Hasara zipi unazipitia kwa kuwa na tabia za introvert?

Mimi sijswahi kuwa na hasira hizo.

Ila nina mshkaji wangu yuko kenya ni mshkaji kishenzi,nikipata jambo gumu la stress nalipunguzia kwake nyongo inapungua kidogo mambo yanaenda,mana kuna mambo huwezi kumuambia wife unayamaliza juu kwaju
Kiutu uzima nakubali.
 
Introvert = Online Businessman
Introvert = Books Reader
Introvert = Gamer
Introvert = Movies Addicted
Introvert = Workout/Yoga

Bana kama wewe introvert na hau engage kwenye kitu hata kimoja hapo juu toka tu humo ndani kapige story kijiweni usije kuwaza kujiua bure.

NB: Raha ya kuwa Introvert especially Dunia ya sasa uwe na pesa/kipato bila ya hivi tatizo sana, kuna material things zinasaport hali ya Introvert most of them ni Expensive kuwa navyo, pia Introvert hatakiwi kuwaza pesa ya kula anatakiwa kuwa na kipato ili awe Mind Free kuwaza makubwa.

Mimi Introvert sana ila kwasababu za uchumi inabidi niuvute u-extrovert kidogo kwa muda kuna mshikaji wangu anakuja DSM tutaishi wote geto kuna mitikasi yakufanya, So kuna uhusiano mkubwa au mvutano wa Uchumi na U-introvert kuna watu wamekuwa Introvert baada ya kuwa na uchumi/kipato.
 
Mkuu ukiwa na pesa ndo tabia yako inafahamika.

Kama unazo pesa alafu hunywi pombe wewe sio mlevi kwa sababu uwezo wa kupata pombe unayo.

Kama una pesa na sio jeuri basi wewe huna tabia ya jeuri kwa sababu unazo sababu za kuwa jeuri.

Kama una pesa na sio malaya basi wewe sio malaya kwa sababu uwwezo wa kuwa malaya unao ila hujataka kwa sababu mbalimbali.

Na kama unazo pesa alafu bado ni mtu wa kujitenga na sio mtu wa viwanja na kutanua basi hapo ujue wewe una tabia za hao introvert kwa sababu sababu ya kutoka unayo kwa kuwa una pesa,sehemu za kwenda kutumia zipo lakini husukumwi na pesa zako kutoka nje.

Kwa hyo pia mtu anaweza kuwa introvert lakini akawa anatoka anapiga misele kutafuta pesa lakinni asili yake sio mtu wa misele lakini ndo maisha anatafuta.
 
Kweli hii inanihusu hata mimi.
 
Nikasema nikipona mimi jamani ntatafuta washkaji wa kutembeleana ili nikipata matatizo nisaidiwe, baada ya wiki kupona ndio kwanza nikazidi kujichimbia ndani na vitabu vyangu uchwara[emoji3][emoji3][emoji3]

Hahahhaha
 
Hahaha inafurahisha mno
 
Hongera sana mkuu
 
Ni kama hujamalizia mkuu, japokuwa kuwa una rafiki yako ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…