamilika kimwili na kiakili anatakiwa kuanzisha familia yake yeye mwenyewe, ni ujinga, upumbavu, ushenzi na utahira kwa kijana kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine. Binafsi nikiona kijana amekubali kuwa baba wa kambo huwa namwona kama mgonjwa wa akili.
3. Kuongezeka kwa gharama za maisha kwa kubeba jukumu lisilokuhusu.
Mwanamke tu anakuja kwenye maisha yako kama liability, sasa embu fikiria anakuja na mtoto/watoto wake. Hii ni sawa na kulipa mkopo ambao hakuuchukua wewe.
4. Baba mtoto bado yupo around.
Usije ukajidanganya kwamba baba mtoto hayupo tena kwenye maisha ya mtoto na mzazi mwenzake. Ukweli ni kwamba kama sio wanaonana na kuwasiliana basi huwa anapita pita kwenye profile ya mzazi mwenzake uko facebook na instagram kuifuatilia familia yake. Mama mtoto pia anafuatilia maisha ya mzazi mwenzie. Hapa kama waliachana kwa mihemko au kuna feelings zao hazikua solved basi kupasha kipolo ni suala la muda na sehemu sahihi tu. Wazazi wanatengana tu, ila hawaachani.
5. Mama mtoto anakuja kwako na emotional baggage.
Achana na hawa delusional and damaged women waliou-brand usingle mother kama kiashiria cha upambanaji na kupevuka kiakili wakati kiuhalisia ni kiashiria cha umalaya na ufanyaji maamuzi mbovu. Kutoka moyoni kabisa hakuna mwanamke anaependa kuwa single mother, amejikuta katika hali iyo kwa sababu ya maamuzi yake mabovu, ni hali ambayo inamfanya awe na kinyongo, maumivu na majuto moyoni. No matter how hard you will try to gain her trust she will always look at you as a suspect. Ukiamua kubeba hicho kifurushi utakua victim wa tatizo ambalo haukusababisha wewe.
6. Baba kifedha sio kimamlaka na kisheria.
Ushirika wako katika malezi ya mtoto ni kutoa hela za malezi tu nje ya hapo hauna tija nyingine yoyote. Ukichukua hatua za kinidhamu kwa mtoto pale anapokosea utasababisha vita kubwa sana na mama ake. Vile vile wakati wowote baba wa mtoto akijitokeza yeye ndie atakua na haki zote za kisheria juu ya uyo mtoto.
7. Utakua second option ndani ya nyumba yako.
Mama mtoto hatokujali wala kukupa attention na kipaumbele kwa kiasi ambacho anafanya hivyo kwa mtoto wake.
8. Unatumika kama retirement plan.
Mama mtoto hakupendi , anataka tu sehemu ya kuponea yeye na mtoto/watoto wake. After she spent her prime years living reckless now she is on hunting of bailout from her messy. Trust me, she is not looking for love, she is looking for a retirement plan.
Recomendation.
It's not worth it being a step father. Bloodline is very important. Don't be that simp who sacrifices his empire for someone who didn't bothered to build hers. Always remember, there is no happy ending for a simp.
Wema usio na faida ni sawa na ubaya usio na madhara.50/50 baadhi wema, wengine hovyo kabisa.
Kama unapenda watoto geukia ukoo wako hautakosa ndugu ambao malezi ya watoto wao ni changamoto na wameshindwa. Hao ndio wanaohitaji huo upendo kabla ya watoto wa single mother ambaye humjui na yeye hakujui.Mkuu mimi nawa penda Sana watoto, so i see no problem.
Japo sija sema nita oa mawenye mtoto.
Umempasua vizuri sana.1. Bila kujali kama single mother ni ndugu yangu au laah, hapaswi kuolewa kama mke wa kwanza. Toka enzi na enzi single mother walikuwa wanaolewa kama mke wa pili na zaidi ila siyo kama mke wa kwanza. Kaa na wazee watakuambia sababu za wao kufanya hivyo
2. Mwanaume ama mwanamke kuoa/kuolewa kwenye ndoa yenye migogoro hilo ni kosa lake ama ndugu zake kwenye maamuzi na machaguo yao. Walikuwa na nafasi ya kuoa/ kuolewa na watu wema ila wakachagua kuoa migogoro, hivyo waacha wavune walichokupanda. Ukijidai kiwasaidia ujue umekuwa sehemu ya mgogoro. Na ukiamua kuwa sehemu ya mgogoro uache kulialia
3. Kila siku tunashuhudia matatizo wanayokumbana nayo wasichana waliozalishwa kwenye umri mdogo, lakini bado wasichana hawalichukui hilo
kama funzo na onyo nao wanaingia kule kule. Hivyo hilo ni chaguo lao, kabla hawajachagua hilo waliyajua madhara yake, hivyo waacha wavune walichokipanda.
