Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu kaa ukielewa Us wanafadhili hela za utafiti pamoja na misaada ya silaha nyingine za kijeshi, lakini teknolojia hii mpya siyo ya kwao.Hayo mabomu " Bunker buster" yametolewa na marekani na Jana wametangaza kuongeza msaada wa Dola Bilioni 8 kwa Israeli na Ukraine Kila mmoja kwa kifupi hizi vita zote mbili anapigana USA na atakufa nazo muda siyo mrefu.
Unayoitaja bunker buster ni ya kizamani.
Mtu hawezi kufadhili kitu kisha akishangae kwa impact ya matumizi yake.
Hayo mabomu hakuna popote dunia ilikwisha kumiliki, ni mapya.