Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu kaa ukielewa Us wanafadhili hela za utafiti pamoja na misaada ya silaha nyingine za kijeshi, lakini teknolojia hii mpya siyo ya kwao.Hayo mabomu " Bunker buster" yametolewa na marekani na Jana wametangaza kuongeza msaada wa Dola Bilioni 8 kwa Israeli na Ukraine Kila mmoja kwa kifupi hizi vita zote mbili anapigana USA na atakufa nazo muda siyo mrefu.
⚡️Hivi karibuni Hezbollah inaweza kumtangaza Hashem Safieddine kama Katibu Mkuu, akimrithi Nasrallah, NYT inaripoti.Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Dah! Maskini jamani mzee wa watu kawakosea nini ashura ya maulamaa? Hawakumwona mwingine wa kutangulizwa?Naye tayari kaingia kwenye tageti za IDF🤣🤣🤣
Ayyatollah alipanga kuwa watapigana pamoja ila mwishowe kakimbilia kwenye mashimo.Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
Huu ujinga endeleeni kudanganyana nyie msio na akili. FYI mpaka sasa tangu October Seven 2023 Israel amepokea silaha za thamani ya zaidi ya Bilioni 100. Kila mwezi madege yanatua Tel Avivi kutoka marekani au we mwenzetu kipofu? Hii vita anaiendesha marekani. Na Jana amesema atatoa Bilioni 8 nyongeza ya mabomu na silaha nzito kuwaua wanawake na watoto wa palestina.Mkuu kaa ukielewa Us wanafadhili hela za utafiti pamoja na misaada ya silaha nyingine za kijeshi, lakini teknolojia hii mpya siyo ya kwao.
Unayoitaja bunker buster ni ya kizamani.
Mtu hawezi kufadhili kitu kisha akishangae kwa impact ya matumizi yake.
Hayo mabomu hakuna popote dunia ilikwisha kumiliki, ni mapya.
WAko serious na vifo vyao, wanaona mabikra wasije wakaisha huko waishie kupewa waliokwisha tumika. Maana kasi ya kuwah akhera imekua kubwaWatu wapo serious na kazi
Kufarijiana ni kuzuri ila usikimbilie kukikumbatia kifo - huo sio ushujaa ujue.Kufa siyo ajabu kwani wewe hautakufa au unadhani Netanyahu ataishi milele?
Huyu nae atawanyoosha sana mashoga tumpe muda kidogo tu⚡️Hivi karibuni Hezbollah inaweza kumtangaza Hashem Safieddine kama Katibu Mkuu, akimrithi Nasrallah, NYT inaripoti.
Hashem Safieddine ni mtu mashuhuri ndani ya Hezbollah, kwa sasa anahudumu kama mkuu wa Halmashauri Kuu ya kikundi.
Yeye pia ni binamu wa Hassan Nasrallah.
Ana uhusiano wa karibu na Iran na uhusiano wa kifamilia—mtoto wake wa kiume ameoa binti ya Qassem Soleimani, kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Iran.
Unajua kifo ni tafsiri Yako tu. Wenzio wanakikimbilia na kufurahia kufa katika vita vitakatifu hii ndio tofauti kubwa kati ya Islamic resistance na wayahudi. Wayahudi wanaogopa sana kufa wakati wenzao wanafurahi sana kufa katika vita hii. Jibu unaloKufarijiana ni kuzuri ila usikimbilie kukikumbatia kifo - huo sio ushujaa ujue.
Wakae chini waongee na wakubaliane, Netanyahu atawamaliza hawa watu.Kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah kimeniuma kiukweli.
Sote ni wa Allah na kwake tutarejea.
Wapange safu upya siyo mbaya!
Hii spirit ya Hezbollah na Hamas kwenye hii vita inawaumiza vichwa sana magaidi wa IDFWAko serious na vifo vyao, wanaona mabikra wasije wakaisha huko waishie kupewa waliokwisha tumika. Maana kasi ya kuwah akhera imekua kubwa
Kama wanafurahia kelele zinazopigwa ni za nini? Si wawaache wafe vizuri?Unajua kifo ni tafsiri Yako tu. Wenzio wanakikimbilia na kufurahia kufa katika vita vitakatifu hii ndio tofauti kubwa kati ya Islamic resistance na wayahudi. Wayahudi wanaogopa sana kufa wakati wenzao wanafurahi sana kufa katika vita hii. Jibu unalo
'atatoa bilioni 8 nyongeza ya mabomu na silaha nzito'.Huu ujinga endeleeni kudanganyana nyie msio na akili. FYI mpaka sasa tangu October Seven 2023 Israel amepokea silaha za thamani ya zaidi ya Bilioni 100. Kila mwezi madege yanatua Tel Avivi kutoka marekani au we mwenzetu kipofu? Hii vita anaiendesha marekani. Na Jana amesema atatoa Bilioni 8 nyongeza ya mabomu na silaha nzito kuwaua wanawake na watoto wa palestina.
Imeanza 1947 hii hata babu Yako alikuwa hajazaliwa haitaisha hii. Muyahudi hatakaa kwa amani katika ardhi ya mpalestina.Wakae chini waongee na wakubaliane, Netanyahu atawamaliza hawa watu.
Kelele za Nini? Nani kapiga kelele? Hezbollah wanatoa taarifa tu .naona wanaoongea sana ni viongozi wa IsraelKama wanafurahia kelele zinazopigwa ni za nini? Si wawaache wafe vizuri?
OK. There will be 72 Brand new virgins for Haniye & 72 for Nasrallah then another lot of 72 reserved virgins for the incoming guy.Kabla ya Christmas nae atakuwa pamoja na Haniye & Nasrallah
Hakuna kitu kinaitwa teknolojia Yao. Israeli inaendeshwa na kulindwa na marekani kwa Kila kitu. Hilo bomu bunker buster limetengezwa marekani unataka ushahidi nikuwekee hapa?'atatoa bilioni 8 nyongeza ya mabomu na silaha nzito'.
Nawe piacsoma ya wenzako uwaelewe.
Nilichokisema na nilichonukuu kwako vina tofauti gani?
Yote uliyoeleza yanafanyika lakini nimekwambia hilo bomu lililofukunyua na kuua Nasralah ni teknolojia yao.
Fuatilia vyombo vya kimataifa utanielewa nachosema.
The land belongs to 🇮🇱. Palestine is mentioned no where in the bible.They are trespassers.Enemy Military bases and Other infrastructure sufferers huge losses within the Occupied Land of Palestine
Kalipwa hapahapa duniani kwa aliyokuwa akiyatenda na sasa yupo kuzimu na magaidi wenzakeKifo cha Sayyed Hassan Nasrallah kimeniuma kiukweli.
Sote ni wa Allah na kwake tutarejea.
Wapange safu upya siyo mbaya!