Wapo single mother wanaoolewa na kutulia ila ni kwa asilimia chache mno. Kwann ujiingize kwenye jambo unalofahamu kuwa ni risk?
N.B
Hakuna mwanamke yeyote aliyewahi kupitia usingle mother anayetamani kijana wake ama ndugu yake aoe single mother. Narudia hayupo
Hao ni wa mazoezi ya kimwili na maigizo tu. Unajifanya unapenda watoto wake,unafanya mazoezi ya kuwa na familia unawaigizia ukikutana na pisi ya kwenda unamuachia mavumbi unakwenda kuanza familia serios sasa na kujenga familia yako.Kula tunda la singo maza kimasihara pita hivi 😜
Roho mbaya au mrejesho wa roho mbaya? Mwanaume hawezi anzisha vita na mwanamke ila anaweza anzisha vita na matendo ya hovyo ya mwanamke yanayokinzana na nature.Mtoa post roho mbaya inakusumbua.inaelekea wewe mtu kutoka mikoani ndio wen wenye akili lama zako
Kitanda cha ndoa ndicho hakizai haramu. Hivi vitanda vya nje ya mahusiano rasmi ya ndoa haramu ni za kumwaga.Watoto ni baraka...kama ilivyo kwa kitanda kutozaa haramu
Umerahisisha sana hizi hoja zako ila bado umerudi kule kule tunapokataa.Kama ana chini ya miaka 22...
Kama ana mtoto mmoja...
Kama hajawahi kuolewa au kuishi na mwanaume...
Kama huyo mtoto alikataliwa na baba yake, na atabeba ubin wako mwanaume..
Kama baba mtoto amekufa...
Mwisho kama ana u-african-wife-material...
Basi huyu single maza anahitaji kupewa nafasi ya 2..
Kwa dunia ya sasa mambo yalivyo, mabinti kubebeshwa mimba na kukimbiwa imekuwa new norm...
Kama umemuassess na ukaona ana tabia njema, basi oa...
................................................................................
Ila unakuta single maza amezalishwa na miaka 25 na kuendelea! Huyo alikuwa anajua anachokifanya. Mwanaume kimbia.
Hii ni jamii forum siyo kila anachoqoute mtu ndiyo maisha yake,Hii style yako ya kuingia katika mjadala inaonyesha umeichukuliaje hii mada. It means umeona ni mada negative au potofu of which that makes u part of the problem yourself.
Hadi leo huwa najiuliza watu mnaowatetea single mothers huwa mna ajenda gani ya siri na kazi hii ya shetani. Hawa ni aina ya wanajamii ambao hata vitabu vya MUNGU vimewatambua kama malaya au makahaba.
Hivi wewe kweli kabisa unamlinganisha single mother na Widow (mjane)?🤔
Single (msimbe)mother ni mwanamke ambaye kwa hiyari yake amechagua kuanza mahusiano batili kwasababu zake binafsi aidha za kiuchumi ili kujipatia kipato au kwasababu za kukosa maadili tu kulala na wanaume ambao hawajarasimishwa kwao kwaajiri ya ndoa takatifu.
Widow(Mjane) huyu ni mwanamke ambaye aliingia mahusiano rasmi kisha mume wake akafariki ndipo yeye akabakia mwenyewe na watoto. Vitabu vya dini vinamtambua huyu na vinasema asaidiwe.
Kitendo cha kuwachanganya hawa wawili ambao ni tofauti lengo ni kupotosha na kuficha uovu huu wa kisasa ambao unatakiwa kukemewa kwa bidii na nguvu kubwa.
Single mother ni tatizo na sio jambo la kuachia lipite tu eti kwasababu wakisemwa wanaumia. Sisi hatuna haja nao ila tunahaja ys kutokomeza uovu wao.
Msingi wa ndoa zenye migogoro ukifuatilia kwa kina utagundua ni kuanzisha mahusiano nje ya utaratibu. Ni nadra sana kwa binti bikra ambaye mwanaume alienda kwa wazazi wake kwa heshima na haja ya kuomba ridhaa ya kuishi nae.
Tatizo mnajadili uhalisia kama bongo movie. Unatengeneza taswira kichwani halafu unaiamini kuwa ndio uhalisia. Mahusiano mengi yenye migogoro mengi yana elements zifuatazo:
1. Mwanaume ni mume wa mtu mwenye migogoro na mkewe halali wa ndoa then mwanamke akaingilia kati ili aolewe. Mgogoro lazima utokee.
2. Kubeba ujauzito kabla ya mahusiano kuwa rasmi.
3. Mwanamke kupenda mwanaume badala ya kutii na kumheshimu jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya mwenyezi MUNGU.
4. Kuingia ndoani na mihemuko aidha ya kingono wakiamini kwenye ndoa ni 90% shughuli za kitandani tu, kutaka kuwa couple ya maonyesho ya mitandao, mihemuko ya kitrauma na kadhalika.
Ukipata mgogoro kawaone wataalamu watakupa chanzo cha mgogoro wa mahusiano yako.
Tazama unavyotetea kukosa maadili against maadili yenyewe. Hapa unatofauti gani na kumtetea jambazi wakati anachezea kichapo kwa kusema "anajitafutia kipato kupitia wizi wake mnataka akale wapi sasa na ajira hakuna".
Wewe kama mzazi na kichwa cha familia,binti yako ambaye yupo chini ya himaya yako na ni mdogo,unatoa ridhaa akafanye mahusiano na mwanaume akuletee mimba? Yaani unaona ni sawa binti kuanza kulala na wanaume akiwa katika rika la utoto badala ya kushika misingi ya kimaadili ya kujisitiri na kuiheshimisha familia yake kwa kungoja hadi Ndoa ndipo kuanza kufanya mapenzi.
Kama hawa kwako ndio priority wewe nenda kaoe wakupe hayo material ya wife ila kwa upande wa jamii ni lazima injiri isonge mbele.
Masingle mother sio mpango wa MUNGU ni mpango wa shetani katika kusiambaratisha jamii. Hakuna faida hata moja ya mwanamke kuzaa nje ya ndoa then kujiita single mother na kuendelea na maisha katika hiyo hali.
Inawezekana kabisa kwa binti kujituliza akisubiria mwanaume sahihi wa kuanza nae Maisha au yeye kujiweka safi huku akingojea mwanaume sahihi ambaye mahusiano yao yalenge Ndoa na sio kuzaa huku hawakuwa na mpango wa kuishi kama mume na mke halali wa ndoa.
Kusema "kuna single mothers kibao ambao ni wife material" ni sawa na kusema "kuna majambazi na wauza unga kibao ambao yanatunza na familia zao vizuri na kujenga maisha bora" so unajisahaulisha kuwa wauza unga na majambazi ni watu wa aina gani katika jamii?
Get tha fuk otta here.
Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Then fata hao wahenga wako sisi tumeshaachana nao. Penda maboga yako,kabeji,matikitiki maji yako in peace.HAPANA HAKUNA POINT HATA MOJA
1.Kuiba familia ya mtu no kosa kubwa sana yaani kumpora mwanaume mwenzako mke wake na mtoto wake no kosa
2. Kumpenda mtu aliyewahi kupendana na mtu mwingine sio kosa
So Kama mwanamke ameachika au mumewe amekufa au alizalishwa kabla ya ndoa Kuna shida gani kumpenda?
Kwanini wahenga walisema Penda Boga na ua lake?
RescueKama una Ingia kwenye ndoa kama stering au mwokozi wa majanga, then go ahead!
Kwani kuolewa tena ni lazima?Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Tazama unavyopambana kubakia kuwa mjinga na mzembe. Nenda kaoe basi single mothers mbona unaongea na hauishi maneno yako?Nyuzi kama hizi zinakupa taswira kwamba wanaume siku hz ni tia maji tia maji tu. Kama huwezi kuishi na single maza hata ukimpata asiye na mtoto bado hitoweza kuishi nae.